TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Pole heaven sent
I hope your father have been sent to heaven.
 
Wote ni wake na hakika kwake tutarejea inalillah wainaillaih rajiuni polen san wafiwa
 
poleni sana na Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu na ampumzishe mahala anapostahili
 
Usikute huyu mfiwa ni yule aliyekuwa kwenye michakato ya shughuli yake na Babae ndiye huyo aliyefariki.
 
Napata ukakasi wa kuiamini hii taarifa Cuz muhusika bado hajaja kutoa tamko
BTW
Pole sana Heaven Sent
Mshukuru Mungu kwani yeye ndie anayepanga kilakitu.
 
Duuh! Pole ikupate na Mungu akupe uvumilivu katika kipindi hichi kigumu cha majonzi HS.
 
Back
Top Bottom