Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Kaka ukiwa na pesa hata Kama umezichimbia porini walimwengu watakujua tu, na ndicho alichokiogopa kwani zingemchomesha mapema.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa kama hakutaka pesa alitaka nini, maana kaingia lain kiulaini kabisa.

Kwa story ya jamaa inaonesha hata hao wapata taarifa walikua wanastuka jinsi jamaa anafunguka.
 
Ukifuatilia mtiririko wa story pia utagundua Nini kilisababisha, maisha ya kutokuwa huru ya kwao yalimkwaza Sana haswa baada ya kuramba chumvi ya danmak akagundua kumbe kwao ubabilon umetawala Sana, kumbuka mwanzoni akikutana na rafiki yake walikuwa wakipiga story za ukandamizaji wa nchini mwao

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
16

Maji kadiri yalivyokuwa yanafika shingoni kwa ndoa ya bwana Oleg , aliamua kumfungukia guscott . bwana guscott alikuwa na information zote kuhusiana na mgogoro baina ya Oleg na mkewe ila hakutaka kumweleza mpaka aseme yeye mwenyewe. Guscott alijua hili swala la Oleg muda mrefu sana kutokana na majasusi wa PET kusikiliza mawasiliano Yao na mkewe wakiwa nyumbani Kwa maana nyumba hiyo walimokuwa wanakaa ilishadukuliwa siku nyingi.
Na hili swala alilifikisha kwa boss wake na pia rafiki yake bwana Mikhail lyubimov. alimfungukia mahusiano yake na bibiye Leila. Lyubimov alishtuka kusikia hivyo maana kutaka kuoa Tena kwa bwana Oleg halitachukuliwa jambo la wepesi hususan kwa maboss wake wa KGB huko Moscow. Hii ni kwa sababu yeye lyubimov binafsi miaka kadhaa nyuma alioa Tena baada ya ndoa kuingia mchanga, Lakini uamuzi wake huo ulimweka benchi kwa miaka kadhaa kitengoni. Hivyo alimwelezea Oleg asifikirie swala lake litachukuliwa kiwepesi
Kutokana na urafiki wao wa kikazi lyubimov alikuwa anampa Oleg baadhi ya info a kijasusi naye Oleg anazipaisha Hadi kwa M16.
Lyubimov kwenye stori mbili tatu alimwambia Oleg kipindi akiwa anafanya kazi uingereza 1960s alikuwa anamtumia Michael foot mbunge wa chama Cha labour miaka hiyo kama potential subject wa kupata data za kijasusi kutoka kwake. Hizi taarifa Oleg alizituma kwa M16 kama zilivyo [emoji1].
Oleg aliendelea kutema kila taarifa kwa M16 kwa kadiri alivyoweza.
Lakini Oleg alipenyezewa infos kwamba muda wa kuwepo Denmark utafika tamati ,muda siyo mrefu . zilikuwa ni taarifa za ghafla zisizotarajiwa.
Hili swala la Oleg kumaliza muda wake nchini Denmark ,maafisa wa ngazi za juu wa MI5 na M16 ziliwashtua . Hii ni kwa sababu endapo Oleg akiondoka na kurudishwa Moscow ,itakuwa ngumu kupata infos akiwa nchini humo. They were right.

******* *

Ukiwa mji wa London uingereza, Kuna barabara imekatiza kwenye daraja la Westminster karibu na kituo Cha treni Cha Waterloo mtaa wa Lambeth . Pembezoni mwa barabara hii kulikuwa na jengo la ofisi lenye sura isiyo na mvuto sana lenye ghorofa 22. Jengo hili halikuwa na mvuto sana kiasi kwamba sio rahisi kuvuta attention kwa wapita kwa miguu. Hili jengo lilikuwa linaitwa century house na ndiyo yaliyokuwa makao makuu ya M16 kwa wakati huo na ni sehemu ya majengo yaliyokuwa yanalindwa zaidi London . Ajabu ya hili jengo ni kwamba halikuwa Lina exist. Kwa maana halikuwa na address yoyote kulitambulisha jengo hilo na lilikuwa ni ofisi tu local na hata maafisa wa M16 hususan wapya walikuwa wanapotea eneo hili na labda zaidi ya wiki mbili ndio wangekuwa familiar na eneo Hilo. Umma wa watu walikuwa hawajui hili jengo lilikuwa linahusika na Nini kwa miaka mingi . Na wale wachache waliojua hususan journalists na maafisa wachache serikalini kuhusu Hilo eneo wali keep their mouth shut.
Ni kwamba hayo ndio yalikuwa makao makuu rasmi ya shirika la kijasusi la uingereza kipindi hicho likiongozwa na mwanamama Veronica price mwenye miaka 48 (hiyo ni kwa mwaka 1978). Huyu mama hakuwahi kuolewa.Na ni mmoja kati ya top official wa kitengo waliokuwa wanajua kuhusu swala la Oleg anayewapa informations. Alijiunga na shirika Hilo 1972 kama secretary na mchapaji.
Huyu mwanamama alikuwa kwenye mchakato wa kupanga operation ya namna ya kupata infos kutoka kwa Oleg akiwa Russia na pia kuandaa mpango wa kumtorosha Oleg nje ya Russia endapo akihisiwa kuwa ni msaliti.
Hii ni kwa mujibu wa taarifa alizozifikisha guscott mezani mwa M16 ,kwamba Oleg alipaswa kurudi nyumbani na alihitaji back up endapo kama kule nchini mwake atasanukiwa au ku msuspect kwa namna yoyote ile. Na hii ni kwamba Oleg hakuwa na guarantee yoyote kwamba baada ya kumtaliki Yelena na kuoa angepewa post nje ya Russia.

