TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Rest in peace. .panchito Latino mafia

[emoji24]
 
Kuna watu wangu wa karibu walienda huko, wakati wa kurudi kukawa kama na upepo mkali pia walichelewa giza likawa limeingia!!

Walilia kwenye hivyo vidude sijui ngalawa au mashua, nimewapokea macho mekunduuu na mmoja alirudi na malaria tukamkimbiza hospitali akalazwa wiki nzima yuko hoi sasa sijui alingatwa na mbu saa ngapi huko.

Toka niliposikia hizo story mie wala habari nako sina!! Nitapambana na tochi za traffic to Bagamoyoooo naogelea maji ya ugoko au kama hamu ya kisiwani imenishika sana basi Kigamboni pananitosha [emoji3][emoji3][emoji3]

RIP Pancho, alipangalo Mola wanadamu hatuwezi kulitengua. Tangulia, tunakufuata ni swala la muda tu.
Uoga ukaamsha na wadudu wa malaria
 
Sisemi kwamba ndo ilivokua kwake maake hatujui.. lakini Drinking and swimming is very likely to cause drowning even for an experienced swimmer.. I hope it wasn’t the case here.. RIP Pancho! Gone too soon..
Kama ulikuwepo vile yani..
 
Back
Top Bottom