Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Alichokuwa anakifanya Jiwe Si ndo ujamaa huo,..Wakazalishwa akina Oleg wengi ikiwemo Kigogo na Mange.,..ndo maana mwenda zake nchi ilimshinda
Ni kweli imagine kuishi zama za mkono wa chuma kama za jiwe mda wote kufatiliana na wengine kupotezwa kimya kimya. In short ujamaa ni kautumwa flani wananchi wote mnashikiwa akili na watu Wachache
 
Oleg ,kapanda cheo na kitumbua kinaingia mchanga

Ila wazee wa langley nimewakubali,hadi hapo wako mbele hatua moja,warusi nyuma,wamemjua oleg kabla ya kremlin hawajamjua,halafu wamepiga kimya
Ilikuwa rahisi sana CIA kumjua source kuliko Urusi kumtambua mapema , maana wao walikuwa wanapata info bila kumjua source hivyo walikuwa na grounds za kumjua source tofauti na Urusi ambao wao Yuko ndani na wanafanya kazi naye
 
Ujasusi ndio nguvu ya nchi. Mfano mdogo sana, Libya ilikuwa na jeshi la kutisha lakini kilichomkuta Gaddafi ni Intelligence failures. Taifa likichezewa kijasusi mnaweza hata kupandikiziwa Rais, mkanunua silaha feki, dola kuendeshwa kutokea nchi nyingine na kujikuta mmekuwa koloni ficho!
 
Unajua hizi idara zetu pia nafukiria kama zingekuwa zinajiweza kiuchumi zingekuwa independent pia kutekeleza majukumu Yao pasipo kuingiliwa na Hawa wanasiasa . Shida huku kwetu wanasiasa ndio wenye Hela
Idara za usalama zilipaswa kutengwa kabisa na mikono ya wanasiasa! Hakuna wavuruga nchi popote kama wanasiasa! Hawa ndio huwa puppets wa maadui wa Taifa kwa kujua au kutokujua.
 
Hapo pa koloni ficho mbona ni hatari, yapasa budget ya intelligence iwe kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…