TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Poleeee sana Mungu akupe nguvu ya kushinda majaribu na machungu yote kipindi cha mpito kipite salama poleeee sanaaa jmn
Rip dady[emoji22] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Nipo sehemu nimekaa najiuliza kuhusu hizi ID zetu fake.Mfano umepewa maelekezo ya kufika kwenye msiba na kweli ukafika.Shughuli inakuwa pale unapotaka kumpa pole "Heaven sent".Utamjuaje?(Maana jina lake halisi hulijui na hata sura huijui).Utafanyaje?
Mkuu itabidi uulizie aliefariki watoto wake wapo wapi? Ukioneshwa waangalie sana lazima mmoja wao ataendana na jina au avatar yake ya jf.
 
Wale Member waliokuwa na nia ya kutoa rambi rambi zao tayari kuna Thread imeanzishwa na Valentine kwa ajili ya Rambi Rambi. mnaweza kuiangalia
 
Mkuu itabidi uulizie aliefariki watoto wake wapo wapi? Ukioneshwa waangalie sana lazima mmoja wao ataendana na jina au avatar yake ya jf.
Ndugu wana Jf kama tulivojulishwa kuhusu msiba wa rafiki yetu Heaven Sent na kutokana na nia ya baadhi ya members kuomba tuweke namba kwajili ya rambirambi katika kumfariji mwenzetu tumeshaurina tukaona sio mbaya kuweka namba hiyo kwajili ya kumsapot mwenzetu....

Binafsi nimeongea na mfiwa usiku huu,na msiba upo Mbeya Ilombo karibu na kanisa la roman.... Hivyo kwa walioko huko wanaweza kuhudhuria kadri wawezavyo

Kwa yeyote atakaeguswa kutoa kiasi chochote alichonacho anaweza akatuma mchango wake kwa no 0756839550 imesajiliwa kwa jina la Valentina Mallya....

Ukishatuma naomba unipm i'd yako na kiasi ulichotoa na jina la wakala kisha mimi nita confirm huku.... Tuzingatie uaminifu wa pande zote mbili ni muhimu zaidi...

Valentine
 
Duh!! Pole yake sana .. mkuu organise mambo ya rambi rambi basi

Back
Top Bottom