Surely huku sio kwa kila mtu ,watu wanakuumbua na facts na sio rahisi watu kuwachota akili kizembe zembe .Na pia huku nasikia hata top official figures wa serikalini hupita huku kwa fake i.d kuchukua nondo kimya kimya [emoji28][emoji3578][emoji3578]Mazombi kule. Wenye akili wako huku. Ukileta kisichoeleweka huku wanakujua mapema
You nailed it again man,hongera sanaKama nikipata wasaha Japo huku tumemwelezea in details kiasi chake
Kama anakopi na kupest basi ibaki alama symbol katikati ya notice zile, labda aandike upya teena. Na walivyo vilaza watakopi tuu na kupes5 tuu. Nakumbuka hata huyo Hanga alikalamikaga humu.Kuna stori fulani ya Habib anga ya kijasusi niliwahi ikuta kule kwa mtu Fulani na niliwahi isoma kitambo kidogo humu na hakuna credit yoyote kwa bwana yule ...lilinishangaza kidogo
KabisaHear says tu hiz ingawa kwa vi nchi vya kipumbavu pumbavu kama hiv vya africa utawazuia nini CIA au Mossad kupata wanachokitaka??
Hao wakenya tu na waganda na wanyarwanda wana watu kibao walio kwenye payroll zao na wako kwenye post nyeti serikal yetu
Once again..... 💪💪💪Kesi ya Sergei skripal
Tangu zamani za mwanafalsafa sun tzu , Ili uweze kushinda vita dhidi ya mpinzani wako ,ilipaswa kupata taarifa za Siri kumhusu huyo mpinzani. Taarifa hizi muda mwingine zinaweza kukupa insight kuhusiana na madhaifu ya mpinzani wako . Na kikawaida ukishajua madhaifu ya mpinzani wako basi utatumia udhahifu huo huo kumpiga na kumshinda . Hivyo hivyo kwa nchi mahasimu hufanya hivi katika kukusanya taarifa hizo za Siri. Ndipo linapokuja neno UJASUSI. Hivyo nchi huamua kutuma au kupandikiza watu maalumu kwa nchi Fulani Ili iweze kukusanya taarifa hizo za kijasusi lakini maisha Yao Huwa hatarini .
Tukija kwenye level ya kitaifa . Nchi huamua kukusanya taarifa za kijasusi dhidi ya nchi nyingine ,Ili kuweza kujua mipango yake na mikakati yake kwa lengo binafsi la nchi husika Ili iweze kujilinda na pia kunufaika kimaslahi.
Wakati wa vita baridi baina ya USA na USSR , nchi hizi zilikuwa zinajikita Zaidi katika kupata taarifa za siri dhidi ya mwenzake kutokana na shinikizo lililotokana na tishio la kutokea vita ya nyuklia. Hii ilianza punde tu baada ya kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia .
Nchi hizi ziliamua kutumia mbinu mbalimbali walizoona Zinafaa katika kupata taarifa za kijasusi dhidi ya mwenzake . Mamlaka za serikali hususani bunge hutunga sheria Kwa ajili ya kuzipa ithibati organization za kijasusi Ili kukusanya taarifa hizo Kwa maslahi ya nchi au muda mwingine Kwa maslahi binafsi ya wanasiasa. Nchi ya uingereza kwa mfano ilianza hizi harakati za kukusanya taarifa za kijasusi au kiintelijensia kupitia shirika lake la kipindi hicho lililoitwa SIS Baadaye ikaitwa M16 tokea mwaka 1909. Lengo kuu lilikuwa kukusanya taarifa ambazo zingeisaidia kupunguza uwezekano wa nchi ya ujerumani kuvamia nchi za magharibi hususani washirika wa uingereza kijeshi. Vilevile USA iliamua kuanzisha harakati za ukusanyaji wa taarifa za kijasusi rasmi punde tu ilipoisha vita ya pili ya dunia . Kwa mfano bunge la congress wakati huo lilipitisha National security Act ya mwaka 1947 . Na sheria hii ilipopita likazaliwa shirika la kijasusi la CIA. Na pia Soviet waliunda shirika lao ukusanyaji taarifa za kijasusi lililoitwa Cheka punde tu baada ya mapinduzi ya mwaka 1917 ulioondoa utawala wa Czar. Mbali na hizi taasisi zilizoundwa kisheria katika kukusanya taarifa za kijasusi , ni kwamba muda mwingine hutumika kufanya mauaji kwa baadhi ya walengwa fulani fulani ambao huonekana ni tishio katika ulimwengu wa kijasusi au kwa nchi husika.
