Taratibu nchi za ulaya zimeanza kukubaliana na utaratibu wa manunuzi ya gesi kwa mfumo wa rubble. Slovakia yawa ya kwanza kukubali

Taratibu nchi za ulaya zimeanza kukubaliana na utaratibu wa manunuzi ya gesi kwa mfumo wa rubble. Slovakia yawa ya kwanza kukubali

We jamaa acha uongo ni nchi gani Kati ya zile zilizo pigwa sanction na russia ambayo inaendelea kulipa kwa mfumo wa euro na dollali badala ya rubble?
Habari umeileta wewe mwenyewe ila umeshindwa hata kuisoma vizuri, ndugu!

Umeisikia au umeiona kauli ya msemaji wa the Kremlin?

Ngoja nikusaidie kuinukuu hapa kutoka katika taarifa uliyoileta wewe mwenyewe. Peskov anasema hivi, nanukuu; "de facto nothing will change for European companies… They will pay, as they used to, in euro, the same currency that is indicated in the contracts", mwisho wa kunukuu.

Soma vizuri paragraph yote, inayoanza na maneno: "According to Putin's press secretary Dmitry Peskov".

Ukimaliza, unaweza kurejea ili tuendelee na mjadala.
 
Hivi si muuzaji ndio anaamua ?

Sasa wewe mnunuzi unanipangia jinsi ya kukuuzia ?, Something is not Right (actually many things are wrong) kwenye hii dunia ya Unafiki
Mikataba ndiyo inaamua!

International trade ni two-way street! Kila upande wa biashara unahitaji kitu kutoka upande mwingine. Hapo, mmoja anahitaji nishati, na mwingine anahitaji fedha.

Mikataba ndiyo inayopanga utaratibu wa kufanya biashara. In this case, hata sarafu inayotumika katika biashara inakuwa imeainishwa katika mikataba.
 
Tusi-complecate issues..., Muuzaji ndio anaamua achukue pesa gani as anajua hio pesa kwake itamfaa kwa matakwa yake; huwezi kumlazimisha muuzaji atumie pesa fulani, As a Contract ni makubaliano ya two parties; kama vile mnunuzi ambavyo halazimishwi kununua ndivyo muuzaji halazimishwi achukue kitu gani for exchange of his goods....

By the way ningeelewa kama Europe wangelazimisha as European Union kutumia Euro ili kukudha pesa yao; Dollar has nothing / no place in this equation
 
Kwani ww ukiitqka dollar 100 hapo ulipo sasa hivi unafanyaje kuipata?
Sehemu yoyote approved wanapofanya forex. Dollar ndiyo sarafu inayotumika zaidi kwenye international trade (sababu zinajulikana), hivyo nchi nyingi duniani huwa na akiba ya dollars katika forex reserves zao.
 
Tusi-complecate issues..., Muuzaji ndio anaamua achukue pesa gani as anajua hio pesa kwake itamfaa kwa matakwa yake; huwezi kumlazimisha muuzaji atumie pesa fulani, As a Contract ni makubaliano ya two parties; kama vile mnunuzi ambavyo halazimishwi kununua ndivyo muuzaji halazimishwi achukue kitu gani for exchange of his goods....

By the way ningeelewa kama Europe wangelazimisha as European Union kutumia Euro ili kukudha pesa yao; Dollar has nothing / no place in this equation
International trade haiko namna hiyo. Kinachoangaliwa katika soko la kimataifa ni sarafu ambayo iko traded zaidi na kirahisi, ndiyo inahusishwa katika mikataba. Sio rahisi hivyo mtu kujiamulia fedha anayotaka, risk ni kukosa wateja maana sio kila nchi inaweza kuweka akiba ya kila sarafu katika forex reserves zao.

Hapa tunazungumzia international trade, sio biashara za mitaani!

Mkataba ni makubaliano ya pande mbili zinazofanya biashara. Maamuzi ya muuzaji kuhusu aina ya pesa inayotumika, huwepo pia katika mkataba. Katika mikataba mingi ya nishati inayokuwa imported Ulaya ambayo tunaijadili hapa inaainisha transactions kufanywa kwa euro ambayo ni miongoni mwa sarafu zenye nguvu katika soko la kimataifa.
 
