Ofcoz kutoboa kwa Kgb ilikuwa ni ngumu na na ni kwasababu upande wa pili walijisuka vizuri sana kukabiliana nao. Ingawa hatujajua alitoroka vipi but hope ni kwa kurefer ule mpango uliosukwa wa PMLICO.Sio udhaifu ni vile hawakufikiria possible options kuwa what if huyu atatoroka na kumbuka huo usaliti wa Oleg ni kama kuishi mume na mke unayemwamini sana ukute ndio anakuuza so kutoboa hapo ni ngumu mno
Kwa Tanzania ni nini CIA au M16 wakakosa hadi wahangaike na wanasiasa kwa mambo ya 2015-20 tuliona wenyewe ni halali wakimbieSawa tu msaliti si wakumchekea huyo ni zaidi ya ibilisi uyuda wake unaleta madhara makubwa Kwa watu wengi.
Hafu hii story inaonyesha ni jinsi Gani hata wanasiasa wetu walivo Rais kutumika na mataifa ya nje hata hao waliojifanya kukimbia nchi wafadhili waliwatorosha, ingawa nilikuwa sikubaliani na madudu yaliyokuwa yanaendelea nchi ikiwemo uchaguzi wa hovyo
Yes ni vile CIA, M16 walijua upande wa pili in deep so ikawa easy kusuka mipango ikawa ka kumsukuma mlevi, ujue adui wako ukimjua unapanga na silaha ya kumumaliza na vita inakuwa nyepesiOfcoz kutoboa kwa Kgb ilikuwa ni ngumu na na ni kwasababu upande wa pili walijisuka vizuri sana kukabiliana nao. Ingawa hatujajua alitoroka vipi but hope ni kwa kurefer ule mpango uliosukwa wa PMLICO.
Lazima wahangaike na wanasiasa maana ndio decision makers ili kujua Nini kinaendelea ili kulinda masilahi Yao ya kiuchumi pia. So ma Oleg na Ahmes lazima watoe feedback hasa wale wanaingia vikao vya ndaniKwa Tanzania ni nini CIA au M16 wakakosa hadi wahangaike na wanasiasa kwa mambo ya 2015-20 tuliona wenyewe ni halali wakimbie
Na kwa mujibu wa hii story ni CIA na M16 ndio walioepusha hii vita isitokee maana kwa taarifa za siri walizokuwa wanazipata ni wazi kuwa hata vita hiyo wangeshinda bila kikwazo chochote ni basi tu kwamba waliamua kuzitumuia taarifa hizo positively na busara ya hali ya juu kuepusha vita ila wangekuwa na pride labda leo tungekuwa tunaongea mengineYes ni vile CIA, M16 walijua upande wa pili in deep so ikawa easy kusuka mipango ikawa ka kumsukuma mlevi, ujue adui wako ukimjua unapanga na silaha ya kumumaliza na vita inakuwa nyepesi
[emoji23]Basi kwa mantiki hiyo Jiwe alikuwa sahihi kwa baadhi ya "Watu"Sawa tu msaliti si wakumchekea huyo ni zaidi ya ibilisi uyuda wake unaleta madhara makubwa Kwa watu wengi.
Hafu hii story inaonyesha ni jinsi Gani hata wanasiasa wetu walivo Rais kutumika na mataifa ya nje hata hao waliojifanya kukimbia nchi wafadhili waliwatorosha, ingawa nilikuwa sikubaliani na madudu yaliyokuwa yanaendelea nchi ikiwemo uchaguzi wa hovyo
U smart wa west NI katika kumuokoa Oleg. Kumbuka walikuwa na mpango tayari wa kumuokoa ndani ya Moscow ikiwa dili lake litabumbulika.West hawakuwa smart sema Oleg ndio aliwasaidia maana alikuwa na access na taarifa nyeti so sioni u smart wamshukuru Oleg alivowasaidia na wao wakamuokoa.
So ilikuwa kufa kufaana
Na western lazima wangemlinda source wao by any means kama kiapo hapo walifanya jambo jema, Sasa hao warusi kutokuwa na plan za kulinda source wao walizingua vibayaU smart wa west NI katika kumuokoa Oleg. Kumbuka walikuwa na mpango tayari wa kumuokoa ndani ya Moscow ikiwa dili lake litabumbulika.
Ujinga wa Soviet NI kushindwa kumuokoa Ames .
Ina maana hawakuwa na plan yoyote ya kumlinda Wala kumuokoa. Na ndiyo maana Ames alidakwa na yupo korokoroni mwenzake Oleg alifika Moscow na bado akawa mikono salama.