Walengwa Hawa Huwa ni waasi au double agent. Ni kwamba mtu huamua kuwa double agent kutokana na sababu fulani fulani ambazo muda mwingine huwa ni tamaa binafsi , shinikizo au mapenzi binafsi .....
Katika hili swala la uasi tunamwangalia bwana mmoja aliyeitwa Sergei skripal . Huyu alipewa sumu ambavo inasemekana ingepaswa kumuua taratibu yeye pamoja na bintiye anayeitwa Yulia kutokana na uasi .
Huyu Sergei skripal ni nani haswa?
Huyu bwana alizaliwa tarehe 23 June mwaka 1951 huko Soviet maeneo ya bahari ya Baltic . Alianza kuifanyia kazi shirika la kijasusi la jeshi la Russia lililoitwa GRU. Katika kutekeleza majukumu yake alitumwa kufanya kazi kwenye nchi ya Malta na baadaye uhispania. Lakini inasemekana kipindi cha utawala wa Boris Yeltsin , majasusi waliokuwa wanatumwa kufanya kazi za kijasusi nchi za nje hawakuwa wanapewa mkwanja kwa kipindi kirefu wakiwa Wanawajibika nje ya nchi . Huyu bwana akaamua kujiongeza na kutafuta fursa za kiuchumi ambazo zingemwezesha kuishi maisha aliyoyataka. Katika kutafuta fursa alijikuta anakutana na afisa mmoja wa M16 na akajitambulisha kama agent wa GRU. Sasa rasmi hapo akaamua kuwa double agent akiitumikia GRU shirika lililomwajiri na pia kuitumikia M16 ya uingereza kwa Siri kwa ajili ya kupata pesa . Kwa kifupi alikuwa anauza taarifa za nchi yake kwa nchi hasimu ya uingereza Alipewa jina la uficho la FORTWITH akiuza taarifa za kijasusi zenye thamani kubwa kwa uingereza. Lakini mwaka 2000 alijikuta Na changmoto ya afya hivyo ikamlazimu kurudi Russia kwa ajili ya matibabu na akakutwa na kisukari . Ilimlazimu kujiuzulu kama afisa wa GRU na kuamua kufanya kwenye ofisi ya serikali hususan kwenye maswala ya kiutawala lakini Shughuli za kijasusi aliendelea nazo kama kawaida. Na vilevile alikuwa bado yupo kwenye payroll ya M16 akipokea mkwanja kama kawaida . Lakini mwaka 2004 shirika la kijasusi la Russia la FSB lilimtimua kutokana na tuhuma dhidi yake za kuwa double agent na mwaka 2006 alikutwa na hatia mahakama ya kijeshi na kupigwa mvua ya miaka 13. Tuhuma dhidi yake ni kwamba alikuwa anawapa taarifa M16. Lakini kupitia msaada wa serikali ya marekani huyu bwana alisamehewa kupitia makubaliano maalumu ya kubadilishana wafungwa baina ya U.S.A na Russia na huyu bwana aliamua kwenda kuishi nchini uingereza kwenye mji mdogo wa Salisbury.
Huyu bwana aliamua kununua nyumba huko Salisbury na kuamua kuhamia yeye na mkewe liudmila pamoja na wanao wawili mwaka 2011.
