Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

[emoji2][emoji2][emoji2] ni kwamba watanzania na mifumo ya kiutawala ni wagumu mno kubadilika na wanapenda upigaji. So mleta mabadiliko Huwa hawamtaki lazima aundiwe zengwe sijui nani katuloga kama taifa. Imagine mtu kapewa nafasi ya uongozi haongezi jambo lolote lenye tija na anakula tu mshahara Sasa kitu kilichotumika miaka 20 utumie Leo 2023 si inakuwa tayari outdated Kwa mengi?
Na ndio maana watu walipinga mfumo wa control number ili waendelee kupiga tu wizi wao.
Siku tukiacha conservative na kubadilika na kuwa zaidi problem solver na kuwa wabunifu tutapiga hatua ila hizi business as usual tutaachwa na Dunia
 
And just to make it summary tunaweza conclude sasa kwamba nchi hii ni ngumu sana kufikia level za wenzetu. Watatoka walionyuma yetu na kutupita sisi tuko hapa hapa na kimsingi kwa sasa ni kila mtu anaangaza angaza anachoweza kukipata achukue chake mapema tu hakuna namna
 
Inashangaza sna sana mpaka leo hii karne ya 21 dunia ya Science & Technology eti katika nchi yetu kuingia ndani ya jengo la Bunge kutunga sheria na kuisimamia serikali eti kigezo ni ujue kusoma na kuandika tu mwenye above 21yrs!!!!????? 😂
Ningekuwa Rais ningeanza kwanza na hili hakiyanani
 
[emoji2][emoji2][emoji2]hapo pa kuchukua chako mapema kumenichekesha kweli yani. Ni kwamba mifumo ya kiutawala nchi hii effectiveness yake ndogo labda Iko 45% hivi ya ku deliver.
 
[emoji2][emoji2][emoji2]hapo pa kuchukua chako mapema kumenichekesha kweli yani. Ni kwamba mifumo ya kiutawala nchi hii effectiveness yake ndogo labda Iko 45% hivi ya ku deliver.
The stronger will survive the weaker will perish.... Hujasikia huko kwenye mikopo ya halmashauri inapigwa vibaya mpaka pm anaambia aistopishe kwanza?? 😂 😂 😂
 
Kwangu Mimi idara ya usalama inabidi kuwezeshwa maana ndio core au engine ya ku drive change. Ila ikiwa blind na mambo yote yanakuwa blind vile vile na huwezi shindana na kitu usichokijua nguvu yake lazima upigwe
Changamoto kubwa kwa nchi zetu za kiafrika, idara hizi hazipo huru, nyingi zinaendeshwa kwa msukumo wa kisiasa
 
Kabisa....ulikuwa mchezo wa kuwahiana tu.

KGB nao waliweza kuwatumia kina Aldeich Ames, Robert Hanseen, Jack Barsky (tena huyu alikuwa sleeper agent aliyepandikizwa na Kgb huko US)......hao na wengine waliweza pia kuwavuruga wamagharibi kwa faida ya Ussr.
 
The stronger will survive the weaker will perish.... Hujasikia huko kwenye mikopo ya halmashauri inapigwa vibaya mpaka pm anaambia aistopishe kwanza?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa jamani hata swala la upigaji la mikopo tumeshindwa kuudhibiti na Kuna idara zote hapo si kituko and I think sio imeshindikana nadhani upigaji unaanzia juu mpaka chini so kuwajibishana hamna.
 

Sasa huyo Aldeich Ames ndie alie suspect kuwa Goby Oleg, ndie anavujisha siri za ussr. Wakt huo Aldeich alikuwa mkuu wa CIA idara inayopambana na russia huku akiwa anavujisha siri za CIA kwa kgb
 
Colonisation pia ni janga lilituumiza hadi leo
 
Umesema kweli Kuna shida ya vitu ulivyotaja hapo hatukutakiwa kua navyo kwa kipindi hiki.
 
Sasa huyo Aldeich Ames ndie alie suspect kuwa Goby Oleg, ndie anavujisha siri za ussr. Wakt huo Aldeich alikuwa mkuu wa CIA idara inayopambana na russia huku akiwa anavujisha siri za CIA kwa kgb
Kuna makala ya mwaka 2015 inadai kuna utata kuhusu hizo tuhuma, tena kuna uwezekano kuna jasusi mwingine ambae bado hajafamika ndiye aliyewauza kina Oleg....

Ipitie na wewe hii hapa chini.
👇

 
Ni nzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…