TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Aisee sistaa pole sana. Mtangulize Mungu katika hiki kipindi kigumu kinachokulabili na familia kiujumla.
 
Pole sasa mwenzetu Heaven Sent, Kazi ya Mungu haina makosa. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe
 
Pole sana HS...

Naamini wewe ni strong woman... Jikaze hata katika hili mama.

Bwana ametoa na Bwana ametwa jina lake libarikiwe...

wambeke muafaka wa rambirambi ukipatikana tustuane pls.
 
Pole sana HS...

Naamini wewe ni strong woman... Jikaze hata katika hili mama.

Bwana ametoa na Bwana ametwa jina lake libarikiwe...

wambeke muafaka wa rambirambi ukipatikana tustuane pls.

sawa bibie. ila pia hata wewe unaweza kuutafuta mwafaka. mimi tu nimeleta habari.

ni vizuri wadada mkachukua nafasi yenu sisi tutakuwa nyuma yenu.
 
Uwiiiiiiii my Heaven Sent jamani!
Nimeshtuka sana kwa hii taarifa ya msiba wa baba yako kipenzi.
Nimekumbuka tulivyokuwa tunaambizana vile tunawapenda baba zetu...
Nimejihisi kama ni mimi...nimeumia hadi nalia [emoji24]
Mungu akupe faraja ktk wakati huu mgumu kupindukia.
I can feel you sweetheart.
Tafadhali anayejua msiba ulipo (kama ni Dsm) anipe maelekezo nikampe pole HS.
Tuko pamoja
 
Back
Top Bottom