Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Ndugu zangu ni kwamba hapa tunababwaja tu lakini ukweli ni kwamba hawa KGB walionyesha udhaifu uliopindukia mipaka ama kwa lugha nyepesi udhaifu kiwango cha laMi[emoji23][emoji23]
Yaani wewe ulitaka jambo liwe rahisi tu kwa KGB (Rassia)ili hali anayetafutwa ni (KGB + M16 + M15)Oleg?.

Je,umefikiriaje juu ya uwezo wa Oleg katika level mafunzo alifikia ukimlinganisha na level za mafunzo za hao wanao mfuatia?.
Mkuu!Hivi mtu unaye muamini na umempa matumaini ya kuwa msaada kwako,tena katika mambo nyeti ya siri,uanafikiri akikusaliti ni rahisi kumudu ili hali anakujua ndani nje?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanafikiria hili jambo ni rahisi hasa Kwa mtu aliyeaminiwa ni very difficult
 
Yaani wewe ulitaka jambo liwe rahisi tu kwa KGB (Rassia)ili hali anayetafutwa ni (KGB + M16 + M15)Oleg?.

Je,umefikiriaje juu ya uwezo wa Oleg katika level mafunzo alifikia ukimlinganisha na level za mafunzo za hao wanao mfuatia?.
Mkuu!Hivi mtu unaye muamini na umempa matumaini ya kuwa msaada kwako,tena katika mambo nyeti ya siri,uanafikiri akikusaliti ni rahisi kumudu ili hali anakujua ndani nje?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ni kweli si rahisi but it was possible.... Haya mambo hata wenyewe huwa wanajua kwamba huwa yanatokea so usitegemee kwamba huwa hawajiandai kukabiliana nayo. Sema tu huwa ni siri ya nchi lakini hata ungewauliza leo hii ilikwaje Oleg akawatoroka I guess wangejipiga kifua na kusema "we were stupid on this"
 
Haka ka uzi nataka niambatanishako na tupicha twa baadhi ya matukio lakini changmoto hii app ya jf ila hazifunguki
Sijui kwa nini JF wameanza kuifanya Jf iwe ya watu wachache wajanja wa app zote badala ya kuifanya ya watu wote. Toka nijiunge jf miaka takribani 8 sikuwahi kuichukia,ila trip hii wamenifanya niwaone tofauti kwa kufanya picha zifunguke kwa baadhi tu.

Wazungu wanajitahidi kurahisi mambo kwa kufanya hata magari uendeshe kwa kurelux. Lakini ajabu jf miaka hii ndio wanaifanya iwe ngumu kuingilika badala ya kurahisisha zaidi. Wamekuwa kama ccm tu sasa
 
Back
Top Bottom