Tarehe 03 Juni, 2023 Yanga inachukua kombe, kila mmoja aseme AMEN

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club.

Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa....

Watanzania tusimame na Yanga kwani wanawakilisha Taifa

GENTAMYCIME
 
Simba wanakuwa na umoja wa kutosha ili kumuangusha nyati, basi jitihada za ziada zitumike, nyati akikurarua na pembe zake unaondoka. Waarabu msiturarue na mapembe yenu.
 
Pw utchukua usijl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…