THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda Mpenda Football ambae Ndoto yake kubwa ilikua siku moja anione nachezea Manchester United ila sema tu akatangulia mbele za haki na mimi nikakosa usimamizi mzuri katika soka na kuamua kugeukia Talanta yangu nyingine ya Uchambuzi wa soka THE FIRST BORN Tarehe 12 mwez wa 5 hua siku yangu ya kuzaliwa..
Na this Time Mungu wangu ninae mwamini alienipa hiki kipawa na Akili nyingi ambazo ziliniwesha kua Mwanafunzi wa kwanza kutoka Wilaya Yangu kusomea Shule ya KIPAJI MAALUMU ILBORU Rekodi ambayo naishikiria hadi Mda huu na kwa akili hizi za watoto wa saiv haitokuja kuvunjwa kamwe...
Nirud kwenye mada Mungu kaniambia kama tarehe 20 KOLO litakufa na tarehe 10 likafa tena kwa Azam basi Tarehe 12 nitakua nafurahia Mara 3 kwanza siku yangu ya kuzaliwa,Pili Yanga Bingwa, Tatu Nitakua na Mke wangu mtoto wa KIHANGAZA DAMU YA KINYARAWANDA MIXER KISUKUMA.
YANGA BINGWA TENA 2023/2024
NOTE;
HUUU UZI UKIONA NIMEANDIKA KWA KUTUMIA AKILI NYINGI NA UMEELEWA TOA REPLY ILA KAMA HUJAELEWA CHOCHOTE UNAWEZA KUENDELEA KUCHEZEA REMOTE YA NYUMBAN KWA SHEMEJI AKO UKISUBIRI DADA AKO ATOKE CHUMBAN NA SHEMEJ AKO WAJE WAKUAMBIE UTENGE MLE.