TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Mwenyenzi Mungu awapeni wafiwa moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu, ailaze roho ya marehemu mahali pema..Amen
 
Mkuu hilo swala labda Mod wenyewe wangalie namna ya kufanya kama wataona kuna umuhimu wa kufanya hivyo.
Au Member wenyewe mnaweza kuona namna nzuri ya kufanya hilo.
Pole sana wafiwa
je msiba umetokea wapi na upo wapi?
ni hayo tu
 
Nipo sehemu nimekaa najiuliza kuhusu hizi ID zetu fake.Mfano umepewa maelekezo ya kufika kwenye msiba na kweli ukafika.Shughuli inakuwa pale unapotaka kumpa pole "Heaven sent".Utamjuaje?(Maana jina lake halisi hulijui na hata sura huijui).Utafanyaje?
 
Back
Top Bottom