TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe kunikaza ni ngumu mana najiepusha mno tangia nimekuwa mkubwa sijawahi experience hyo hali ndo mana I was curious
hahahahah, hii haina cha kujizuia nadhani.Siku ikikushika uchukue video 😀😀😀
 
Asante kwa huu ufafanuzi murua nimeelewa Mpaka basi.
 
Darsa zuri nimepata hapa
 
Asante kwa huu ufafanuzi murua nimeelewa Mpaka basi.
I think hata mikono misuli inaweza kukaza ila Mara nyingi miguuni sasa imagine ni mkono umekaza au kutenguka unaanzaje ogelea
 
I think hata mikono misuli inaweza kukaza ila Mara nyingi miguuni sasa imagine ni mkono umekaza au kutenguka unaanzaje ogelea
Mzee baba wataalamu wa kuogelea wanaweza kuigelea kwa kuflip miguu tu bila mikono na hawazami.
Utamuona kama kasimama ardhini kumbe chini anachanganya miguu kama anaendesha baiskeli.

Mfano muangalie chura anavyo flip miguu yake ya nyuma ndani ya maji.
 
I think hata mikono misuli inaweza kukaza ila Mara nyingi miguuni sasa imagine ni mkono umekaza au kutenguka unaanzaje ogelea
Hyo hali ni shida inatisha unakufa huku unajiona sijui unajifanyiaje huduma ya kwanza. Mi. Maji nayaogopa tangia nione MV Nyerere watu wafe karibu na nchi kavu nimekuwa muoga Mara dufu
 
Kama.unajua kuogelea msuli ukikumata kama sio mtaalam wa kuoiga kasia kwa mikono tu inabidi ulegeze mwili ili uelee juu halafu uombe msaada au had msuli uachie au ukielea unapiga kasia taratibu unajivuta nje
 
HV chura unamfananisha na binadamu chura ameishi majini miaka milion huko so mwili wake umeadapt.. Halafu mzee baba hapa tunaongealea MTU wa kawaida sio diver .. Mtu anayeogelea kw a starehe sio professional swimmer
 
Nadhani bahari ina mambo ya ajabu kwa macho yetu haya ya kawaida ya nyama huwezi jua. Mi ndo mana huwa muoga wa maji
Huyo analeta stori za kijiweni.
Watu wanaogelea na saa wale wazamiaji au hata wazungu watu wenye waterproof watch.

Watu wanazamia na kisu na mkuki kuwinda pweza na samaki wengine underwater au mkuki kama silaha ya kujilinda.

Mkuki ni mzito kuliko saa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…