Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Dah fupi sana hii
 
Nimewakumbuka wale washenzi wa msumbiji waliokuwa wanafanya uharamia Mtwara na kibiti

Mbwa wale walikuwa na code balaa. Ila heshimuni jeshi letu na TISS yetu.

Hizi nyingine shutuma za TISS sijui uvccm ni very minor.
Inatosha [emoji23][emoji23]
Muulize ulimboka😂😂
 
Halafu niongezee kidogo.
Hao wahusika wote bado wapo hai.

Oleg bado yupo hai Hadi Leo hii.
Yupo uingereza anakaribia 85yr

Bwana Ames yeye yupo jela Hadi DAKIKA hii
Tangu miaka ya 96 nafikiria, life sentence without parole[emoji16]

Ila ajabu history inasema Ames ndiye greatest spy in the world history.

Huyu jamaa aliwapa taarifa nyingi Sanaa KGB
 
Nime note katika ulimwengu wa kijasusi mwanamke Ana nguvu sanaa.

Kilichomanya Ames awe nisaliti wa nchi yake n papuchi tu.

Bora Oleg hakuwa na shinikizo la mapenzi zaidi ya kuchukia mfumo wa utawala wa nchi yake.
 
Kisa kukizi vigezo gharama za MwAnaMkE mapendaye (Matumizi)
 
Aisee!
Kuna kila sababu ya kupata huo stori ya Ames.
Mleta mada ikupendeze please
 
Dah huyu Oleg aliponyoka tena??? Unfair kabisa asee huyu ilitakiwa aozee cerro tu with extremely torture kama ilivyo kwa mwenzake Ames.
Ila kwa kuwa dunia ni unfair ndio hvo jamaa amechoropoka.
 

Dah imefika patamu sana
Hii episode 30 ni fupi
Tunasubiri muendelezo[emoji2314]
 
Dah huyu Oleg aliponyoka tena??? Unfair kabisa asee huyu ilitakiwa aozee cerro tu with extremely torture kama ilivyo kwa mwenzake Ames.
Ila kwa kuwa dunia ni unfair ndio hvo jamaa amechoropoka.
[emoji38]Oleg aliponyoka mkuu.
Sema nisiseme kupoteza Radha ya story.

Ila Ames alidakwa yupo sello.
Record yake imevunjwa juzi juzi na hassen 2001
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Bora Ahmes alikuwa na tamaa Oleg sababu zake hazikuwa strong
Wewe n mwanamke lazima utamtetea Ames.
Ames ni Kama Samson aliyechangamka kuuza Siri za nchi kisa mwanamke.

Oleg alikuwa anachukizwa na madhira ya ujamaa katika nchi yake.
Lakini pia,alikuwa anataka kulipa kisasa kwa madhira waliyopata wazazi wake hususani mama yake.

Mwisho kabisa, ujasusi wa Oleg ulikuwa na manufaa kwa dunia ,maana uliiokoa dunia katika Vita Kali ya ki nuclear.

Sasa tuje kwa Ames yeye hakuwa na impact yoyote ile.
 
Kiukweli usaliti wa Oleg haujanishawishi kabisa [emoji28] how can you hate ur country kiasi hicho.
Ila msaliti ni msaliti hamna Cha msaliti NZuri au mubaya
 
Hakuwa na sababu labda tuu wazazi wake hawakupenda KGB ya Russian, sababu hata pesa hakuzitaka kwanza wakati anaanza hìyo missions yake.
Si ndio hapo ka alikuwa hakubaliani angeondoka tu nchini mwake bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…