Lakini ajabu ni kwamba mwaka 2012 alimpoteza mkewe na mwaka 2017 mwanae wa kiume Alexander nae alifariki. Aliyebaki ni mwanae wa kike ambaye Alikuwa anakuja kumtembelea mshua wake Mara kwa mara akitokea Russia. Kutokana na vifo vya wanafamilia Hawa WA kwake , aliamua kuishi maisha ya kawaida tu akiwa na paka wake mmoja kwa ajili ya kuondokana na upweke .
Mwaka 2018, mwaka mmoja tu tokea kifo Cha kijana wake huyu bwana skripal akiwa na bintiye walikutwa hawajitambui wamepoteza fahamu eneo la hifadhi la Salisbury Park. Ripoti za kiuchunguzi za awali kutoka vyombo vya usalama na habari zilitabanaisha na kusema shambulio Hilo lilikuwa ni jaribio ya mauaji dhidi ya huyu bwana na huenda pia hata mkewe na mwanae ilikuwa ni mauaji ya kupanga. Baada ya kupelekwa hospitali , bwana skripal na mwanae walikuwa hawajitambui kwa wiki kadhaa pasipo kujulikana sababu ni Nini zilizopelekea Hali hiyo kwa mujibu wa ripoti za kitabibu. Lakini baada ya kupata nafuu waliruhusiwa kutoka hospitali tarehe 9 April 2018. Kutokana na huyu bwana kuwa na hadhi yake , mamlaka za serikali ya uingereza ziliamua kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na tukio hili . Taarifa zilitoka na kudhibitisha bwana huyu na bintiye walipewa sumu iliyoitwa nerve agent ambayo pia baadaye Theresa May waziri mkuu wa uingereza wakati huo aliithibitisha bungeni kuwa ni sumu aina ya Novichok (A-234) .
The organization for the Prohibition of chemical weapons (OCPW) ni Taasisi iliyokuwa inahusika na udhibiti wa matumizi ya silaha za kemikali ziliamua kufanyia kazi hili swala na kutaka kujua chanzo Cha hii sumu ilifikaje hapo uingereza. Kupitia maabara ya
Defence science and technology laboratory(DSTL) sample zilichukukuliwa na ripoti ikathibitisha ni sumu ya Novichok with high purity na ilikuwa kwa wingi eneo la mlangoni kwenye nyumba ya skripal.
Kwa mujibu wa mshauri wa maswala ya ya kiusalama ya kitaifa bwana mark sedwil alisema kwamba kupitia uchunguzi uliofanywa na DSTL ,sumu hii ilikuwa kwa wingi kwenye eneo la kitasa Cha mlango wa mbele wa nyumba ya skripal. Na sumu hii ilikuwa katika Hali ya umajimaji . Hivyo huyu bwana akasema sumu hii hutumiwa na Russia na hivyo wao wanahusika Moja kwa Moja na tukio la majaribio la kumuua bwana skripal. Lakini kama kawaida Russia wakakanusha madai haya na kusema ni propaganda dhidi yao ya kutaka kuzorotesha mahusiano ya kidiplomasia.
Ripoti Zaidi kuhusiana na hili tukio la jaribio la mauaji dhidi ya skripal ilisema kwamba hata eneo walilokuwa skripal na bintiye mara ya mwisho kabla ya kukutwa na hii dhahama kulikuwa na kiwango kikubwa Cha sumu hii. Hivyo Ili kuzuia watu kuwa exposed na hii sumu serikali iliamua kuizingira nyumba hiyo na viwanja vya karibu na eneo Hilo kwa utepe wa crime scene Ili kufanya uchunguzi zaidi. Shirika la bbc lilisema serikali ilituma maafisa 250 wa kitengo Cha kupambana na ugaidi na maafisa wa kijeshi 180 katika kulizingira eneo Hilo kwa ajili ya uchunguzi wa kina.
Maafisa uchunguzi walianza kuchunguza kuanzia nyumba ya skripal,gari yake maeneo walikopita, mgahawa walioenda kula, Hadi kwenye benchi walikokuwa wamekaa na kukutwa wamepoteza fahamu akiwa bintiye.
