Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mbona unyakyusa mwingi kuliko usukuma?Ungekuwa msukuma mwanao ungempa jina la Magufuli Mwakaparty Mwakufa
Kumbe wewe ni wa Njombe SecNilikua Njoss.
Mda huo tumetoka prep...
Nakuta story story. Nikatoka kwenda jidah kuangalia kwa jamaa ambao walikua na simu..
Ndio nakuta Mama anatangaza rasmi
Nyota yake ni SamakiNilikua nyumbani nimelala na mimba yangu baba watatu akanifata twende kwenye party eti kuna sherehe..... Na mtumbo wangu huyooo mida ya saa kumi uchungu ukaanza saa moja kasoro nikapata wanangu.
Nilikosea kuandika ila nilitaka kusema angekuwa mnyakyusa .............Mbona unyakyusa mwingi kuliko usukuma?
Mwingine alilia hadi akashikwa na periodAiseee hyo siku nililia sanaa nilikua nipo kwny nyumba ya kupanga wapangaji wote tulitoka nje tukaanza kulia daahh wamama full vilio hadi balaa aiseee[emoji119]
Ndio mkuu njoss moja hiyo....Kumbe wewe ni wa Njombe Sec
Ilikuwa ni form 6, tunakaza msuli kukitafuta chuoBinafsi taarifa za msiba wa rais nilizipata nikiwa njiani, nimepanda basi la Majinja likilokuwa linàfanya safari za wizi za usiku, likitoka Dar kuelekea Mbeya. Safari yangu ilikuwa ikiishia Mafinga mkoani Iringa.
Nilikuwa nime tune Radio 1, ndipo wakakata matangazo na tukaunganishwa na TBC.
Makamu wa Rais alipotangaza tukio lile, basi likageuka kama la kusafirisha msiba, vilio vikatawala, hadi nafika Mafinga, mji wote una msiba.
Je mwenzangu msiba ulikukutia wapi? Hali ilikuwaje?
Nilikua Tel Aviv..Nakumbuka siku hiyo humu jamvin kwenye huo uzi wa breaking news ya Jiwe kunyoosha member Scars alipanic kichiz.
Kwa miguu?Shule ilikuwa kama km 100 kutoka chato, wadau siku ya mazishi walitimba
Wazee wa VPN na followers wa handle ya @Kigogo2016Mi nilikua nimelala coz kigogo twitter alishatuhakikishia ilibaki kutangaza TU!!
Hata ilipotangazwa usiku nilikua nimelala nikashangaa napigiwa simu sikutoka nje kabisa coz nilihisi nchi haitokua salama kabisa!!
Nikawa mkimya na nikajitenga na baadhi ya maeneo hasa yenye mkusanyiko!!
Kifo Cha jpm wachache tulikijua karibu mwaka mmoja kabla lakini hatukujua ni lini itakua hasa Uzi was tumia akili wa "Rais ambae hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku" nilianza kufuatilia comment na duru za maandishi ya code na kuanza kupata picha!!Kuna id Moja inaitwa nguseroh aiseh!!ilisema kabisa mwakani tuna Rais mwanamke nilimshangaa Sana!
Hata Sasa mambo sio.salama.sana kama tunavodhani !
Tuendelee kuwa wazalendo wakimya Sana!!
Mungu ibariki Tanzania!
Mnyasa. Kaka chikamoNilikosea kuandika ila nilitaka kusema angekuwa mnyakyusa .............