Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ... Ni kweli kabisa,ni mlango ambao kila mmoja wetu ataupitia. Tuombe mwisho mwema mtani.Kila nafsi itaonja mauti mtani. Inasikitisha sana....
Mkuu itabidi uulizie aliefariki watoto wake wapo wapi? Ukioneshwa waangalie sana lazima mmoja wao ataendana na jina au avatar yake ya jf.Nipo sehemu nimekaa najiuliza kuhusu hizi ID zetu fake.Mfano umepewa maelekezo ya kufika kwenye msiba na kweli ukafika.Shughuli inakuwa pale unapotaka kumpa pole "Heaven sent".Utamjuaje?(Maana jina lake halisi hulijui na hata sura huijui).Utafanyaje?
Ndugu wana Jf kama tulivojulishwa kuhusu msiba wa rafiki yetu Heaven Sent na kutokana na nia ya baadhi ya members kuomba tuweke namba kwajili ya rambirambi katika kumfariji mwenzetu tumeshaurina tukaona sio mbaya kuweka namba hiyo kwajili ya kumsapot mwenzetu....Mkuu itabidi uulizie aliefariki watoto wake wapo wapi? Ukioneshwa waangalie sana lazima mmoja wao ataendana na jina au avatar yake ya jf.
Ndugu wana Jf kama tulivojulishwa kuhusu msiba wa rafiki yetu Heaven Sent na kutokana na nia ya baadhi ya members kuomba tuweke namba kwajili ya rambirambi katika kumfariji mwenzetu tumeshaurina tukaona sio mbaya kuweka namba hiyo kwajili ya kumsapot mwenzetu....Duh!! Pole yake sana .. mkuu organise mambo ya rambi rambi basi
Mhh, hii minyago tuliyoivaa ni shida sana.Mkuu itabidi uulizie aliefariki watoto wake wapo wapi? Ukioneshwa waangalie sana lazima mmoja wao ataendana na jina au avatar yake ya jf.