Lightysh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 434
- 1,551
Marahabaaaaa... ndio nimeolewa... Wataka kuwa mke wa pili?Aah mkuu vitu vingine vinashangaza,ndo maana anaambiwa huu ukweli. Shkamoo wewe hapo lakini, mzima? Umeolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahabaaaaa... ndio nimeolewa... Wataka kuwa mke wa pili?Aah mkuu vitu vingine vinashangaza,ndo maana anaambiwa huu ukweli. Shkamoo wewe hapo lakini, mzima? Umeolewa?
Andamana serikali iongeze maslahi kwa walimu.Habari za asubuhi wanajamvi,
Samahani naomba kujuzwa ikiwa kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu Kwa waalimu kufanya biashara darasani Kwa wanafunzi anaowafundisha?
Kwa ufupi ni kwamba kuna shule moja ipo mkoani Morogoro, wilaya ya Morogoro DC ambapo mwezi January niliwahamishia wanangu wakitokea Mkoani Rukwa tulikokua tukiishi.
Tangu wameanza shule hapo kumekua na mabadiliko kidogo ya kitabia kwa wanangu, wamekua na tabia ya kuomba sana pesa asubuhi wanapotoka kwenda shule kitu ambacho hawakua nacho mwanzo na usipowapa wanakosa amani kabisa.
Sasa katika kufuatilia nini chanzo cha mabadiliko hayo kitabia nikagundua kuwa Kuna mwalimu wa chekechekea anauza maandazi na vitu vingine humo darasani Tena anaweka juu ya meza pale ndo anapendelea kufundisha huku anauza tena kwa kupromote biashara yake.
Sasa hili limenifikirisha nimeona nililete hapa tulijadili Kwa pamoja 🙏🙏🙏
Bro usitafute jumba bovu kwangu, wewe wape watoto hela za maandazi asubuhi hivyo tu yaani. Hawa ni watoto wako kumbuka hawana mwingine wa kumtegemeaUnaonyesha ni jinsi Gani ulivyomkulupukaji , wapi nimeandika kuwa ninakuzidi katika uwezo wa kufikiri?
Au nimeandika kuwa una uwezo mdogo wa kufikiri ? Usiongozwe na mihemko mkuu soma elewa kilichoandikwa kabla hujajibu
Yaani nimecheka sana, utafikiri walikua wanamsubiria ashushe uzi nao watoe yao ya moyoni🤣😅😅😅😅Comments zinachekesha..
🤣🤣hongera,nimekupenda bure tu huo uzuri wakoMarahabaaaaa... ndio nimeolewa... Wataka kuwa mke wa pili?
Kiukweli hata mambo yanafikirisha sana wale tunapaswa kukemea....kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake...
Ila tukubali kwamba tukiendelea na tabia hizi za kuruhusu mambo ya uvunjaji wa kanuni,miongozo,taratibu,maadili na sheria za kazi,tutaendelea kuwa na taifa lenye wafanyakazi wasio na weledi mahala pa kazi kama ambavyo tumekuwa tukilalamika mara kwa mara juu ya wafanyakazi na wayatendayo mahala pa kazi.
Samaki mkunje angali mbichi.
Tukubali moja,ama turuhusu hizi tabia na tusilalamike, au tukataze na kutengeneza uwajibikaji mahala pa kazi na weledi na kufaidi matunda yake.
Tanzania bora ya kesho inaanza kujengwa leo na watoto wanaokuzwa kimaadili.
Shukrani mkuu , nafikiri Kuna mahali kama taifa tunapaswa tujitathmini....kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake...
Ila tukubali kwamba tukiendelea na tabia hizi za kuruhusu mambo ya uvunjaji wa kanuni,miongozo,taratibu,maadili na sheria za kazi,tutaendelea kuwa na taifa lenye wafanyakazi wasio na weledi mahala pa kazi kama ambavyo tumekuwa tukilalamika mara kwa mara juu ya wafanyakazi na wayatendayo mahala pa kazi.
Samaki mkunje angali mbichi.
Tukubali moja,ama turuhusu hizi tabia na tusilalamike, au tukataze na kutengeneza uwajibikaji mahala pa kazi na weledi na kufaidi matunda yake.
Tanzania bora ya kesho inaanza kujengwa leo na watoto wanaokuzwa kimaadili.
Umeshinda mkuu🙏🙏🙏Bro usitafute jumba bovu kwangu, wewe wape watoto hela za maandazi asubuhi hivyo tu yaani. Hawa ni watoto wako kumbuka hawana mwingine wa kumtegemea
Yaani unataka kuchunguza sera ili ufanyeje? Ubadili utaratibu au? Hiyo shule hapo Morogoro ina wanafunzi 800+ na wazazi wenye watoto wamekuwa wanaishi vizuri tu na waalimu kwa kuwa support hizo mia mia za maandazi wewe umehamia toka Mpanda huko unajifanya unajua sana habari za sera, kwamba wewe una akili na maarifa sana kuwazidi wazazi wote wenye watoto hapo kwa miaka yote ya hiyo shule.