Taratibu maji na mafuta vimeanza kujitenga..

Hii ni baada ya Slovakia kukubali rasmi kufanya malipo ya gesi kwa mfumo wa rubble kama Russia inavyotaka iwe.. wamesema hawawezi kumpoteza Russia ambaye ni supplier mkuba wa gesi katika nchi yao.. Slovakia inategemea gesi kutoka urusi kwa zaidi ya asilimia 80.

May take; kwa hali ilivyo sasahihiv huko ulaya waswahili husema yakwambiwa ongeza na ya kwako.. Naona sashivi kila taifa limeanza kujiongeza la sivyo wawe tayari kukabiliana na mporomoko wa uchumi kwa kukosa gesi na mafuta ya kuendeshea mitambo ya viwanda. Pamoja na matumizi ya nyumbani..

Soma zaidi hapo chini: (Russian Today)

Slovakia agrees to pay for Russian gas in rubles​

The country cannot afford to lose its major supplier

Slovakia will pay for Russian natural gas in rubles if that’s what it takes to keep the commodity flowing, Slovak Economy Minister Richard Sulik has said on national television.

If there is a condition to pay in rubles, then we will pay in rubles,” Sulik said. He stressed that Russian imports account for roughly 85% of all Slovakian gas supplies, so the country’s authorities will remain pragmatic on the issue.

We cannot be cut off from gas,” Sulik emphasized, urging the rest of Europe to jointly seek a solution.

Nearly all of the countries of the European Union, of which Slovakia is a member, slapped Russia with economic sanctions over the past month, jeopardizing Russia’s ability to receive payments from trade partners in the European currency. In response, Russian President Vladimir Putin last week signed a decree introducing a new ruble gas payment mechanism.

Although it is viewed by some as going against existing gas contracts, the mechanism does not imply a change of the currency of payment. It enables buyers to open ruble accounts with Russian Gazprombank to facilitate the transfer of European companies’ payments to Russian suppliers.

According to Putin’s press secretary Dmitry Peskov, “de facto nothing will change for European companies… They will pay, as they used to, in euro, the same currency that is indicated in the contracts,” but the seller, Russia’s major gas exporter Gazprom, will be able to receive the funds in Russia’s national currency. Despite extensive explanations, however, many Russian buyers found themselves puzzled by the change. The initial reaction was mostly one of protest, with countries claiming they would not pay for gas in rubles. However, it appears that this will not be necessary at all.

The Slovakian economy minister, along with a number of other European politicians, said the situation calls for diversification of suppliers. But he said this may take years, while Slovakia has only two months to solve the current problem with fuel purchases.
Skip to sub-navigationSearch

MENU

Enter Search Term(s):

Frequently Asked Questions (FAQs)

This page has no sub-navigation. Skip to page content.

What countries are the top producers and consumers of oil?

The 10 largest oil1 producers and share of total world oil production2 in 20203

CountryMillion barrels per dayShare of world totalUnited States18.6120%Saudi Arabia10.8112%Russia10.50 11%Canada 5.23
6%China
4.86
5%Iraq 4.16
4%United Arab Emirates
3.78
4%Brazil
3.77
4%Iran 3.01
3%Kuwait 2.75
3%Total top 1067.49
72%World total93.86

1 Oil includes crude oil, all other petroleum liquids, and biofuels.
2 Production includes domestic production of crude oil, all other petroleum liquids, biofuels, and refinery processing gain.
3 Source: International Energy Statistics, Total oil (petroleum and other liquids) production, as of December 8, 2021

The 10 largest oil1 consumers and share of total world oil consumption in 20192

CountryMillion barrels per dayShare of world totalUnited States20.5420%China14.0114%India 4.92 5%Japan 3.74
4%Russia
3.70
4%Saudi Arabia 3.18
3%Brazil 3.14
3%South Korea 2.60
3%Canada 2.51
3%Germany 2.35
2%Total top 1060.69
60%World total100.23

1 Oil includes crude oil, all other petroleum liquids, and biofuels.
2 Source: International Energy Statistics, Total oil (petroleum and other liquids) consumption, as of December 8, 2021

Learn more:
Energy Explained: Where our oil comes from

Last updated: December 8, 2021

Other FAQs about Oil/Petroleum

Does EIA have county-level energy production data?