Kulikuwa na mkanganyiko kuhusiana na chanzo Cha hii sumu ilikotoka mpaka kufika uingereza. Kwa mfano vyombo vya habari vilisema huenda sumu hii ilichanganywa kwenye baadhi ya vitu vya Yulia skripal alivyoondoka navyo Moscow kuja uingereza. Taarifa za vyombo vya habari vya U.S vikadai huenda sumu hii iliwekwa kwa Siri kwenye gari ya skripal.
Lakini kwa mujibu ya mwanahistoria katika maswala ya kiintelijensia anayeitwa Boris volodarsky alisema kupitia chapisho lake la mtandaoni la "the poison war"
Kwamba huenda sumu hii ilifika eneo Hilo alilokuwa akiishi skripal kupitia technical timu ya majasusi na kufanya Yao huku mlengwa akiwa ni skripal.
Hivyo serikali ya uingereza ikafanya jitihada zote za kujua walengwa waliofanya hili tukio ni kina nani .
Na kweli mamlaka za shirika la kijasusi la uingereza likiwasuspect Raia wawili wa Russia ambao ni Alexander Petrov na Ruslan boshirov ambao pia walihusishwa kuwa ni maagent wa GRU. Walituhumiwa katika kufanya jaribio la mauaji dhidi ya skripal. Kwa mujibu wa ripoti za kiutafiti kuhusiana na hili swala huyu Alexander Petrov jina lake halisi alitambulika kama Alexander mishkin ambaye alikuwa ni daktari na Ruslan boshirov alitambulika rasmi kama kanali Anatoliy chepiga na wote walikuwa wanafanyia Kazi shirika la kijasusi la Russia tokea 2010. Kwa mujibu wa ushahidi uliopatikana nchini uingereza inasemekana huyu Chepiga alikuwa akijihusisha na operesheni za Siri muda mrefu na inawezekana yeye ndio aliyefanya tukio hili la kujaribu kutaka kumuua huyu skripal kwa sumu ya Novichok. Na inasemwa operesheni hii ilitolewa order kutoka kwenye mamlaka ya juu kabisa ya Russia.kremlin office.
Mamlaka za uingereza zilituma ombi la kuwakamata watu hawa na kuletwa uingereza kwa ajili ya kuja kujibu tuhuma dhidi yao. Na ilisema tukio hili ni kinyume na UN charter kutokana na matumizi ya nguvu kudhuru na ilitaka majibu ya kisheria kutokana na tukio hili kutoka kwa Russia.
Russia kama kawaida Yao wakakaza.
Sumu hii ya Novichok kwa mujibu wa ripoti za OCPW inasemwa ni miongoni mwa sumu zilizokuwa zinatengenezwa huko Russia miaka ya 1980s kipindi hicho Cha vita baridi. Na inasemekana ni sumu inayoathiri mfumo wa ufahamu mwilini na huweza kupenya kupitia ngozi . Na ikianza kufanya reaction mwilini inapelekea mfumo wa upumuaji kushindwa kufanya kazi na kupelekea kupoteza fahamu.
Sumu hii mara ya kwanza ilianza kutengenezwa huko ujerumani kipindi cha vita ya pili ya dunia, baadaye Russia ikachukua formula yake na kuanza kuitengeneza miaka hiyo ya 1980.
Bwana skripal na bintiye baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,Sasa wanahifadhiwa kwa Siri kwenye eneo mojawapo ndani ya uingereza chini ya ulinzi mkali japo bado maisha Yao yapo hatarini.
Kutokana na Russia kukataa kuwakabidhi washukiwa kwenye mamlaka za uingereza kwa ajili ya kujibu tuhuma, serikali ya nchi hiyo pamoja na U.S iliamua kuwatimua maafisa wa Russia kwenye nchi hizo kutokana na hili sakata. Huku Russia iliendelea kukanusha.
