Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Dawa yake ipo Kwa kiatu yake🏃Nchi 7 zamgomea USA kumuuzia gesi na kufata mkumbo wa kusitisha mahusiano ya kibiashara/vikwazo dhidi ya RUSSIA.
1. Venezuela
2. Hungary
3. UAE
4. China
5. India
6. Quarter
7. Indonesia
8. Downloading.............................
Baniani mbaya..............................[emoji38]
Kupitia kwenye Mtandao wa BLT wa Urusi umeonesha kuwa Nchi zifuatazo Za Ulaya
Ukriane
Hungary
Lativia
Slovenia
Germany
Lithuania
Poland
Macedonia
Malta
Swirtzealand
Zimekataa kununua gesi Kwa Ruble ila Slovakia kakubali kwa kutoa shart la kwamba auziwe Kwa punguzo la 20%
USA akiamua chimba mafuta yake hizo nchi zitaumiaNchi 7 zamgomea USA kumuuzia gesi na kufata mkumbo wa kusitisha mahusiano ya kibiashara/vikwazo dhidi ya RUSSIA.
1. Venezuela
2. Hungary
3. UAE
4. China
5. India
6. Quarter
7. Indonesia
8. Downloading.............................
Baniani mbaya..............................[emoji38]
Hata mimi nikiamua kuchimba mafuta yangu pia ninyi mahaba niue wa USA mtaumia.
Kwani Sasa hivi hachimbi?
kwan wote wanaish kwa kutegemea supermarket ?Kaka habari ya Moscow? Ulisema supermarket shelves za urusi bidhaa ikiwemo chakula zimeisha. Vipi mpaka sasa wangapi wamekufa kwa njaa??
maelezo mengi hlf ukaitaja slovakia tu , hata nikuuliza mara ngap umewai litaja neno slovakia haizid mara 5 , sasa unaitumiaje iwe kama kielelezo cha ulaya wakati ni nchi iliyo na mshikamano na Urusi hata kabla ya vita hii ya uvamizi ndani ya ukraine , ebu jiheshimu haupo kijiwe na urojo aseeeTaratibu maji na mafuta vimeanza kujitenga..
Hii ni baada ya Slovakia kukubali rasmi kufanya malipo ya gesi kwa mfumo wa rubble kama Russia inavyotaka iwe.. wamesema hawawezi kumpoteza Russia ambaye ni supplier mkuba wa gesi katika nchi yao.. Slovakia inategemea gesi kutoka urusi kwa zaidi ya asilimia 80.
May take; kwa hali ilivyo sasahihiv huko ulaya waswahili husema yakwambiwa ongeza na ya kwako.. Naona sashivi kila taifa limeanza kujiongeza la sivyo wawe tayari kukabiliana na mporomoko wa uchumi kwa kukosa gesi na mafuta ya kuendeshea mitambo ya viwanda. Pamoja na matumizi ya nyumbani..
Soma zaidi hapo chini: (Russian Today)
Slovakia agrees to pay for Russian gas in rubles
The country cannot afford to lose its major supplier
Slovakia will pay for Russian natural gas in rubles if that’s what it takes to keep the commodity flowing, Slovak Economy Minister Richard Sulik has said on national television.
“If there is a condition to pay in rubles, then we will pay in rubles,” Sulik said. He stressed that Russian imports account for roughly 85% of all Slovakian gas supplies, so the country’s authorities will remain pragmatic on the issue.
“We cannot be cut off from gas,” Sulik emphasized, urging the rest of Europe to jointly seek a solution.
Nearly all of the countries of the European Union, of which Slovakia is a member, slapped Russia with economic sanctions over the past month, jeopardizing Russia’s ability to receive payments from trade partners in the European currency. In response, Russian President Vladimir Putin last week signed a decree introducing a new ruble gas payment mechanism.
