Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Ofcourse yaweza kuwa kweliKuna rafiki yangu alikua nae mchana Mbudya. Anasema alikua amelewa sana. Inawezekana wakati anaogelea pombe ilizidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofcourse yaweza kuwa kweliKuna rafiki yangu alikua nae mchana Mbudya. Anasema alikua amelewa sana. Inawezekana wakati anaogelea pombe ilizidi
Ubaya wa Mbudya ni nini mkuu??
Tena wa kutosha unaambiwaNahisi alionja na ulabu
Hata sijui nisemeje. Ila ukiwa hizi fukwe za Mbezi beach unakiona bahariniHicho Kisiwa cha Mbudya Kinapatikana maeneo gani Dar es salaam?
Duuh maiti tenaa!Maji yanatisha haswaa, leo majira ya saa 6 mchana nimeshuhudia wavuvi wakija na maiti waliyoiopoa na kuileta pale magogoni ferry
Hermy B alikua anamkubali sana Panchoumemsahau dully sky's yeye ndiye alivumbua kipaji cha pancho Awali pancho alikuwa anafanya kazi dhahabu rec. kabla hajasainiwa na hamie B pale B hit's
Binafsi MTU anayeenda Mbudya zaidi ya Mara mbili namsifu ,kule sio kuzuriR.I.P Panchoooo,
Mbudya kwa kweli kuna tisha nilienda mara moja nimeapa sirudi tenaaaaa.
Uoga ukaamsha na wadudu wa malariaKuna watu wangu wa karibu walienda huko, wakati wa kurudi kukawa kama na upepo mkali pia walichelewa giza likawa limeingia!!
Walilia kwenye hivyo vidude sijui ngalawa au mashua, nimewapokea macho mekunduuu na mmoja alirudi na malaria tukamkimbiza hospitali akalazwa wiki nzima yuko hoi sasa sijui alingatwa na mbu saa ngapi huko.
Toka niliposikia hizo story mie wala habari nako sina!! Nitapambana na tochi za traffic to Bagamoyoooo naogelea maji ya ugoko au kama hamu ya kisiwani imenishika sana basi Kigamboni pananitosha [emoji3][emoji3][emoji3]
RIP Pancho, alipangalo Mola wanadamu hatuwezi kulitengua. Tangulia, tunakufuata ni swala la muda tu.
Kwani ulijua ni men's club??Kumbe mbudya hata wadada wanaenda
Nimekomaaa.Uache aisee na ukienda uwe mpenzi mtazamaji.
Nenda kesho ukaogelee, utaelewa ninachokimaanisha.
Kama ulikuwepo vile yani..Sisemi kwamba ndo ilivokua kwake maake hatujui.. lakini Drinking and swimming is very likely to cause drowning even for an experienced swimmer.. I hope it wasn’t the case here.. RIP Pancho! Gone too soon..
Apumzike Kwa Amani aendapo.
Jina lake halisi anaitwa nani, au ndio hilo hilo?
Hahahaha, wahuni wale
Ndiyo wanawapeleka kwenye maji marefu,wanawatishia kuwaacha wanaogopa inakuwa ndiyo njia ya kuwapiga ukuni.
Wanasema huko kuna kila aina ya starehe na ukienda ujipange kifedhaHata sijui nisemeje. Ila ukiwa hizi fukwe za Mbezi beach unakiona baharini
Hii thread inaongoza kwa michapio, sijui kiswahili kigumu?Aisee pole mzee.. Mtumbwu ulizama au??