Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

Boda watu wanavuka sana wana njia zao
Wengine wanapenda salimia jamaa zap upande wa pili,
Kuna wakati nlikuwa Zambia nliporudi nkaingia tunduma sasa kuna Siku tunawa tunapiga mambo yetu pale hotel ya Yule msafa stone silver eh usiku kama saa nne hivi jamaa wakasema twendeni nakonde ahh wakaendeleze si walipigia Hizo njia Mara hao nakonde nkasema kweli boda ni boda tukarudi alfajiri tunduma na mahangover yetu

Ova
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mlikumbuka kutumia lakini? Maana boda ile hawana msamiati wa HAPANA kwenye bulangata zao
 
Nilikatiza pale mara mbili 98 na 99
2000 nlikatiza beltbridge dah
Sasa kuna muda niliazima jacket ya mpumbavu mmoja mbongo kumbe kulikuwa na hash miarufu nashangaa nganga anani mind mbwa ananisogelea ile chama na mogela Mara wazee hao kujieleza nakuambia nlivuta njiani
Ilikuwa balaa.....jamaa y ule mbongo najua nilimmind sana

Dah umenikumbusha mbali sana daraja la Beitbridge longtime kitambo sana nitakuja kusimulia habari yake
 
Naamini wote ni wazima natafuta msaada wa kupata cheti cha kuzaliwa(sina kitambulisho chochote ) kama upa tayari kunisaidia njoo pm Of course hela ya chain ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom