Yule mnyiramba aliyemuoa mrembo wa kimeru sio?Namkumbuka huyo waziri mpaka Leo ni tajiri wa kufa mtu, kumbe Huwa wanapataga malipo mazuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mnyiramba aliyemuoa mrembo wa kimeru sio?Namkumbuka huyo waziri mpaka Leo ni tajiri wa kufa mtu, kumbe Huwa wanapataga malipo mazuri tu
Aliyeoa miss Tiziii na wameachana sikuhiziYule mnyiramba aliyemuoa mrembo wa kimeru sio?
[emoji106]Asante my dear,nashuka nayo tu hapa
Mdau hapa angenibless na bundle la Airtel la 2000 siku ingeisha poa Sana[emoji108][emoji108]
Aliyeoa miss Tiziii na wameachana sikuhizi
Urembo wote kwishney sijui ni stress zileNdo maana anazurula zurula tu. Hata urembo wake sio ule bana.
Duh!..walishamwagana ?... anyway ndoa zina siri kubwaAliyeoa miss Tiziii na wameachana sikuhizi
Washaachana mda shida bwana alikuwa na mambo mengi hatariDuh!..walishamwagana ?... anyway ndoa zina siri kubwa
Dah!...michepuko sio ?...Kama ni hiyo sio kosa ila kosa ni kukamatwa ?...😂😂😂Washaachana mda shida bwana alikuwa na mambo mengi hatari
Nimekupata mkuu.Yule aliyekuwa wizara ya twiga then enzi za jiwe alihamia upinzani Sasa hivi karudi CCM
Jamaa anajitahidi sana Aisee, hongera kwake.Waandishi wote wa JF wangekua wanashusha episode back to back kama hivi