Taratibu za kupata passport ya kusafiri zipoje?

Sasaa viambatanisho kama vipi ambavyo wataamini kuwa una safari kweli?
 
Kwani passport ni lazima niwe na barua? Ivi ile ambayo inakaa miaka 10 ndio passport? What if nikawa sina safari leo ila nikaamua kukata tu niwe nayo?

Je kuna tofauti gani kati ya viza na passport?
 
Vi
Kwani passport ni lazima niwe na barua? Ivi ile ambayo inakaa miaka 10 ndio passport? What if nikawa sina safari leo ila nikaamua kukata tu niwe nayo?

Je kuna tofauti gani kati ya viza na passport?
Kwa uelewa wangu ninavyofahamu viza unaipata kutoka ile nchi unayotaka kwenda kupitia ubalozi wa ile nchi ambao upo nchini kwako passport unaipata nchini kwako na ndio inayokusaidia kupata visa
Ya kwenda nchi nyingine
 
karibu, kwasasa kuipata pasi ya kusafiria kuna kazi pevu sana, mimi nilikuwa nina renew cha moto nilikiona
Hivi ukibadilisha passport kama ulikuwa nayo unaanza upya?Mimi nilipata passport kwa familia yangu nikiwa nafanya kazi nje ya nchi sasa nimerudi nchini lakini bado tunazihitaji kwa ajili ya kutalii nje nk.Wakati nafanya kazi nje sababu niliiandika watakuwa wanakuja kunitembelea(walikuwa wanakuja kweli mara moja moja),sasa hivi sijui nitaandika sababu gani!
 
ku renew na kuomba mpya taratibu zinafanana
 
Aise.Hapo sasa watatuumiza wengi.Za sasa zinaisha matumizi lini?Asante kwa taarifa
ukomo ni uleule uliopo, ikiisha unaombavya kieletronic, ambapo matumizi yake mwisho ni 2019/2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…