TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Hii niliwahi kuisikia wakati fulani hivi. Na jana nikawa napitapita kwenye mitandao nikaisoma mahali. Hivi ilikuwaje Mkuu?
Walikuwa wameshamaliza kula bata sasa wakawa wanarudi, wakiwa safarini chombo walichokuwa wanasafiria kikapata hitilafu, kikaanza kuingia maji taratibu. Yule aliyekuwa akiindesha alipoona hali ni ngumu akajitosa kwenye maji mapema na kuwaacha ben pol na wenzie chomboni. Nao hawakuwa na jinsi ikabidi waruke. Uzuri ni kuwa walikuwa wamevaa life jackets so walikaa kwenye maji hadi walipookolewa na wavuvi.
 
Exactly..ndio maana mtt mchanga ukimweka kwenye maji hazami. Mimi nikiogelea baharini nikachoka natulia naanza tena, kuna watu hawawezi kufloat lazima awe kwenye movement so akichoka anazama. Lakini pia kama walikua wanakunywa hiyo ni hatari au muscle cramps nazo, ila aliyeshuhudia anasema kwamba jamaa alikua yupo anaelea kichwa kipo ndani ya maji, sasa sjaelewa imekuaje akafa maybe heart attack.
Wenye vitambi na mama wajawazito hawazami.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Walikuwa wameshamaliza kula bata sasa wakawa wanarudi, wakiwa safarini chombo walichokuwa wanasafiria kikapata hitilafu, kikaanza kuingia maji taratibu. Yule aliyekuwa akiindesha alipoona hali ni ngumu akajitosa kwenye maji mapema na kuwaacha ben pol na wenzie chomboni. Nao hawakuwa na jinsi ikabidi waruke. Uzuri ni kuwa walikuwa wamevaa life jackets so walikaa kwenye maji hadi walipookolewa na wavuvi.
Duh!!!binafsi hiyo Mbudya sijawahi itamani hata siku moja. Tangu rafiki yangu aloteze maisha akiwa huku. Na kuja na sababu eti alikuwa amelewa maji yakamzidi. Ndiyo nimezidi kupoteza hamasa kabisa ya kwenda huko. Wapumzike kwa Amani wote waliopeteza maisha wakiwa kwenye hiki Kisiwa.
 
Vijana wengi wa Dar wanajua kuchezea mchanga na wimbi linalopiga hapo pwani, lakini suala la kuogelea wanaujasiri kwenye swimming pool tu. Hafu kosa walilofanya badala ya kumkamua maji yatoke kwa kumminya na kumkamua tumbo, na kumvuta hewa na maji yatoke mdomoni wanamshangaa tu na kuishia kumkimbiza
Natamani kuiyona hiyo Video. Naipate Mkuu?
 
Exactly..ndio maana mtt mchanga ukimweka kwenye maji hazami. Mimi nikiogelea baharini nikachoka natulia naanza tena, kuna watu hawawezi kufloat lazima awe kwenye movement so akichoka anazama. Lakini pia kama walikua wanakunywa hiyo ni hatari au muscle cramps nazo, ila aliyeshuhudia anasema kwamba jamaa alikua yupo anaelea kichwa kipo ndani ya maji, sasa sjaelewa imekuaje akafa maybe heart attack.
Baharini gani unapozungumzia? NI pale ambapo unaweza hata kusimama kwa miguu yako mwenyewe; au? Usilinganishe ufukwe na bahari dadangu! Wimbi likichanganya na kama sio mzoefu kweli kweli, hilo la kuelea chalichali kama alivyosema KikulachoChako inakuwa halipo manake ukifanya hivyo kitachofuata ni kupigwa na wimbi na kuanza kubugia madumu ya mafunda!
 
Mimi mwanzo nilikua najiona ni kama samaki maana tangu kid yani kwenye maji nateleza tu lakini kumamake kule Mbudya palinistaafisha majini na wala sitaki kukumbuka Majihayahitaji ujuaji nawaambia.,
Sijawahi kufika hapo Mbudya! What's so special hadi paonekane ni hatari kiasi hicho? Ni kwamba unapita mkondo wa bahari ambapo ukipotea step unaweza kujikuta umetoka kwenye bahari ya kawaida na kujichanganya kwenye mkondo; au? Kuna nini hasa?
 
Visiwa vya Bongoyo na Mbundya vipo kwenye mkondo wa maji unaotembea. Usipokua muangalifu unajikuta umevutwa mbali. Ni muhimu kua na uangalizi mahususi, maana visiwa vile viko chini ya mamlaka. Mi nilinusurika Bongoyo, ila vijana wa kule waliniambia leo maji yanakimbia sana.
Polen wafiwa.
 
Baharini gani unapozungumzia? NI pale ambapo unaweza hata kusimama kwa miguu yako mwenyewe; au? Usilinganishe ufukwe na bahari dadangu! Wimbi likichanganya na kama sio mzoefu kweli kweli, hilo la kuelea chalichali kama alivyosema KikulachoChako inakuwa halipo manake ukifanya hivyo kitachofuata ni kupigwa na wimbi na kuanza kubugia madumu ya mafunda!
Mbudya hakuna hayo mawimbi labda uyafuate deep sea..and yes naongelea baharini sio ufukweni
 
watu wengi hawaelewi pale kuna tahadhari kabisa juu ya mkondo wa bahari mkali sana lakini sisi wengi tulivyoku tuna wenge na hatufatilii tunakutana na shughuli pale na hakika ukipona kwenye mkondo ukaweza kusurvive bila kupoteza network basi wewe ni NYAMBIZI
 
Back
Top Bottom