TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Mi napenda sema mchana usiku naogopa. Nilishakua na kitu cha kwamba bahari sio rafiki ikifika magharibi. Hata usiku nikiwa eneo LA bahari nikitaka kugusa Maji naomba MTU anisindikize
Usiku Mimi hunipeleki pia naogopa..hata kukaribia..

Mchana ntacheza but kuoga nehiii
 
Back
Top Bottom