Taratibu za Mikopo ya Benki

Taratibu za Mikopo ya Benki

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,102
Reaction score
355
Ukitaka kukopa 30mil, riba ni kiasi gani wakuu? Mkopo miaka 3 au miaka 6. Naomba ufafanuzi kwa anaejua vizuri taratibu za mikopo ya benki.
 
Mwenye uzoefu au kujua habari za mikopo usipite bila ku comment.
 
Ukitaka kukopa 30mil, riba ni kiasi gani wakuu? Mkopo miaka 3 au miaka 6. Naomba ufafanuzi kwa anaejua vizuri taratibu za mikopo ya benki.
Inategemeana na Riba ya bank husika.

Kadri unavyokaa na pesa muda mrefu ndivyo utavyorudisha pesa kubwa zaidi. Ila faida yake ni kwamba marejesho ya kila mwezi huwa yanakuwa kidogo.

Kumbuka ukubwa wa pesa unayotakiwa kukopa unategemeana na thamani ya Dhamana yako kama ni mshahara, biashara au nyumba.
 
Ukiwa na dhamana ya mshahara wa 1M, unaweza kukopa pesa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom