TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Mswaada upitishwe Mbudya waende wenye umri kuanzia miaka 45 na kuendelea.
Mkuu kweni kifo kina chagua umri?......Wengi wetu vijana tunapenda 'live fast die young lifestyle'......pombe, wanawake, madawa ya kulevya na other risk behaviours......angalia celebrities wengi waliokufa wakiwa vijana vifo vyao vinakuwa associated na risk behaviours......watu wao wakaribu wanafiki hawasemi ukweli kwasababu ndo kula yao......leo Diamond akipata HIV mtasema mapenzi ya Mungu wakati mnamuona ana womanise tu wanawake bila hata kutumia kinga
 
Benpol aliwah kuponea chukuchuku hapa Mbudya...
Pale Mbudya ni kina kirefu na kuna mkondo mkali wa maji na ndio maana pamewekwa kibao kuwa hapo kuna kina kirefu na hautakiwi kuogelea mbali,lakini kama kawaida yetu wengi hupuuza ,utakuta watu wanaogelea hilo eneo au wengine wapo kwenye vijiboti vyao na kuruka hapo kwenye kina kirefu,wengine wanaogelea huku tayari wakiwa wamelewa,hatukatai ajali hutokea popote lakini nyingine ni za kujitakia,umelewa halafu unataka uogelee.
 
Ok vizur sana mzazi mtoto Wa kiume lazima upambane udj unafanya kwa club au? Unagonga beat za hip hop au
Club naendaga maisha club mara moja kwa wiki.. namsaidiaga jamaa anaitwa dvj montanah... na hizi event za masherehe na maishu mengine kibao mzeebaba..
 
Club naendaga maisha club mara moja kwa wiki.. namsaidiaga jamaa anaitwa dvj montanah... na hizi event za masherehe na maishu mengine kibao mzeebaba..
Ok vizur sana mwanangu usiwe unasahau kupiga goma Langu mzee baba

Uje unitumie beat moja au mbili za hip hop lain zikiwa Kali nitakutoa mkwanja mzazi
 
Ok vizur sana mwanangu usiwe unasahau kupiga goma Langu mzee baba

Uje unitumie beat moja au mbili za hip hop lain zikiwa Kali nitakutoa mkwanja mzazi
Pw mzeebaba me ntakupa connection na producer venture maana kitambo sijaingia mzigoni tukuchekie external mzeebaba.. udj bize mzeebaba..
 
Pw mzeebaba me ntakupa connection na producer venture maana kitambo sijaingia mzigoni tukuchekie external mzeebaba.. udj bize mzeebaba..
Ok namjua huyo jamaa nataka nirekod ngoma moja ya mwisho then nisepe home mwanza nimechoka kuish Dom bado pakishamba sana
 
Chid nae hali yake sio hali, juzi anahojiwa pale Tandale, alichojibu anajua Chid mwenyewe na Mola wake
Mzee wa madini ya kuunga unga yameungwa ungwa yakapatikana madin [emoji23][emoji23]chid aise sidhan hata kama nimepatia maana alijibu utumbo mtupuu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ok namjua huyo jamaa nataka nirekod ngoma moja ya mwisho then nisepe home mwanza nimechoka kuish Dom bado pakishamba sana
Daah Kumbe unampata?? sema nn?? nataka niache uproducer.. ndo maana studio nimepunguza kwenda.. mwana
 
Nimekulia Mikocheni B, mita kadhaa kwenda baharini na nilikua naenda sana kwa mzungu mmoja wakuitwa Grabu ( mtoto wa Jane Goodhal) jamaa mvuvi ana boti za uvuvi , alikua anatufundisha kuogelea ,maji ya bahari si mchezo ,MTU haokolewi kirahisi rahisi km afuati maelekezo ya anaye kuja kumuokoa
umenikumbusha hilo jina la jane G mama mmoja wa hifadhi ya gombe kigoma nadhan yeye aliitwa Jane goodall kukatiza ziwani ni lazima uvae lifejacket...
 
Back
Top Bottom