Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

TRA wakikuhitaji watakupata wapi, afisa biashara wakitaka kukagua leseni wataikagulia wapi na watajuaje leseni imeisha muda wake unatakiwa kukata nyingine. kwa biashara yako umewahi kwenda kuripoti TRA kuwa unakwenda kulipia mapato? ungeanza na hilo wakuone mwaminifu ndio watakupa TIN na leseni ya biashara
 
Hapo its either utumie pesa, au tafuta ofisi ya kuzugia unayoweza kuafford.
 
TRA wakikuhitaji watakupata wapi, afisa biashara wakitaka kukagua leseni wataikagulia wapi na watajuaje leseni imeisha muda wake unatakiwa kukata nyingine. kwa biashara yako umewahi kwenda kuripoti TRA kuwa unakwenda kulipia mapato? ungeanza na hilo wakuone mwaminifu ndio watakupa TIN na leseni ya biashara
Nashukuru kwa msaada wako
 
Kwahiyo unapotaka TN no lazima uwe na biashara au unaweza kupata kisha ukaendelea kujipanga ki biashara wakati TIN no unayo?
 
Wakuu habari za jioni

Naombeni msaada nimepatwa Na tatizo kwenye kiofisi changu wadau watu wa manispaa wamekuja funga ofisi Sina leseni

Sasa tatizo linakuja jamaa wananiambia nilipe faini laki nne Na nusu yani wameweka pesa ya faini Na leseni, kwel jamani ni haki biashara yenyewe kwa siku ikiwa nzuri napata elfu ishirini tu naitoa wapi iyo pesa Na biashara nimeianza mwezi wa tatu mwaka huu

Hata kama ni kukusanya mapato Basi watoe faini zinazofanana Na uhalisia hiki wanachokifanya ni kutaka kuturudisha nyuma kabisa ambao tumeanza jiajiri

Kwa wenye uzoefu naombeni mnisaidie ushauri nianzie wapi wamenipa karatasi ambalo wameandika iyo faini linanipa mashaka hata Mimi naweza enda stationary nikatengeneza mana halina kiashiria chochote kama ni la manispaa

Nawasilisha
 
Wazoefu naombeni mawazo yenu apa nianzie wapi wadau
 
Back
Top Bottom