KGB were very stupid on thisU smart wa west NI katika kumuokoa Oleg. Kumbuka walikuwa na mpango tayari wa kumuokoa ndani ya Moscow ikiwa dili lake litabumbulika.
Ujinga wa Soviet NI kushindwa kumuokoa Ames .
Ina maana hawakuwa na plan yoyote ya kumlinda Wala kumuokoa. Na ndiyo maana Ames alidakwa na yupo korokoroni mwenzake Oleg alifika Moscow na bado akawa mikono salama.
Hii ni kawaida katika medani za ujasusi , Urusi Hadi Leo anapambana na East na wameshindwaKuna msemo unasema "kama huoni udhaifu wako basi huo ndio udhaifu wenyewe" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitendo cha kuweza kumpata Jasusi wa upande wa pili, kutumia na kumtorosha bila shida hii ni udhaifu mkubwa kwa KGB
Siku zote warusi hawana akili mkuu.Na western lazima wangemlinda source wao by any means kama kiapo hapo walifanya jambo jema, Sasa hao warusi kutokuwa na plan za kulinda source wao walizingua vibaya
Haaa duniani hakujawahi kutokea majasusi nguli na wenye uelewa kama Warusi na hii ndio maana wanaogopeka , refer jasusi Yuri ambaye alizunguka Dunia nzima na kuwasoma majasusi baadae akaandika kitabu akiwa Japan namna ya kuwatambua majasusi wa CIA baadae wakaanza kufundisha katika vyuo vyao vya ujasusi na CIA walianza kudakwa kama kukuNa kwa mujibu wa hii story ni CIA na M16 ndio walioepusha hii vita isitokee maana kwa taarifa za siri walizokuwa wanazipata ni wazi kuwa hata vita hiyo wangeshinda bila kikwazo chochote ni basi tu kwamba waliamua kuzitumuia taarifa hizo positively na busara ya hali ya juu kuepusha vita ila wangekuwa na pride labda leo tungekuwa tunaongea mengine
Msaliti ikiwezekana apigwe tu bastola ya kichwa mchezo kwisha ni watu hatari jiwe alikuwa sahihi angepita nao hata kimya kimya sema hakuwa smart kwenye kutekeleza hyo mipango Sasa na hao wasaliti itakuwa walishaandaliwa njia ya kuokolewa Incase of anything.[emoji23]Basi kwa mantiki hiyo Jiwe alikuwa sahihi kwa baadhi ya "Watu"
Kuna kauli nyingi alikuwa analalamika moja ipo hapo juu akisema "Yeye ndyo rais wa nchi hii, anajua Siri nyingi, na nyingine mkisikia hamtoamini"
Waliamua kutumia busara waliona vingi ni utopian havitekelezeki lohNa kwa mujibu wa hii story ni CIA na M16 ndio walioepusha hii vita isitokee maana kwa taarifa za siri walizokuwa wanazipata ni wazi kuwa hata vita hiyo wangeshinda bila kikwazo chochote ni basi tu kwamba waliamua kuzitumuia taarifa hizo positively na busara ya hali ya juu kuepusha vita ila wangekuwa na pride labda leo tungekuwa tunaongea mengine
Kwa TzLazima wahangaike na wanasiasa maana ndio decision makers ili kujua Nini kinaendelea ili kulinda masilahi Yao ya kiuchumi pia. So ma Oleg na Ahmes lazima watoe feedback hasa wale wanaingia vikao vya ndani
Hii ni kama mchezo wa draft na kulana tu kete.Hii ni kawaida katika medani za ujasusi , Urusi Hadi Leo anapambana na East na wameshindwa
Kuhusu kutoroka refer ya Edward Snowden alitorokea wapi?
Hili ni jambo la kawaida sana
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28] ngoja tuone, maana walikuwa hawafikirii nje ya boxSiku zote warusi hawana akili mkuu.
Episode zinazofuata utaona ujinga wa warusi.
Binafsi naona Oleg alikua na sababu kuntu kuliko Ames, Oleg hakupenda mfumo, si ajabu mfumo ungebadilika angekua upande wa Russia.[emoji28][emoji28][emoji28]Bora Ahmes alikuwa na tamaa Oleg sababu zake hazikuwa strong
Kwani aliyokua anasema c nduo haya saivi mindege yeny haiwezi luka[emoji23]Basi kwa mantiki hiyo Jiwe alikuwa sahihi kwa baadhi ya "Watu"
Kuna kauli nyingi alikuwa analalamika moja ipo hapo juu akisema "Yeye ndyo rais wa nchi hii, anajua Siri nyingi, na nyingine mkisikia hamtoamini"