Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

Mtu wa kulitishia kanisa hayupo na hajazaliwa bado.​
 
misingi na maana ya ukristo inapotea taratibu,
na soon maaskofu na makasiasi wataanza kuumbuana na kugomeana maana siasa imewangia mno kuliko neno la Mungu
 
Ha ha ha ha

OCTOBER TUNATIKIIII.
Jaribuni muone , hatujioneshe polisi wenu mwaka huu watakiona haswa.
Tumejipanga

No reforms no election
Kawaambie na wenzako kina

1.Faustine Mafwele
2.Thobias Mwesigwa
3.Paul Makonda
4.Wazir Rajabu
5.Mohamed Mchegerwa
6.Abdul
7.Steve Nyerere
 
Kama wana misimamo waambie waache kushrikiana na serikali kuchota fedha za walalahoi kwa gia ya MOU
Mbona fedha za walalahoi zinavyotumiwa vibaya na watawala hupigi kelele,? eg manunuzi ya V8,marupurupu ya viongozi wastaafu na makasiri ya mabilioni etc.
 

Walilazimishwa kuwakaribisha viongozi wa kisiasa kutoa neno au kiherehere chao?Tatizo linaanzia kwao kuwakaribisha.Nakumbuka alikaribishwa Magufuli aliongea vya kutosha.
 
Mbona fedha za walalahoi zinavyotumiwa vibaya na watawala hupigi kelele,? eg manunuzi ya V8,marupurupu ya viongozi wastaafu na makasiri ya mabilioni etc.

Still haijustify uharamia wa TEC kwa fedha za umma vile.vile
 
Hiko ndicho mnachojua,na kama mnaona tupo hapa kwa hilo basi na iwe hivyo tuh...

October Inshallah,she is back
Damu ya mtu ni nzito IPO siku itanena kwenye familia yako .
Fedha zote za damu kutoka CCM unazo pata zitaishia
1.Kumuuguza Mama yako na stroke
2.Kumuuguza Baba yako na Kansa ya Tezi dume
3.Kumuuguza mwanao na ugonjwa wa Tundu kwenye moyo

No reforms no election .Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…