Hivyo mwanamama huyu yeye na maafisa wenzake walikuwa na mpango wa kuandaa operation nzito ya kumtumia Oleg akiwa Russia kupata taarifa nyeti. It was almost impossible.
Kwa Sababu ni kwamba nchi ya Russia au tuseme Soviet union kwa wakati huo ilikuwa na raia zaidi ya million 280 ndani ya mipaka iliyokuwa inalindwa na ma soldiers 24-hrs ndani yake kukiwa na maafisa wa KGB na informers zaidi ya milioni Moja huku kila raia akiwa spy kwa raia mwenzake. Kwa kifupi the population was under constant surveillance . Kwa mfano ilisemwa Moscow peke yake kulikuwa na ma informer zaidi ya 1500 . Kipindi hicho rais wa urusi akiwa Leonid Brezhnev alikazia sana usalama wa nchi hiyo kiasi kwamba simu za watu zilikuwa zinasikilizwa,raia wakihimizwa kumripoti raia mwenzake kama anamhisi kwa namna yoyote. Kwa mfano kipindi hicho Russia ilipoivamia Afghanistan ilizusha tafrani kwa jamii ya kimataifa . Marekani na washirika wenzake kama uingereza waliongeza tension ya vikwazo vya kimataifa kwa urusi. Hivyo Russia akaamua kuongeza usalama na kukaza security measures within Soviet bloc. Sasa kama Oleg alitarajiwa kurudi Moscow kwa uingereza waliona ingekuwa ni ngumu sana kumtumia Oleg kupata infos ndani ya Russia kwa kipindi hicho.

Hatimaye ilifika June 1978 ,na bwana Oleg alipata taarifa kutoka kwa lyubimov kwamba rasmi siku chache zijazo atarudishwa home Moscow na kuhitimisha kazi yake ya miaka mitatu kwenye nchi za Scandinavia.
Bwana oleg aliwaza career yake ,inafika mwisho na vilevile ndoa yake na Yelena inahitimishwa rasmi endapo tu akitua Moscow.. what a coincidence.
Bwana lyubimov aliandaa report maalumu kama utaratibu ulivyotaka kumhusu bwana Oleg na kuzituma Moscow . Kwenye report hii alimsifia bwana Oleg kama mchapakazi ,mtiifu n.k. na vilevile aliandaa cover letter kwa ajili ya Marital status ya bwana Oleg ikielezea mipango yake ya kutaka kuoa kutokana na current relationship kuwa na mgongano. Baada ya halo taarifa hizi zilitumwa Moscow. Kutokana na c.v ya bwana Oleg ilivopambwa na rafiki yake lyubimov,ilitarajiwa maafisa wenzake wangemuonea wivu bwana Oleg.
 
IMG_20230429_203853_882.jpg

Michael foot mbunge wa chama Cha labour party aliyekuwa target ya KGB miaka 1960s kutumiwa katika kupata taarifa za kijasusi za uingereza

IMG_20230429_203824_362.jpg

Jengo la century house lililopo mita chache kutoka daraja la Westminster lililokuwa linatumika kama makao makuu ya M16 Hadi mwaka 1994 .

IMG_20230429_204203_677.jpg

Huyu ni Mikhail lyubimov rafiki yake Oleg na boss wake . Alijulikana kwa jina la utani la smiley Mikey Kutokana na kupenda kutabasamu muda wote [emoji28].
 
Nimeweka kituo
 
Back
Top Bottom