Tukirudi nyuma kutokana na hili swala la ukusanyaji taarifa za kijasusi kwa nchi Moja dhidi ya nyingine , ni kwamba Hawa maagent wanaoenda field hukutana na dhahama nyingi sana ikiwemo kuuliwa .
Kwa mfano skripal , changamoto yake ya kukosa pesa akiwa field katika kukusanya taarifa za kijasusi kwa ajili ya nchi yake , ikabidi kuuza taarifa kwa nchi hasimu . Ilimgharimu uhai wa Memba wa familia yake na yeye almanusura kuuliwa .
Hivyo naweza kusema maagent huhatarisha maisha Yao pamoja na wale wapendwa wao kwa maslahi ya usalama wa nchi, na vilevile maslahi ya WANASIASA waliopo madarakani.
View attachment 2616819
Sergei na bintiye Yulia skripal
View attachment 2616825
Watuhumiwa wanaoshutumiwa kwenye mpango wa kumuua bwana Sergei na bintiye Yulia kwa sumu ya Novichok
UJASUSI SIO KAZI YA KILA MTU KUWEZA KUIFANYA , LINAPOKUJA SWALA LA MASLAHI YA TAIFA
Credit : google
Nitag kwenye huo Uzi nduguKuna uzi humu unaelezea jinsi Iran inavotungua wasaliti wa nchi yao. Hata uwe wapi au ulindwe vipi jamaa wanakusakama mpaka wakumalize.
Vipi hao warusi wao walimuacha tu jamaa au kuna sababu iliyofanya asifanywe kitu??
Yaani kwa Marekani msaliti alihukumia kifungo cha maisha ila Urusi jamaa angebainika ni shaba, kwanini jamaa wanapenda sana hukumu za vifo??
Nipo nasubiria Uzi mpya Kwa hamu
Dah hii habari ya Hawa jamaa na bintiye ili trend sana, nakumbuka enzi za Theresa May, ila hii kazi Huwa ni ngumu sana na una risk Hadi familia yako.Kesi ya Sergei skripal

Hakuna KAZI nyepesi dunianiDah hii habari ya Hawa jamaa na bintiye ili trend sana, nakumbuka enzi za Theresa May, ila hii kazi Huwa ni ngumu sana na una risk Hadi familia yako.
Ila na Hawa Russia Kwa mambo ya sumu za hatari mbona wako vizuri hivi, hyo biological war ipo siku wataangamiza Dunia nzima sasa
Yea ilitrend sana kipindi hicho na inasemekana hii ishu ilimsumbua sana Theresa may hususan kwa wapinzani wake wa kisiasaDah hii habari ya Hawa jamaa na bintiye ili trend sana, nakumbuka enzi za Theresa May, ila hii kazi Huwa ni ngumu sana na una risk Hadi familia yako.
Ila na Hawa Russia Kwa mambo ya sumu za hatari mbona wako vizuri hivi, hyo biological war ipo siku wataangamiza Dunia nzima sasa
Naikumbuka sana hiiYea ilitrend sana kipindi hicho na inasemekana hii ishu ilimsumbua sana Theresa may hususan kwa wapinzani wake wa kisiasa
Wee njaa inazuilika ila sio kazi ngumu ya kijasusi ukidakwa kifungo Cha maisha au kifo imagine Oleg alivoitwa Russia, mateso yote Hadi anatoroka hofu aliyokuwa nayo, kuacha familia yake yuko ugenini hukoHakuna KAZI nyepesi duniani
Kukaa NJAA nayo KAZI ngumu kwelikweli
Na pia huku nasikia hata top official figures wa serikalini hupita huku kwa fake i.d kuchukua nondo kimya kimya![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umepita mulemule.Surely huku sio kwa kila mtu ,watu wanakuumbua na facts na sio rahisi watu kuwachota akili kizembe zembe .Na pia huku nasikia hata top official figures wa serikalini hupita huku kwa fake i.d kuchukua nondo kimya kimya [emoji28][emoji3578][emoji3578]
Maisha ya jasusi ni yanatafakarisha sana, ni kazi ambayo sio ya kila mtu, ni watu .Kesi ya Sergei skripal
Tangu zamani za mwanafalsafa sun tzu , Ili uweze kushinda vita dhidi ya mpinzani wako ,ilipaswa kupata taarifa za Siri kumhusu huyo mpinzani. Taarifa hizi muda mwingine zinaweza kukupa insight kuhusiana na madhaifu ya mpinzani wako . Na kikawaida ukishajua madhaifu ya mpinzani wako basi utatumia udhahifu huo huo kumpiga na kumshinda . Hivyo hivyo kwa nchi mahasimu hufanya hivi katika kukusanya taarifa hizo za Siri. Ndipo linapokuja neno UJASUSI. Hivyo nchi huamua kutuma au kupandikiza watu maalumu kwa nchi Fulani Ili iweze kukusanya taarifa hizo za kijasusi lakini maisha Yao Huwa hatarini .
