Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mnoooooo hamna kitu paleKumbe US tulikuwa tuna mbeba kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnoooooo hamna kitu paleKumbe US tulikuwa tuna mbeba kweli kweli
Waarabu siyo kwamba wapo neutral by the way, mataifa mengi ya kiarabu example SAUDI,UAE and etc wana some issues na US ambaye amekataa kuendelea kuwa-support kwenye vita yao na waasi wa YEMEN, na pia wana resistance kubwa sana dhini ya nuclear deal ambayo mshirika wao US anataka kuingia na IRAN na wao wako against it, ingawa US bado anaendelea kuwa their stratergic allies.Russia akifanikiwa na ruble, nchi nyingi zitauza rasilimali zao kwa hela yao na ndicho hiko kitu hataki US. Hivi ushajiuliza mpaka sasa kwenye mgogoro huu nchi nyingi zipo neutral mpaka Waarabu, so nao wana sikilizia Russia akitoboa mwarabu nae na mafuta yake atataka kuuza kwa hela yake.
Huo ukimya wao una kitu ndani yake, brother mimi na kwambia hii ruble ikitoboa kutakuwa na madiliko mengi sana, watu wanaisikilizia na wapo standby ni swala la muda.Waarabu siyo kwamba wapo neutral by the way, mataifa mengi ya kiarabu example SAUDI,UAE and etc wana some issues na US ambaye amekataa kuendelea kuwa-support kwenye vita yao na waasi wa YEMEN, na pia wana resistance kubwa sana dhini ya nuclear deal ambayo mshirika wao US anataka kuingia na IRAN na wao wako against it, ingawa US bado anaendelea kuwa their stratergic allies.
Kaka, Changamoto kubwa ya uchumi wa Russia unategemea sana kwa kiasi kikubwa mauzo ya energy kuweza ku-support uchumi wao tofauti na USA au EU, sasa dunia ina-transition kwenda kwenye CLEAN ENERGY example-solar power, hydrocarbons, electic vehicles and etc. SAUDI wenyewe wameanza kuona mbali na wenyewe wameanza kuufungua uchumi wao kwa kasi mno na kuwekeza kwenye clean energy na kuvutia makampuni makubwa kutoka nje kwa kuona mwelekeo wa dunia in 30 years to come. In long term Russia atapoteza.Huo ukimya wao una kitu ndani yake, brother mimi na kwambia hii ruble ikitoboa kutakuwa na madiliko mengi sana, watu wanaisikilizia na wapo standby ni swala la muda.
POLEAwali, kulikuwa na condition kwamba transactions zingefanywa kwa rubles hususani kwa yale mataifa yaliyopewa jina "unfriendly" na Urusi.
Shida ipo katika implementation ya huo utaratibu. Mzunguko wa sarafu ya ruble katika soko la kimataifa ni mdogo sana. Nchi nyingi za Ulaya zimeupinga huo utaratibu kimkataba. Mpaka hapo hautekelezeki.
Kilichopo hivi sasa, nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Urusi zinaendelea kulipa kwa euros ama dollars kama ilivyo katika mikataba yao.
Achimbe marangapi[emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji1]
MOSCOW hakuna mashamba kijana[emoji2]kwan wote wanaish kwa kutegemea supermarket ?
Kwani ww ukiitqka dollar 100 hapo ulipo sasa hivi unafanyaje kuipata?Awali, kulikuwa na condition kwamba transactions zingefanywa kwa rubles hususani kwa yale mataifa yaliyopewa jina "unfriendly" na Urusi.
Shida ipo katika implementation ya huo utaratibu. Mzunguko wa sarafu ya ruble katika soko la kimataifa ni mdogo sana. Nchi nyingi za Ulaya zimeupinga huo utaratibu kimkataba. Mpaka hapo hautekelezeki.
Kilichopo hivi sasa, nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Urusi zinaendelea kulipa kwa euros ama dollars kama ilivyo katika mikataba yao.
Mpe POLE halaf muache atesekeKwani ww ukiitqka dollar 100 hapo ulipo sasa hivi unafanyaje kuipata?
waweza jazia nyamaMaandalizi ya "one world currency" yanakwenda vizuri.
Muongo wewe kua na fikra huru acha mahaba.Awali, kulikuwa na condition kwamba transactions zingefanywa kwa rubles hususani kwa yale mataifa yaliyopewa jina "unfriendly" na Urusi.
