HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni.
Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa nchi zetu.
Urithi uliorithiwa kutoka kwa mababu zetu ni ngome yetu. Natumai kwamba kupitia sherehe hzi, wanajadi wataiweka Afrka katika sala zao.
Sherehe hiz ziimarishe uvumilivu, kukubali tofauti zetu katika mila,desturi na tamaduni zetu, na kuheshimiana, ili kwa pamoja tuweze kujenga amani, umoja, kuunga mkono, ili kufanikiwa .
Mila,desturi na tamaduni zetu WAAFRIKA ziwe ni kwa furaha ya wote.