usingemjibu nalo nijibuSawa umenena mjuaji
mcNiliomba ya emergency sio kwamba ni kwa sababu ya hii thread . Hapa tuna share story mm niliomba kiungwana tu
Mbweni Kuna chuo Cha maafisa usalama, kule ndipo wananolewa.Hapa bongo kwa upande wa jeshi la ulinzi vyuo vyao vya mafunzo baadhi vinafahamika mfano chuo cha ulinzi na usalama pale Kunduchi..pia chuo cha maafisa pale Monduli na makambi ya mafunzo ya kijeshi kama pale Bagamoyo na kadhalika.
Jeshi la polisi pia baadhi vinafamika mfano CCP moshi pale..pia nishakutana na chaka la polisi lililojificha kule milimani Kidatu kwenye uzalishaji wa Umeme watu wanakula trainning huko n.k n.k
SWALI:
Vipi kuhusu vyuo vya usala wa taifa yaan tiss hata bongo hawa watu wanakula trainings wapi?? Au wao ni kwenda nje tuu???
Dodoma pale kipo uelekeo wa chuo cha st.john kwa mbele napajua kabsa ila hutaingia...Hapa bongo kwa upande wa jeshi la ulinzi vyuo vyao vya mafunzo baadhi vinafahamika mfano chuo cha ulinzi na usalama pale Kunduchi..pia chuo cha maafisa pale Monduli na makambi ya mafunzo ya kijeshi kama pale Bagamoyo na kadhalika.
Jeshi la polisi pia baadhi vinafamika mfano CCP moshi pale..pia nishakutana na chaka la polisi lililojificha kule milimani Kidatu kwenye uzalishaji wa Umeme watu wanakula trainning huko n.k n.k
SWALI:
Vipi kuhusu vyuo vya usala wa taifa yaan tiss hata bongo hawa watu wanakula trainings wapi?? Au wao ni kwenda nje tuu???
Oleg kaanza u snitch14
Ni rasmi Sasa Oleg angekuwa mshirika wa karibu wa M16, kwa kuwafanyia kazi kwa kuwavujishia Siri . Lakini alimwambia bwana Hawkins atawafanyia kazi kwa masharti kadhaa.
La kwanza ni kwamba hakutaka majasusi atakaowataja waingie matatizoni, pili hakutaka kupigwa picha au kurekodiwa kwa Siri kwa namna yoyote ile na la mwisho hakuhitaji pesa yoyote au malipo ya namna yoyote ile.hizo ndizo condition zilizowekwa na bwana Oleg. Hizi standards alizoambiwa bwana Hawkins zilimpa wakati mgumu kidogo . Kwa mfano Hawkins alijiuliza kwanini huyu bwana anawalinda wenzake ,pili inakuwaje jasusi kama yeye anakataa malipo ya pesa . Maana pesa kwenye ulimwengu wa ujasusi ni kichocheo kizuri na motisha kwa jasusi na vilevile inampa thamani. Na swala la au kipengele Cha kutokupigwa picha hakikuwa kizito maana wangeweza kumpiga picha pasipo yeye kujua.
Kiuhalisia Oleg Gordievsky kutotaka majasusi wa nchi yake wasiingie matatizoni ni kwamba alikuwa anajilinda yeye mwenyewe , kwa maana kwa mfano ingetokea amewachomesha hao spies wa KGB kwa M16 au PET na kukamatwa au kufukuzwa kutoka Denmark ,ingeleta mtafaruku miongoni mwa KGB wakiamini huenda Kuna msaliti miongoni mwao kwa wao na ni kwamba lazima Oleg angehisiwa maana hao majasusi ikiwa wangekamatwa lazima wangehojiwa na kutaja washirika wenzao. Pili kukataa pesa kwa bwana Oleg , kwamba asilipwe ni kwamba hakutaka kuwa na pesa nyingi halafu aitumie extravagantly kiasi kwamba ikazusha suspicion kwa maboss wake mwisho wa siku ashtukiwe.
Ni kwamba bwana Hawkins haya masharti yote yaliyotolewa na Oleg aliyatuma kwa M16 huko London kupitiwa upya na Sasa rasmi ikawa kwamba bwana Oleg na Hawkins walitakiwa kukutana mara Moja au mbili kwa mwezi kwenye safe house iliyoandaliwa hapo jijini Copenhagen.
Kikao Cha kwanza Cha Hawa majasusi wawili kilianza na Oleg alianza kutema Siri kuhusiana na organizational structure ya KGB. Kila department na kiongozi wake ,namna ya kulipwa , promotion,mafunzo,n.k . Haya yote bwana Hawkins alikuwa Anayaandika kupitia wino maalumu wa Siri pamoja na kurekodi kila alilolizungumza bwana Oleg Kwa Siri pasipo yeye kujua. Ajabu ni kwamba licha ya Siri alizokuwa anatoa bwana Oleg , hakuwahi kumuuliza lolote Hawkins kuhusu M16. Hizi taarifa zilivyofika huko makao makuu uingereza ,ziliwavutia sana wakubwa wa kitengo kutokana na unyeti wa taarifa hizo kuhusu their rival KGB. Kumbuka Bwana Oleg alikuwa ni deputy ambassador,hivyo alikuwa na access ya taarifa nyeti na za Siri za KGB.
