Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Nipo nimekaa pale👇
 
Hapa unaweza kushangaa mwanasiasa alikuwa hohe hahe, akishapata madaraka tu anakuwa tajiri wa kutisha kumbe biashara kuuza siri za nchi.
Wengine Huwa wanatoa pasipo kujua , na SI unajua mostly wa viongozi wetu elimu Yao tia maji tia maji. Hizi ziara za nje za viongozi pia Zina mengi sana mazito tusiyoyajua
 
Ohoooooo
 
Mkomunisti kindakindaki na Cha pombe wa vodka ile mbaya. Hapo London alikuwa anakula na kunywa made in Russia peke Yake.

[emoji16][emoji38][emoji28]Hawa ndiyo wazalendo wa kweli sasa.
Na marafiki zangu ni wa Irish aisee wakija bongo wakienda supermarket wananunua bidhaa made in Irish Kwa kuzitafta na wanafurahia kabisa huku Tanzania sijui kwanini hatupendi kununua vitu made in Tanzania tunapenda vya nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…