Does EIA have data on U.S. oil refineries and their locations?

Does EIA have data on the movement (transport) of crude oil, petroleum products, fuel ethanol, and biodiesel by rail?

Does EIA have data on the type or quality of crude oil?

Does EIA have forecasts or projections for energy production, consumption, and prices for individual states?

Does EIA have information on U.S. natural gas and oil pipelines?

Does EIA have information on unplanned outages or shutdowns of U.S. energy infrastructure?

Does the world have enough oil to meet our future needs?

How many alternative fuel and hybrid vehicles are there in the United States?

How many gallons of gasoline and diesel fuel are made from one barrel of oil?

How much coal, natural gas, or petroleum is used to generate a kilowatthour of electricity?

How much of the crude oil produced in the United States is consumed in the United States?

How much oil consumed by the United States comes from foreign countries?

How much oil is consumed in the United States?

How much oil is used to make plastic?

How much petroleum does the United States import and export?

How much shale (tight) oil is produced in the United States?

What are petroleum products, and what is petroleum used for?

What countries are the top producers and consumers of oil?

What do I pay for in a gallon of gasoline and diesel fuel?

What is U.S. electricity generation by energy source?

What is the difference between crude oil, petroleum products, and petroleum?

What is the outlook for home heating fuel prices this winter?

What types and amounts of energy are produced in each state?

When was the last refinery built in the United States?

On This Page:

Coal

Conversion & Equivalents

Diesel

Electricity

Environment

Gasoline

General Energy

Natural Gas

Nuclear

Oil/Petroleum

Prices

Renewables

Full list of upcoming reports

Sign up for email notifications

Get the What's New RSS feed

Didn't find the answer to your question?

Ask an energy expert

About EIA

Open Data

Press Room

Careers

Contact Us

U.S. Energy Information Administration
1000 Independence Ave., SW
Washington, DC 20585

Sources & Uses

Petroleum

Coal

Natural Gas

Renewable

Nuclear

Electricity

Consumption

Total Energy

Topics

Analysis & Projections

Environment

Markets & Finance

Energy Disruptions

Today in Energy

Geography

States

Countries

Maps

Tools

A-Z Index

All Reports & Publications

Data Tools, Apps, and Maps

EIA Survey Forms

EIA Beta

Policies

Privacy/Security

Copyright & Reuse

Accessibility

Information Quality

Freedom of Information Act (FOIA)

Vulnerability Disclosure Program

Related Sites

U.S. Department of Energy

USA.gov

Stay Connected

Facebook

Twitter

Youtube

Flickr

LinkedIn

Email Updates

RSS Feeds
 
Ndio Marekani ni mzalishaji mkubwa wa mafuta, lakini anachozalusha hakimtoshi coz pia ni mtumiaji mkubwa wa mafuta

Ulaya wanajimwambafy tuu subiri mwezi may wakati wanasubiri kuanza kwa baridi uone ...lazima wapige magoti kwa Russia
 
Ruble ni jina la fedha ya urusi
Yaani ni kama shilingi Hapa kwetu bongo,sio madini Mzee baba

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Najua rubles ni fedha, Tanzania si huwa tunahifadhi ya fedha za kigeni, na huwa tunasema hatufungamani na upande wowote...sasa hatuna hizo rubles ili tununue wese kwa bei nafuu ?
 
Nachokiona very soon kila mwenye chake atadai kulipwa kwa hela yake. Waarabu na mafuta yao wanasikilizia tu

Anguko la dollar liko pale pale
Kosa kubwa alilofanya marekan ni kuwa na kiherehere cha kuweka vikwazo watu
 
Utaratibu uliopo sasa ni uleule wa kimkataba. Transactions zinafanyika kwa euros ama dollars kwa wengine. Masuala ya exchange kwenda ruble yanafanywa ndani ya Urusi na sio nje ya hapo.
Tafuta taarifa kaka.
 
Back
Top Bottom