Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 645
- 562
Kaenda na chupa ya chai ya mchaichai akainogesha na irikiHELA YA CHAI UMETOA?
Kwa wema wake na.maandazi
Umemponza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaenda na chupa ya chai ya mchaichai akainogesha na irikiHELA YA CHAI UMETOA?
Nilitaka kumwambia hivyo hivyo!Tumia mbinu za medani utaipata tu.
Dah.... Itabidi nitafte ya kuzugia!Hapo ite either utumie pesa, au tafuta ofisi ya kuzugia unayoweza kuafford.
Nimekupata... Ngoja nitafte ofisi ya kuzugiaNilitaka kumwambia hivyo hivyo!
Nashukuru kwa msaada wakoTRA wakikuhitaji watakupata wapi, afisa biashara wakitaka kukagua leseni wataikagulia wapi na watajuaje leseni imeisha muda wake unatakiwa kukata nyingine. kwa biashara yako umewahi kwenda kuripoti TRA kuwa unakwenda kulipia mapato? ungeanza na hilo wakuone mwaminifu ndio watakupa TIN na leseni ya biashara
Dahhaiwezekani ...sheria hairuhusu
Hahahahahahaha!Kaenda na chupa ya chai ya mchaichai akainogesha na iriki
Kwa wema wake na.maandazi
Umemponza
Nitafanya hivyo mkuu!Kigumu ni eneo la bihashara ,au TIN number?
Tafuta chumba ata kidogo sehemu ambayo unaweza kumudu, ata huko uswazi then endelea na mchakato.
Vinginevyo tumia mbinu ya " medani" kama ulivyoshahuriwa.
Kigumu ni eneo la biasharaKigumu ni eneo la bihashara ,au TIN number?
Tafuta chumba ata kidogo sehemu ambayo unaweza kumudu, ata huko uswazi then endelea na mchakato.
Vinginevyo tumia mbinu ya " medani" kama ulivyoshahuriwa.
Sijatoa mkuuHELA YA CHAI UMETOA?
Duh.... Sijatoa pesaPesa
Duh.... Sijatoa pesaPesa