Walikuwa wameshamaliza kula bata sasa wakawa wanarudi, wakiwa safarini chombo walichokuwa wanasafiria kikapata hitilafu, kikaanza kuingia maji taratibu. Yule aliyekuwa akiindesha alipoona hali ni ngumu akajitosa kwenye maji mapema na kuwaacha ben pol na wenzie chomboni. Nao hawakuwa na jinsi ikabidi waruke. Uzuri ni kuwa walikuwa wamevaa life jackets so walikaa kwenye maji hadi walipookolewa na wavuvi.Hii niliwahi kuisikia wakati fulani hivi. Na jana nikawa napitapita kwenye mitandao nikaisoma mahali. Hivi ilikuwaje Mkuu?
Wenye vitambi na mama wajawazito hawazami.[emoji16][emoji16][emoji16]Exactly..ndio maana mtt mchanga ukimweka kwenye maji hazami. Mimi nikiogelea baharini nikachoka natulia naanza tena, kuna watu hawawezi kufloat lazima awe kwenye movement so akichoka anazama. Lakini pia kama walikua wanakunywa hiyo ni hatari au muscle cramps nazo, ila aliyeshuhudia anasema kwamba jamaa alikua yupo anaelea kichwa kipo ndani ya maji, sasa sjaelewa imekuaje akafa maybe heart attack.
Misuli ya nyuma.kwenye magoti.inakaza.Msuli unabanaje jamani?
Duh!!!binafsi hiyo Mbudya sijawahi itamani hata siku moja. Tangu rafiki yangu aloteze maisha akiwa huku. Na kuja na sababu eti alikuwa amelewa maji yakamzidi. Ndiyo nimezidi kupoteza hamasa kabisa ya kwenda huko. Wapumzike kwa Amani wote waliopeteza maisha wakiwa kwenye hiki Kisiwa.Walikuwa wameshamaliza kula bata sasa wakawa wanarudi, wakiwa safarini chombo walichokuwa wanasafiria kikapata hitilafu, kikaanza kuingia maji taratibu. Yule aliyekuwa akiindesha alipoona hali ni ngumu akajitosa kwenye maji mapema na kuwaacha ben pol na wenzie chomboni. Nao hawakuwa na jinsi ikabidi waruke. Uzuri ni kuwa walikuwa wamevaa life jackets so walikaa kwenye maji hadi walipookolewa na wavuvi.
Natamani kuiyona hiyo Video. Naipate Mkuu?Vijana wengi wa Dar wanajua kuchezea mchanga na wimbi linalopiga hapo pwani, lakini suala la kuogelea wanaujasiri kwenye swimming pool tu. Hafu kosa walilofanya badala ya kumkamua maji yatoke kwa kumminya na kumkamua tumbo, na kumvuta hewa na maji yatoke mdomoni wanamshangaa tu na kuishia kumkimbiza
Mungu amsamehe la sivyo Shetani atamtambua na hiyo michata yake..!Kutoka katika instagram page ya clouds FM wameripoti kifo hicho kilichotakana na ajali ya kwenye Maji katika kisiwa cha Mbudya..
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina LA bwana lihimidiweView attachment 892134
Baharini gani unapozungumzia? NI pale ambapo unaweza hata kusimama kwa miguu yako mwenyewe; au? Usilinganishe ufukwe na bahari dadangu! Wimbi likichanganya na kama sio mzoefu kweli kweli, hilo la kuelea chalichali kama alivyosema KikulachoChako inakuwa halipo manake ukifanya hivyo kitachofuata ni kupigwa na wimbi na kuanza kubugia madumu ya mafunda!Exactly..ndio maana mtt mchanga ukimweka kwenye maji hazami. Mimi nikiogelea baharini nikachoka natulia naanza tena, kuna watu hawawezi kufloat lazima awe kwenye movement so akichoka anazama. Lakini pia kama walikua wanakunywa hiyo ni hatari au muscle cramps nazo, ila aliyeshuhudia anasema kwamba jamaa alikua yupo anaelea kichwa kipo ndani ya maji, sasa sjaelewa imekuaje akafa maybe heart attack.
Sijawahi kufika hapo Mbudya! What's so special hadi paonekane ni hatari kiasi hicho? Ni kwamba unapita mkondo wa bahari ambapo ukipotea step unaweza kujikuta umetoka kwenye bahari ya kawaida na kujichanganya kwenye mkondo; au? Kuna nini hasa?Mimi mwanzo nilikua najiona ni kama samaki maana tangu kid yani kwenye maji nateleza tu lakini kumamake kule Mbudya palinistaafisha majini na wala sitaki kukumbuka Majihayahitaji ujuaji nawaambia.,
Ni tofauti mkuu, huyo anaitwa Patcho Mwamba na aliyukufa ni Pancho Latino.Hivi huyu Pancho Latino ndo Pancho Mwamba?
Mbudya hakuna hayo mawimbi labda uyafuate deep sea..and yes naongelea baharini sio ufukweniBaharini gani unapozungumzia? NI pale ambapo unaweza hata kusimama kwa miguu yako mwenyewe; au? Usilinganishe ufukwe na bahari dadangu! Wimbi likichanganya na kama sio mzoefu kweli kweli, hilo la kuelea chalichali kama alivyosema KikulachoChako inakuwa halipo manake ukifanya hivyo kitachofuata ni kupigwa na wimbi na kuanza kubugia madumu ya mafunda!
Natamani kuiyona hiyo Video. Naipate Mkuu?
R.I.P pancholatinoHuyu ndo yule producer wa michiriku?
Iweke hapa mkuuHujaipata bado?
Ipo pia on Instagram.View attachment Subpost 2 - MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI, PANCHO LATINO AMEFARIKI DUNIA - Panch ( 480 X 480 ).mp4Iweke hapa mkuu