Taratibu nchi za ulaya zimeanza kukubaliana na utaratibu wa manunuzi ya gesi kwa mfumo wa rubble. Slovakia yawa ya kwanza kukubali

Waarabu siyo kwamba wapo neutral by the way, mataifa mengi ya kiarabu example SAUDI,UAE and etc wana some issues na US ambaye amekataa kuendelea kuwa-support kwenye vita yao na waasi wa YEMEN, na pia wana resistance kubwa sana dhini ya nuclear deal ambayo mshirika wao US anataka kuingia na IRAN na wao wako against it, ingawa US bado anaendelea kuwa their stratergic allies.
 
Huo ukimya wao una kitu ndani yake, brother mimi na kwambia hii ruble ikitoboa kutakuwa na madiliko mengi sana, watu wanaisikilizia na wapo standby ni swala la muda.
 
Huo ukimya wao una kitu ndani yake, brother mimi na kwambia hii ruble ikitoboa kutakuwa na madiliko mengi sana, watu wanaisikilizia na wapo standby ni swala la muda.
Kaka, Changamoto kubwa ya uchumi wa Russia unategemea sana kwa kiasi kikubwa mauzo ya energy kuweza ku-support uchumi wao tofauti na USA au EU, sasa dunia ina-transition kwenda kwenye CLEAN ENERGY example-solar power, hydrocarbons, electic vehicles and etc. SAUDI wenyewe wameanza kuona mbali na wenyewe wameanza kuufungua uchumi wao kwa kasi mno na kuwekeza kwenye clean energy na kuvutia makampuni makubwa kutoka nje kwa kuona mwelekeo wa dunia in 30 years to come. In long term Russia atapoteza.
-Pia tunapoongelea maswala ya oil, matu wengi sana wanaiongelea Russia na kusahau USA bado ndiye mzalishaji mkubwa zaidi wa mafuta duniani kuliko nchi yeyote
 
POLE
 
Kwani ww ukiitqka dollar 100 hapo ulipo sasa hivi unafanyaje kuipata?
 
Unapopigana na mtu inatakiwa uwe makini sana asije akashika au kupiga baadhi ya maeneo,na nikiangalia hapo naona kama Russia kuna mahali kashika na ameng'ang'ania hataki kuachia...
 
Muongo wewe kua na fikra huru acha mahaba.
 
Acha kunidanganya clean energy siyo suala la Leo au kesho watu wanaona magari kuingia kwenye kuacha mafuta na kuingia kwenye umeme wanaisi ni rahisi kuachana na mafuta ni Jambo litakalochukua nusu Karne kumalizika kwaiyo siyo Leo alafu katika uchimbaji WA mafuta pale mchimbaji anapata zaidi ya product 6 kwenye uchakataji Russia siyo kuwa inajiamini Kwa kujitegeza Ila inauwakika na inachokifanya
 
Mkuu acha kuweka uswahili kwenye kila jambo, Ukijibu kiungwana kuna jambo unapoteza au ndo unahisi hoja yako ndo inakuwa na nguvu zaidi?
 
Acha kamba mzee
 
Ndio Marekani ni mzalishaji mkubwa wa mafuta, lakini anachozalusha hakimtoshi coz pia ni mtumiaji mkubwa wa mafuta
 
Wapi, kuanzia the 1 April Russia kauvunja huo mkataba.
Utaratibu uliopo sasa ni uleule wa kimkataba. Transactions zinafanyika kwa euros ama dollars kwa wengine. Masuala ya exchange kwenda ruble yanafanywa ndani ya Urusi na sio nje ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…