Ila ujasusi wa Sasa umejikita kiuchumi zaidi naona aisee
Kwa nchi zilizoendelea, Yes upo sahihi ujasusi upo kwny uchumi zaidi. Kukopy teknolojia ya mwenzio nk...
Kwa nchi hizi zetu za kiafrica, idara zetu zingekuwa na kitengo hicho, hakuna mikataba ya kibwege sijui ya madini au manunuzi ya kijinga yangefanywa na Serikali bila approval ya intel unit.