Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hii ngoma Fiesta ,pale Sayansi K'nyama ilimnyanyua Busta Rhymes ,hakuamini macho na masikio yake ,wale waliokua VIP nadhani wanakumbuka Mzee mzima Busta alivyowehuka na hii ngomaKazi ya Chid Dar es Salaam Stand Up aliitendea haki sana RIP Pancho Latino
Mkuu kweni kifo kina chagua umri?......Wengi wetu vijana tunapenda 'live fast die young lifestyle'......pombe, wanawake, madawa ya kulevya na other risk behaviours......angalia celebrities wengi waliokufa wakiwa vijana vifo vyao vinakuwa associated na risk behaviours......watu wao wakaribu wanafiki hawasemi ukweli kwasababu ndo kula yao......leo Diamond akipata HIV mtasema mapenzi ya Mungu wakati mnamuona ana womanise tu wanawake bila hata kutumia kingaMswaada upitishwe Mbudya waende wenye umri kuanzia miaka 45 na kuendelea.
Pale Mbudya ni kina kirefu na kuna mkondo mkali wa maji na ndio maana pamewekwa kibao kuwa hapo kuna kina kirefu na hautakiwi kuogelea mbali,lakini kama kawaida yetu wengi hupuuza ,utakuta watu wanaogelea hilo eneo au wengine wapo kwenye vijiboti vyao na kuruka hapo kwenye kina kirefu,wengine wanaogelea huku tayari wakiwa wamelewa,hatukatai ajali hutokea popote lakini nyingine ni za kujitakia,umelewa halafu unataka uogelee.Benpol aliwah kuponea chukuchuku hapa Mbudya...
Uko Dom sehem gan mzaziKwani mkuu tumeelewana??
East zoo.. huku KikuyuUko Dom sehem gan mzazi
Ok kesho Nina interview Dodoma FM na beny bet wewe ni producerEast zoo.. huku Kikuyu
ndiyo mwana nafanya deiwaka zotee sana sana udj.. maana studio naendaga kwa mchizi siku moja moja..Ok kesho Nina interview Dodoma FM na beny bet wewe ni producer
Ok vizur sana mzazi mtoto Wa kiume lazima upambane udj unafanya kwa club au? Unagonga beat za hip hop aundiyo mwana nafanya deiwaka zotee sana sana udj.. maana studio naendaga kwa mchizi siku moja moja..
Club naendaga maisha club mara moja kwa wiki.. namsaidiaga jamaa anaitwa dvj montanah... na hizi event za masherehe na maishu mengine kibao mzeebaba..Ok vizur sana mzazi mtoto Wa kiume lazima upambane udj unafanya kwa club au? Unagonga beat za hip hop au
Ok vizur sana mwanangu usiwe unasahau kupiga goma Langu mzee babaClub naendaga maisha club mara moja kwa wiki.. namsaidiaga jamaa anaitwa dvj montanah... na hizi event za masherehe na maishu mengine kibao mzeebaba..
Tena michapio ya kutoshaaHii thread inaongoza kwa michapio, sijui kiswahili kigumu?
Pw mzeebaba me ntakupa connection na producer venture maana kitambo sijaingia mzigoni tukuchekie external mzeebaba.. udj bize mzeebaba..Ok vizur sana mwanangu usiwe unasahau kupiga goma Langu mzee baba
Uje unitumie beat moja au mbili za hip hop lain zikiwa Kali nitakutoa mkwanja mzazi
Ok namjua huyo jamaa nataka nirekod ngoma moja ya mwisho then nisepe home mwanza nimechoka kuish Dom bado pakishamba sanaPw mzeebaba me ntakupa connection na producer venture maana kitambo sijaingia mzigoni tukuchekie external mzeebaba.. udj bize mzeebaba..
Mzee wa madini ya kuunga unga yameungwa ungwa yakapatikana madin [emoji23][emoji23]chid aise sidhan hata kama nimepatia maana alijibu utumbo mtupuuChid nae hali yake sio hali, juzi anahojiwa pale Tandale, alichojibu anajua Chid mwenyewe na Mola wake
Daah Kumbe unampata?? sema nn?? nataka niache uproducer.. ndo maana studio nimepunguza kwenda.. mwanaOk namjua huyo jamaa nataka nirekod ngoma moja ya mwisho then nisepe home mwanza nimechoka kuish Dom bado pakishamba sana
umenikumbusha hilo jina la jane G mama mmoja wa hifadhi ya gombe kigoma nadhan yeye aliitwa Jane goodall kukatiza ziwani ni lazima uvae lifejacket...Nimekulia Mikocheni B, mita kadhaa kwenda baharini na nilikua naenda sana kwa mzungu mmoja wakuitwa Grabu ( mtoto wa Jane Goodhal) jamaa mvuvi ana boti za uvuvi , alikua anatufundisha kuogelea ,maji ya bahari si mchezo ,MTU haokolewi kirahisi rahisi km afuati maelekezo ya anaye kuja kumuokoa
Sio wewe hata mimi ninaogopa sana majiHyo hali ni shida inatisha unakufa huku unajiona sijui unajifanyiaje huduma ya kwanza. Mi. Maji nayaogopa tangia nione MV Nyerere watu wafe karibu na nchi kavu nimekuwa muoga Mara dufu
Aiseeeee ni hatari sana kwa mwendo huo NGOMA aka Dally Kimoko haiwezi kuisha.Sana kuna binti mmoja alinambia wanakuchukua wanakupeleka mbali halafu wanakuomba mzigo ukichomoa wanakutisha kua watakuacha huko huko uzame!