Jaribu uone hata gono hupatiLooh. Watu tunadangañyana Sana jamani
Hiyo hali tulikuwa tunapambana nayo sana tukiwa vijana wadogo kule ziwani, ila kwasasa misuli ikinibana na uzito nilionao kuongeza na umri nazani sichomokiKinachowaua waogeleaji wazuri kwenye maji....ni njaa kama wamekwama mbali na makazi!!!...
Mawimbi makubwa yanayochosha mwili.....
Na kushikwa na misuli Yaani ndio baharia anakufa huku anajiona!!!....usiombe ushikwe na msuli ndani ya maji....unaweza kufa hata kwenye kina kifupi cha maji!!.,,,,
Na hili tatizo huwapata waogeleaji wanaokaa muda mrefu mbali na maji!!!...
Acha uongo..ukijua kuogelea umejua tu...hakuna cha mto wala bahariMkuu unayajua Maji ya bahari na mawimbi yake? Yani kuogelea swimming pool au kwenye mto si sawa na kwenye bahari,labda uwe professional diver
Huyu,...Picha basi wengine hatumfahamu
Basi huo ndio UKIMWI wa waogeleaji huko baharini!!!....Hiyo hali tulikuwa tunapambana nayo sana tukiwa vijana wadogo kule ziwani, ila kwasasa misuli ikinibana na uzito nilionao kuongeza na umri nazani sichomoki
Kuna mshikaji mmoja wa timu ya vijana basketball miaka ya nyuma,alifanya mazoezi nje kwenye fukwe kigamboni akaingia kuogelea,msuli ukabana tulizika mbonaHiyo hali tulikuwa tunapambana nayo sana tukiwa vijana wadogo kule ziwani, ila kwasasa misuli ikinibana na uzito nilionao kuongeza na umri nazani sichomoki
Jamani kaah!wanafata UhuruHalafu hamna hata cha maana sema kunatamanisha Fulani kulewa na kujig jig. Wengi wanaoendaga Siku za kazi wanaendaga na mboga
Halafu ukasema hiiiiiiiKuna rafiki yangu mmoja alisema twende huko, nikamwangalia nikamchekii..
Tazama First aid waliyokua wanatoa,wengine wana safari lager mkononiNimeona video akiwa kaopolewa kwny maji
Walikufa wotee?!!Kabisa , Isingekua kumuokoa demu wake Dixon asingekufs.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hili ndo kubwa maana wanasemaga ukila mzigo kwe maji ya bahari baasi hata ngoma hupati
Dah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse
Kuna tofauti ya kujua kuogelea na nguvu za mtu.Acha uongo..ukijua kuogelea umejua tu...hakuna cha mto wala bahari
Kwenye maji km umezama mpk uokolewe ujue ,inabidi muokoaji ajiridhishe na wewe muokolewa ufuate maelekezo vzr,ukileta mapepe mnakufa wote,au km muokoaji roho ngumu anakuacha upige vikombe kadhaa au anakuacha kabisa ufe,maana akiona wewe mapepe mnakufa woteWalikufa wotee?!!
Ivi Pancho ndio Hamy B au
Hatari mkuu, mtu umekulia dodoma hakuna hata ziwa, unaogelea kwenye madimbwi leo univukishe maji nayaona hivi, hapana kwa kweli. Ila yote yote siku ikifika imefika ila tahadhari ni mihimu pia.Halafu ukasema hiiiiiii
Nimepanic ghafla kumbe Maji yanaweza kumgeuka binadamu haraka hivi yarab