Oleg aliweza kutoa details za kutosha kuhusiana na idara aliyowahi kuifanyia kazi miaka kadhaa nyuma ya FCD , namna ya kupandikiza majasusi illegals sehemu mbalimbali duniani, operation za Siri kwenye nchi tofauti na malipo yanavyofanyika na kila methodologies zilizokuwa zinatumika.
Baada ya kukusanya taarifa zote hizi bwana Hawkins alizitafsiri kutoka kijerumani to kingereza Kisha kuzichakata na kuzihifadhi kwenye kaseti na kuzituma uingereza kwa kutumia diplomatic bag.
Diplomatic bag ni begi ambalo hutumika na maafisa wa ubalozini ambalo ukiwa nalo airport haliwezi kukaguliwa kilichopo ndani .
Hivi ndivyo taarifa hizo za Siri zilikuwa zinatumwa uingereza pasipo kugundulika.
Ni kwamba hata mkewe Yelena hakujua bwana ake Nini kinaendelea kwenye maisha yake. Na hili swala Oleg alimficha maana laiti mkewe angejua lazima angemrepoti mumewe na mwisho wa siku yawe mengine .wanasema kwamba " A spy has to deceive even his nearest and dearest" . Ndicho alichokifanya bwana Oleg..
Siku kadha Wa kadha katika harakati zake za kazi alikutana na mwanadada mrembo aliyeitwa Leila aliyeva , mpiga chapa wa shirika la WHO mjini Copenhagen ,mwenye asili ya nusu mrusi ,nusu mu Azerbaijan . walikutana hapo ubalozini kwenye hafla fupi ilifanyika na hapo ndipo walipo fahamiana. Kwa kifupi mwamba alimwelewa mrembo huyu mwenye miaka 28 wakipishana miaka 11 na Oleg. Huyu bibiye hakujua Oleg ni jasusi wa KGB. Kwa kuwa mkewe Yelena muda mwingi alikuwa home ,alijiachia kwa Siri na Leila pasipo kushtukiwa ,kwa maana angejulikana na wenzake anamhusiano na huyu mrembo mpya ingekuwa ni disaster.
Oleg alikuwa na mahusiano ya aina mbili . Yeye na Leila ,na pia yeye na M16. A coincidence.
Kwenye tukio Moja ,ni kwamba kijana mmoja ambaye ni jasusi wa PET katika pitapita zake mitaani kipindi Cha winter akiwa anaenda home mitaa ya ballerup ,aliona gari lenye namba za ubalozini (diplomatic number plates) limepaki pembezoni kidogo mwa mtaa. Akalisogelea kwa Siri na kugundua ni gari la ubalozi wa Soviet embassy. Akashangaa imekuwaje gari la ofisi za ubalozi wa urusi linafanya Nini usiku wa saa Moja Tena weekend. Akasogea Hadi karibu nalo na kuona hatua za viatu fresh vikielekea kwenye apartment Moja jirani na hapo umbali wa yadi 200 hivi. Akafuata nyayo zilizokuwa zinaelekea upper stair ya jengo hilo Hadi second floor. Kwenye Mlango jirani alisikia sauti baina ya watu wawili au zaidi wakiongea asitambue ni lugha gani ,ila ilikuja kujulikana ni kijerumani.alichukua note akaandika address ya hiyo nyumba pamoja na zile plate namba. Na baada ya wiki file likatua mezani kwa mkurugenzi wa PET bwana Jørn bruun. Ikasemekana kwamba Kuna afisa wa kisoviet ambaye ni suspect KGB officer alikutwa anazungumza kwa Siri kwenye apartment Moja hivi kijerumani na wenzake mazungumzo yasiyoeleweka. Report ikahitimisha kwamba Kuna suspicion hivyo ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo. Lakini bwana jørn bruun D.G. Mwenyewe akaamua kuizima hii report kimya kimya na Tena juu kwa juu. Huyu bwana bruun ,ni kwamba alikuwa anajua kinachoendelea kwa kuwa M16 Walimpa taarifa what's going on. Bwana Oleg alikuja kushtuka baadaye kusikia hizi taarifa baada ya kugundua ilibaki kidogo anaswe.
Siku baada ya siku bwana Oleg alianza kuwa point baadhi ya majasusi walioko hapo Denmark pamoja na viongozi wa serikalini walio na ushirikiano na urusi, ambao wapo kwenye payroll ya KGB .
Kwa mfano alimtaja bwana Gert Petersen askari police na pia ni afisa wa uhamiaji mwenye tamaa na mlafi wa pesa. Huyu alikuwa anawasaidia KGB kupitisha illegal ndani ya Denmark na nchi za Scandinavia ikiwemo Sweden.
Mambo ni moto kwerikweri in jiwes voice, trust nobody. Kongole mwandishi14

So stupid person ever on earth. Yaani unatamani ata usisikie tena story ya huyu jamaa. Amekuwa mjinga wa kiwango cha lami14

Very stupid. Naona angestahili adhabu kaliSo stupid person ever on earth. Yaani unatamani ata usisikie tena story ya huyu jamaa. Amekuwa mjinga wa kiwango cha lami
OkayNimo nimo cariha ......
Mwisho wa game. Naona ndiyo ule mwanzo.. Jamaa kabadilishiwa kitasa cha tatuMimi sitii neno mpaka mwisho wa game.