the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,102
- 355
Ukitaka kukopa 30mil, riba ni kiasi gani wakuu? Mkopo miaka 3 au miaka 6. Naomba ufafanuzi kwa anaejua vizuri taratibu za mikopo ya benki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila bank ina conditions zake tembelea tawi lolote unalotaka kopa utapata taarifa zote.Mwenye uzoefu au kujua habari za mikopo usipite bila ku comment.
Sawa mkuu.Kila bank ina conditions zake tembelea tawi lolote unalotaka kopa utapata taarifa zote.
Inategemeana na Riba ya bank husika.Ukitaka kukopa 30mil, riba ni kiasi gani wakuu? Mkopo miaka 3 au miaka 6. Naomba ufafanuzi kwa anaejua vizuri taratibu za mikopo ya benki.
Ukiwa na dhamana ya mshahara wa 1M, unaweza kukopa pesa kiasi gani?Inategemeana na Riba ya bank husika.
Kadri unavyokaa na pesa muda mrefu ndivyo utavyorudisha pesa kubwa zaidi. Ila faida yake ni kwamba marejesho ya kila mwezi huwa yanakuwa kidogo.
Kumbuka ukubwa wa pesa unayotakiwa kukopa unategemeana na thamani ya Dhamana yako kama ni mshahara, biashara au nyumba.
Nadhani inafika mpaka 20M-30MUkiwa na dhamana ya mshara wa 1M, unaweza kukopa pesa kiasi gani?
Asante kwa comment yako.Nadhani inafika mpaka 20M-30M
Maana wenye mishahara ya Laki 5 au 6 wanakopa mpaka 15M