Shida ipo katika implementation ya huo utaratibu. Mzunguko wa sarafu ya ruble katika soko la kimataifa ni mdogo sana. Nchi nyingi za Ulaya zimeupinga huo utaratibu kimkataba. Mpaka hapo hautekelezeki.
Kilichopo hivi sasa, nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Urusi zinaendelea kulipa kwa euros ama dollars kama ilivyo katika mikataba yao.
Acha kunidanganya clean energy siyo suala la Leo au kesho watu wanaona magari kuingia kwenye kuacha mafuta na kuingia kwenye umeme wanaisi ni rahisi kuachana na mafuta ni Jambo litakalochukua nusu Karne kumalizika kwaiyo siyo Leo alafu katika uchimbaji WA mafuta pale mchimbaji anapata zaidi ya product 6 kwenye uchakataji Russia siyo kuwa inajiamini Kwa kujitegeza Ila inauwakika na inachokifanyaKaka, Changamoto kubwa ya uchumi wa Russia unategemea sana kwa kiasi kikubwa mauzo ya energy kuweza ku-support uchumi wao tofauti na USA au EU, sasa dunia ina-transition kwenda kwenye CLEAN ENERGY example-solar power, hydrocarbons, electic vehicles and etc. SAUDI wenyewe wameanza kuona mbali na wenyewe wameanza kuufungua uchumi wao kwa kasi mno na kuwekeza kwenye clean energy na kuvutia makampuni makubwa kutoka nje kwa kuona mwelekeo wa dunia in 30 years to come. In long term Russia atapoteza.
-Pia tunapoongelea maswala ya oil, matu wengi sana wanaiongelea Russia na kusahau USA bado ndiye mzalishaji mkubwa zaidi wa mafuta duniani kuliko nchi yeyote
Mkuu acha kuweka uswahili kwenye kila jambo, Ukijibu kiungwana kuna jambo unapoteza au ndo unahisi hoja yako ndo inakuwa na nguvu zaidi?Acha kunidanganya clean energy siyo suala la Leo au kesho watu wanaona magari kuingia kwenye kuacha mafuta na kuingia kwenye umeme wanaisi ni rahisi kuachana na mafuta ni Jambo litakalochukua nusu Karne kumalizika kwaiyo siyo Leo alafu katika uchimbaji WA mafuta pale mchimbaji anapata zaidi ya product 6 kwenye uchakataji Russia siyo kuwa inajiamini Kwa kujitegeza Ila inauwakika na inachokifanya
Acha kamba mzeeAwali, kulikuwa na condition kwamba transactions zingefanywa kwa rubles hususani kwa yale mataifa yaliyopewa jina "unfriendly" na Urusi.
Shida ipo katika implementation ya huo utaratibu. Mzunguko wa sarafu ya ruble katika soko la kimataifa ni mdogo sana. Nchi nyingi za Ulaya zimeupinga huo utaratibu kimkataba. Mpaka hapo hautekelezeki.
Kilichopo hivi sasa, nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Urusi zinaendelea kulipa kwa euros ama dollars kama ilivyo katika mikataba yao.
Ndio Marekani ni mzalishaji mkubwa wa mafuta, lakini anachozalusha hakimtoshi coz pia ni mtumiaji mkubwa wa mafutaKaka, Changamoto kubwa ya uchumi wa Russia unategemea sana kwa kiasi kikubwa mauzo ya energy kuweza ku-support uchumi wao tofauti na USA au EU, sasa dunia ina-transition kwenda kwenye CLEAN ENERGY example-solar power, hydrocarbons, electic vehicles and etc. SAUDI wenyewe wameanza kuona mbali na wenyewe wameanza kuufungua uchumi wao kwa kasi mno na kuwekeza kwenye clean energy na kuvutia makampuni makubwa kutoka nje kwa kuona mwelekeo wa dunia in 30 years to come. In long term Russia atapoteza.
-Pia tunapoongelea maswala ya oil, matu wengi sana wanaiongelea Russia na kusahau USA bado ndiye mzalishaji mkubwa zaidi wa mafuta duniani kuliko nchi yeyote
Serious as a heart attack!duh uko siriasi kweli?
Utaratibu uliopo sasa ni uleule wa kimkataba. Transactions zinafanyika kwa euros ama dollars kwa wengine. Masuala ya exchange kwenda ruble yanafanywa ndani ya Urusi na sio nje ya hapo.Wapi, kuanzia the 1 April Russia kauvunja huo mkataba.