Ramos Gerald
Member
- May 30, 2017
- 44
- 44
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda halmashauri uliyokoNa wa mikoani je maana me nataka nikachukue cha mwanangu
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Nimekupata mkuu ahsanteRita wanapatikana Ofisi yoyote ya Mkuu Wa wilaya.
Nenda huko utapata maelekezo
Mtoto kuanzia miaka 0 mpaka 10 ada ni Sh 5000, unavyoenda nenda na picha na Copy ya kadi ya Kliniki au Cheti cha ubatizo na kama huna vyote basi barua ya Mtendaji Wa mtaa.
Mtu kuanzia miaka 10 nakuendelea ni Sh 10000, uende na Picha, na copy ya Cheti cha ubatizo au cheti cha Darasa LA saba na kama huna vyote hivyo uende na barua ya Mtendaji Wa mtaa.
Muda Wa kupata cheti ni Wiki mbili baada ya kujaza fomu.
AsanteRita wanapatikana Ofisi yoyote ya Mkuu Wa wilaya.
Nenda huko utapata maelekezo
Mtoto kuanzia miaka 0 mpaka 10 ada ni Sh 5000, unavyoenda nenda na picha na Copy ya kadi ya Kliniki au Cheti cha ubatizo na kama huna vyote basi barua ya Mtendaji Wa mtaa.
Mtu kuanzia miaka 10 nakuendelea ni Sh 10000, uende na Picha, na copy ya Cheti cha ubatizo au cheti cha Darasa LA saba na kama huna vyote hivyo uende na barua ya Mtendaji Wa mtaa.
Muda Wa kupata cheti ni Wiki mbili baada ya kujaza fomu.
Nenda katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wako ukiwa na Barua kutoka kwa Mwenyekiti wa kijiji chako.Na wa mikoani je maana me nataka nikachukue cha mwanangu
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Pesa kiasi gani mkuu!Passport size, pesa
ndugu..kitambulisho cha kula ndo kikoje?Ofisi zipo katika wilaya zote sjajua kwa wilaya mpya chamsingi uwe na utambulisho kutoka serikali za mtaa,au kitambulisho cha kula,au living certificate
Asante sana mkuuNenda ofisi ya Mkuu wa Wilaya ambako zipo ofisi za Rita (Watoaji vyeti vya kuzaliwa na Vifo)
Kama ni wewe mwenyewe(mtu mzima ) Nenda na Elfu Kumi (Kama hawajaweka malipo ya M-pesa maana kwingine unalipa kwa M-Pesa) watakupa fomu ya kujaza ambayo utaambatanisha kopi ya Cheti cha Ubatizo au Cha Darasa la saba au Barua ya Mtendaji pamoja na Picha.
Kama ni kwa mtoto ni Sh Elfu tano, Picha yake na kadi ya kliniki.
Cheti kinatoka baada ya wiki moja ya malipo.
Asante mkuuOfisi zipo katika wilaya zote sjajua kwa wilaya mpya chamsingi uwe na utambulisho kutoka serikali za mtaa,au kitambulisho cha kula,au living certificate
Nadhani amemaanisha chakupigia kurandugu..kitambulisho cha kula ndo kikoje?