KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Yaani wewe ulitaka jambo liwe rahisi tu kwa KGB (Rassia)ili hali anayetafutwa ni (KGB + M16 + M15)Oleg?.Ndugu zangu ni kwamba hapa tunababwaja tu lakini ukweli ni kwamba hawa KGB walionyesha udhaifu uliopindukia mipaka ama kwa lugha nyepesi udhaifu kiwango cha laMi[emoji23][emoji23]
Je,umefikiriaje juu ya uwezo wa Oleg katika level mafunzo alifikia ukimlinganisha na level za mafunzo za hao wanao mfuatia?.
Mkuu!Hivi mtu unaye muamini na umempa matumaini ya kuwa msaada kwako,tena katika mambo nyeti ya siri,uanafikiri akikusaliti ni rahisi kumudu ili hali anakujua ndani nje?.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app