Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

Namin wrote in wazima...natafuta msaada wa kupata cheti cha kuzaliwa(sina kitambulisho chochote )
Kama upa tayari kunisaidia njoo pm ..
Of course hela ya chain ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Asnt...Sena uko Rita saiv kazi sana kupata.vigezo vyote sins(kadi ya pigs kura,leseni,chet drsa saba,)

Sent using Jamii Forums mobile app
It makes sense kujaribu kutumia njia za panya wakati ilikuwa ni suala la kwenda RITA tu, mnamalizana!!
 
Umetumwa na rita uje utukamate watengeneza cheti kwa njia za panya
Tushakustukia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna ujanja wala shortcut kupata cheti cha kuzaliwa. The easiest way ni kwenda RITA ukianzia wilayani kwako utapata maelezo manyoofu kabisa , kama huna hizo identities watakuelekeza cha kufanya..hukohuko. huku mitaani wala himu jf hakuna mtengeneza vyeti nyeti kama hivyo wala mwenye uwezo wa kukufanyia kwa niaba.

Asante bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetumwa na rita uje utukamate watengeneza cheti kwa njia za panya
Tushakustukia

Sent from my iPhone using JamiiForums
Amna bro....natafuta to msaada was short cut mana njia rasmi nimeshindwa bcoz mzazi wangu 1 in mbongo(kafarik) na mwengine sio...so saiv Niko dar illa Moshe zote wanomba niwe na kitambulisho cha nida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,
Nimepoteza cheti changu cha kuzaliwa(orginal), lakini nina copy yake. Naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata cheti kingine.
Asanteni
 
Nilipoteza changu mwishoni mwa mwaka 2017. Kwa kuwa kilikuwa kimetolewa mkoani, ikabidi niende pale ofisi za RITA makao makuu. Nilipoenda na copy yake, nikaambiwa nikalipe 1500. Kisha nikafanya taratibu nyingine kama nilivyoelekezwa na kuambiwa kurudi baada ya siku kadhaa. Siku niliyorudi nikakuta kile kitabu kilichotumika kuandikisha hicho cheti miaka zaidi ya 25 iliyopita kiko pale. Nikaulizwa iama nataka kufanya mabadiliko kwenye majina yangu. Nikawaambia ndio, basi nikaambiwa niandike barua kwa ajili ya hayo marekebisho kisha nikalipia 6500. Nikapewa tarehe ya kuja kuchukua Cheti changu. Maisha yakaendelea. Muhimu unapoenda pale uwe na kitambulisho
 
Asante
 
MORNING,

wakuu mdogo wangu amepoteza tangazo la kuzaliwa la mtoto Wake wa miaka 4yrs na anataka kwenda kufuatlia cheti cha kuzaliwa, na inasemekana ameambiwa bila tangazo la uzazi na kifo hawezi kupata cheti cha kuzaliwa cha mtoto eti. ,je afanyaje hapo kwa anaejua,,
 
Back
Top Bottom