Mzee baba mimi mwenyewe muogeleaji wa kawaida na nimeona raia kibao wa kawaida wanaogelea kwa hiyo style.HV chura unamfananisha na binadamu chura ameishi majini miaka milion huko so mwili wake umeadapt.. Halafu mzee baba hapa tunaongealea MTU wa kawaida sio diver .. Mtu anayeogelea kw a starehe sio professional swimmer
Hahahah huyu chalii analeta story za kiduanze, we unatuliaje katika maji ya bahari!Acha ufara meku[emoji23][emoji23][emoji848][emoji848] ya dish yakiingia puan naic kufa Bahar unatuliaje yaan ukisubr kifo
kweli kabisa..kuogelea sio lazima miguu na mikono...kama ni mjuzi hata mikono tu inatosha....kuna mashindano ya Olimpiki ya walemavu... Jamaa wanaogelea kwa kasi na miguu hawana..wanatumia mikono tu.Mzee baba mimi mwenyewe muogeleaji wa kawaida na nimeona raia kibao wa kawaida wanaogelea kwa hiyo style.
Mimi nikejifunza kiasi kabla sijaweza umbali mrefu kwa hiyo staili nikaacha kuogelea miaka kadhaa sasa.
Hapa watu wanasema ukishikwa na msuli lazima uzame, mimi ningekuwa nishakufa zamani 20yrs ago.
Ukibanwa mguu mmoja unaogelea upande mmoja kwa kutumua mguu mmoja na mikono.
Alitengeneza ngoma inaitwa "Bye bye" ya Joh makini. Jamaa kichwa sana huyu.
R.I.P
Unapandia mtumbwi mbezi beach unaenda.Hicho kisiwa kipo wapi??
Pole aseeehhmwaka 2014 mwezi 12 nilinusurika kufa maji msasani beach baada ya maji kurudi nilikuwa mbali kidogo na ukingo wa bahari.nilitumia maarifa na nguvu zangu zote kujiokoa nilikuwa nimevaa vest na boxer cha ajabu ile vest na boxer niliiziona nzito na sijui nilizivua vipi na kubaki uchi nilipiga miguu mpaka msuli wa mguu moja wa kushoto ukanishika niliishiwa nguvu nikiwa naelekea chini huku nimisha kubali kifo bahati nzuri ile nimegota chini nayasikia maji utosini nikaenda mbele kidogo ndipo yakanifikia machoni.
tokea mwaka 2014 sijawahi kurudi baharini tena wala kusogelea maji yoyote kwa ajili ya kuogelea-bahari sasa naiona kama kituo cha polisi.
Hahaaa...akienda harudii..na hua wanaenda kufanya nini...starehe zote mjini hapa..au kuna kahotel huko...!!Mimi jamani hapanaWatu wasivyo waoga weekend kama kawa wataenda, Ben pol alinusurika huko mbudya sijamuona tena akienda.
Sana kuna binti mmoja alinambia wanakuchukua wanakupeleka mbali halafu wanakuomba mzigo ukichomoa wanakutisha kua watakuacha huko huko uzame!Nasikia Masela wa Coco wanawakokolisha sana mabinti wanaofundishwa kuogelea 😀😀😀.
Hakuna usafiri au?Katika hivyo visiwa nitaenda bongoyo tu,hy mbudya nikiona mziki wake wakati wa kurudi siendi tena
Kabisaa yaani ukute wanakufa sana wasio maarufuBongoyo hakuna, nishaenda sana,matukio ni huko mbudya na haya unayosikia yamehusisha watu maarufu,kuna mengine ya kimya kimya
Daah!too bad!!Kuna rafiki yangu alikua nae mchana Mbudya. Anasema alikua amelewa sana. Inawezekana wakati anaogelea pombe ilizidi
APEPE...APEPE ( ALAZWE PEMA PEPONI )
[emoji39] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nakula kitimoto kwa Alfonso coco pale ,mdada mmoja namwambia hao wahuni tu km unashida ya kuogelea nenda msasani cine au mbalamwezi akaleta nyodo, akaenda nao kurudi kanuna huyo hatari ,nikajua huyu km hajapigwa midole kala dushee
Vijana wanakufa mabatani kama nzi ndani ya Glasi ya Bia" Fid Q[emoji39] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitu kama icho mkuu,Mmmh hatar sana Ulitoka uchi mkuu???
M-rapDah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse