Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

Watoto was miaka 0-4 wanapewa cheti katika hospitali walikozaliwa
Hospitali nyingi za serikalini wanafanya hvyo siku hz sijajua kwa private hospitals
 
Wakuu habarini za asubuhi, nahitaji cheti cha kuzaliwa cha mtoto umri wake mpaka sasa ni miezi 4. Wapi naweza pata na mchanganuo wake ukoje?
 
Kama una tangazo nenda ofisi ya RITA iliyopo karibu utaelekezwa hatua nyingine za kufuata, Kama huna tangazo itabidi ufuatilie kwanza ktk hospital alikozaliwa mtoto
Fuata huu ushauri... na mara nying sana ofisi za RITA zinakuwa kwenye ofisi za wilaya. Gharama yake nadhani ni elfu 4..

All the best.
 
Kama una tangazo nenda ofisi ya RITA iliyopo karibu utaelekezwa hatua nyingine za kufuata, Kama huna tangazo itabidi ufuatilie kwanza ktk hospital alikozaliwa mtoto
Tangazo naona mama hakuchukua ,what if nikienda na RITA na kopi ya kadi ya klinic ,will it work?
 
Nikienda na kopi ya Kadi ya klinic RITA ni process zipi nitaambiwa nifuate then after?
fuata tangazo hospital alikozaliwa watakupa, RITA gharama ni 3500 tu Kwa watoto, Wiki iliyopita nimetoka uko
 
Huku kwetu watoto wote chini ya miaka mitano wanajiandikisha hapo zahanati na wanaletewa vyeti. Maendeleo makubwa kupitia Mh. Magufuli.
 
Mimi ni mwanafunzi wa Kidato cha Sita nahitaji kufanya uhakiki kwa cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo lakini mfumo wa RITA wa mwaka huu umenishinda. Mwaka jana nilifanya kupitia uhakiki Portal.

Kama kuna yoyote aliyefanya maombi hayo nakufanikiwa anisaidie tafadhali.
 
Kama una tangazo nenda ofisi ya RITA iliyopo karibu utaelekezwa hatua nyingine za kufuata, Kama huna tangazo itabidi ufuatilie kwanza ktk hospital alikozaliwa mtoto
Mkuu rita wanahitaji kitu gani kingine zaidi ya tangazo na elfu 5?
 
Back
Top Bottom