TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Poleni sana wafiwa. Mungu awape nguvu na imani ktk kipindi hiki kigumu. RIP baba
 
samahani naomba muwe mnaweka na picha ya marehemu maan tunaweza tukawa tunajuana

poleni sana na msiba
 

AMEN. BWANA KATOA , BWANA KATWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
 
Tatizo la JF na ID zetu fake na kutokutaka kujuana kunatufanya hata tushindwe kualikana kwenye mambo kama haya.Tungejua anaishi wapi,no zake za simu(in case mtu anataka kutuma rambirambi),ingekuwa rahisi wengine kuhudhuria.

BTW;
May God rest the soul of our beloved father in peace!Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…