Although it is viewed by some as going against existing gas contracts, the mechanism does not imply a change of the currency of payment. It enables buyers to open ruble accounts with Russian Gazprombank to facilitate the transfer of European companies’ payments to Russian suppliers.
According to Putin’s press secretary Dmitry Peskov, “de facto nothing will change for European companies… They will pay, as they used to, in euro, the same currency that is indicated in the contracts,” but the seller, Russia’s major gas exporter Gazprom, will be able to receive the funds in Russia’s national currency. Despite extensive explanations, however, many Russian buyers found themselves puzzled by the change. The initial reaction was mostly one of protest, with countries claiming they would not pay for gas in rubles. However, it appears that this will not be necessary at all.
The Slovakian economy minister, along with a number of other European politicians, said the situation calls for diversification of suppliers. But he said this may take years, while Slovakia has only two months to solve the current problem with fuel purchases.
Hii post nimeipenda.Hata mimi nikiamua kuchimba mafuta yangu pia ninyi mahaba niue wa USA mtaumia.
dunia inategemeana , china na ukubwa wake ila anitegemea afrikaSkujua kama Russia ni hub of EUROPEAN [emoji553][emoji553][emoji553] economy
tsh itanyanyuka lin ?Nachokiona very soon kila mwenye chake atadai kulipwa kwa hela yake. Waarabu na mafuta yao wanasikilizia tu
Anguko la dollar liko pale pale
ndo yanazid kubomoka ,tumia akili vzr na sio ushabikiMaandalizi ya "one world currency" yanakwenda vizuri.
umiza akili vzr , baada ya huo mgogoro tutegemee vita vingi ndani ya afrika ili wafidie hasara zaoUlaya watatuheshimu tuu.
Swaumu imekaza hadi dishi linayumba mzeemaelezo mengi hlf ukaitaja slovakia tu , hata nikuuliza mara ngap umewai litaja neno slovakia haizid mara 5 , sasa unaitumiaje iwe kama kielelezo cha ulaya wakati ni nchi iliyo na mshikamano na Urusi hata kabla ya vita hii ya uvamizi ndani ya ukraine , ebu jiheshimu haupo kijiwe na urojo aseee
POLE [emoji23][emoji23][emoji23]Awali, kulikuwa na condition kwamba transactions zingefanywa kwa rubles hususani kwa yale mataifa yaliyopewa jina "unfriendly" na Urusi.
Shida ipo katika implementation ya huo utaratibu. Mzunguko wa sarafu ya ruble katika soko la kimataifa ni mdogo sana. Nchi nyingi za Ulaya zimeupinga huo utaratibu kimkataba. Mpaka hapo hautekelezeki.
Kilichopo hivi sasa, nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Urusi zinaendelea kulipa kwa euros ama dollars kama ilivyo katika mikataba yao.
maelezo mengi hlf ukaitaja slovakia tu , hata nikuuliza mara ngap umewai litaja neno slovakia haizid mara 5 , sasa unaitumiaje iwe kama kielelezo cha ulaya wakati ni nchi iliyo na mshikamano na Urusi hata kabla ya vita hii ya uvamizi ndani ya ukraine , ebu jiheshimu haupo kijiwe na urojo aseee
We jamaa acha uongo ni nchi gani Kati ya zile zilizo pigwa sanction na russia ambayo inaendelea kulipa kwa mfumo wa euro na dollali badala ya rubble?Awali, kulikuwa na condition kwamba transactions zingefanywa kwa rubles hususani kwa yale mataifa yaliyopewa jina "unfriendly" na Urusi.
Shida ipo katika implementation ya huo utaratibu. Mzunguko wa sarafu ya ruble katika soko la kimataifa ni mdogo sana. Nchi nyingi za Ulaya zimeupinga huo utaratibu kimkataba. Mpaka hapo hautekelezeki.
Kilichopo hivi sasa, nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Urusi zinaendelea kulipa kwa euros ama dollars kama ilivyo katika mikataba yao.