Acha ubahili na kujifanya mjuaji, NUNULIA WATOTO MAANDAZI FULLSTOP
Hakuna taratibu wala kanuni hapo,mwalimu anatafuta namna ya kujikim,taratibu na kanuni zitafatwa mwalim akiwezeshwa,we mpe mtoto pesa tena mwalimu ana mpango wa kuweka na juice kabisa.Habari za asubuhi wanajamvi,
Samahani naomba kujuzwa ikiwa kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu Kwa waalimu kufanya biashara darasani Kwa wanafunzi anaowafundisha?
Kwa ufupi ni kwamba kuna shule moja ipo mkoani Morogoro, wilaya ya Morogoro DC ambapo mwezi January niliwahamishia wanangu wakitokea Mkoani Rukwa tulikokua tukiishi.
Tangu wameanza shule hapo kumekua na mabadiliko kidogo ya kitabia kwa wanangu, wamekua na tabia ya kuomba sana pesa asubuhi wanapotoka kwenda shule kitu ambacho hawakua nacho mwanzo na usipowapa wanakosa amani kabisa.
Sasa katika kufuatilia nini chanzo cha mabadiliko hayo kitabia nikagundua kuwa Kuna mwalimu wa chekechekea anauza maandazi na vitu vingine humo darasani Tena anaweka juu ya meza pale ndo anapendelea kufundisha huku anauza tena kwa kupromote biashara yake.
Sasa hili limenifikirisha nimeona nililete hapa tulijadili Kwa pamoja 🙏🙏🙏
Hahaa nashukuru🤣🤣hongera,nimekupenda bure tu huo uzuri wako
Ubarikiwe na family yako yote.Hahaa nashukuru
Mwalimu hatakiwi kufanya biashara darasani na hata eneo zima la shule.Habari za asubuhi wanajamvi,
Samahani naomba kujuzwa ikiwa kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu Kwa waalimu kufanya biashara darasani Kwa wanafunzi anaowafundisha?
Kwa ufupi ni kwamba kuna shule moja ipo mkoani Morogoro, wilaya ya Morogoro DC ambapo mwezi January niliwahamishia wanangu wakitokea Mkoani Rukwa tulikokua tukiishi.
Tangu wameanza shule hapo kumekua na mabadiliko kidogo ya kitabia kwa wanangu, wamekua na tabia ya kuomba sana pesa asubuhi wanapotoka kwenda shule kitu ambacho hawakua nacho mwanzo na usipowapa wanakosa amani kabisa.
Sasa katika kufuatilia nini chanzo cha mabadiliko hayo kitabia nikagundua kuwa Kuna mwalimu wa chekechekea anauza maandazi na vitu vingine humo darasani Tena anaweka juu ya meza pale ndo anapendelea kufundisha huku anauza tena kwa kupromote biashara yake.
Sasa hili limenifikirisha nimeona nililete hapa tulijadili Kwa pamoja 🙏🙏🙏
😀😀😀😀😀Bro usitafute jumba bovu kwangu, wewe wape watoto hela za maandazi asubuhi hivyo tu yaani. Hawa ni watoto wako kumbuka hawana mwingine wa kumtegemea
Yaani unataka kuchunguza sera ili ufanyeje? Ubadili utaratibu au? Hiyo shule hapo Morogoro ina wanafunzi 800+ na wazazi wenye watoto wamekuwa wanaishi vizuri tu na waalimu kwa kuwa support hizo mia mia za maandazi wewe umehamia toka Mpanda huko unajifanya unajua sana habari za sera, kwamba wewe una akili na maarifa sana kuwazidi wazazi wote wenye watoto hapo kwa miaka yote ya hiyo shule.
Acha ubahili na kujifanya mjuaji, NUNULIA WATOTO MAANDAZI FULLSTOP
KUna mtu aliwahisema "kila mbuzi ile kwa urefu wa kamba yake" kamba ya mwl inafika darasaniUnaelewa maana ya kula Kwa kadri ya urefu wa kamba?
Amen, you too mpendwa ubarikiwe.Ubarikiwe na family yako yote.
Amen, you too mpendwa ubarikiweUbarikiwe na family yako yote.
HahaaHakuna taratibu wala kanuni hapo,mwalimu anatafuta namna ya kujikim,taratibu na kanuni zitafatwa mwalim akiwezeshwa,we mpe mtoto pesa tena mwalimu ana mpango wa kuweka na juice kabisa.
Muongozo gani unataka,miongozo inaanzia kuvunjwa kwa viongozi wa juu kabisa wa serikali sembuse huku kwa walimu.Hapa bongo hakuna cha muongozo wala nini kinachazingatiwa sasa hv ni kujinusuru kadri unavyoweza..Maisha ni pesa najua na nilazima pesa itumike Ili maisha yaende but my point ni kutaka kuelewa miongozo inasemaje kuhusu Hilo