Tukija kwenye level ya kitaifa . Nchi huamua kukusanya taarifa za kijasusi dhidi ya nchi nyingine ,Ili kuweza kujua mipango yake na mikakati yake kwa lengo binafsi la nchi husika Ili iweze kujilinda na pia kunufaika kimaslahi.
Wakati wa vita baridi baina ya USA na USSR , nchi hizi zilikuwa zinajikita Zaidi katika kupata taarifa za siri dhidi ya mwenzake kutokana na shinikizo lililotokana na tishio la kutokea vita ya nyuklia. Hii ilianza punde tu baada ya kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia .
Nchi hizi ziliamua kutumia mbinu mbalimbali walizoona Zinafaa katika kupata taarifa za kijasusi dhidi ya mwenzake . Mamlaka za serikali hususani bunge hutunga sheria Kwa ajili ya kuzipa ithibati organization za kijasusi Ili kukusanya taarifa hizo Kwa maslahi ya nchi au muda mwingine Kwa maslahi binafsi ya wanasiasa. Nchi ya uingereza kwa mfano ilianza hizi harakati za kukusanya taarifa za kijasusi au kiintelijensia kupitia shirika lake la kipindi hicho lililoitwa SIS Baadaye ikaitwa M16 tokea mwaka 1909. Lengo kuu lilikuwa kukusanya taarifa ambazo zingeisaidia kupunguza uwezekano wa nchi ya ujerumani kuvamia nchi za magharibi hususani washirika wa uingereza kijeshi. Vilevile USA iliamua kuanzisha harakati za ukusanyaji wa taarifa za kijasusi rasmi punde tu ilipoisha vita ya pili ya dunia . Kwa mfano bunge la congress wakati huo lilipitisha National security Act ya mwaka 1947 . Na sheria hii ilipopita likazaliwa shirika la kijasusi la CIA. Na pia Soviet waliunda shirika lao ukusanyaji taarifa za kijasusi lililoitwa Cheka punde tu baada ya mapinduzi ya mwaka 1917 ulioondoa utawala wa Czar. Mbali na hizi taasisi zilizoundwa kisheria katika kukusanya taarifa za kijasusi , ni kwamba muda mwingine hutumika kufanya mauaji kwa baadhi ya walengwa fulani fulani ambao huonekana ni tishio katika ulimwengu wa kijasusi au kwa nchi husika.
Walengwa Hawa Huwa ni waasi au double agent. Ni kwamba mtu huamua kuwa double agent kutokana na sababu fulani fulani ambazo muda mwingine huwa ni tamaa binafsi , shinikizo au mapenzi binafsi .....
Katika hili swala la uasi tunamwangalia bwana mmoja aliyeitwa Sergei skripal . Huyu alipewa sumu ambavo inasemekana ingepaswa kumuua taratibu yeye pamoja na bintiye anayeitwa Yulia kutokana na uasi .
Huyu Sergei skripal ni nani haswa?
Huyu bwana alizaliwa tarehe 23 June mwaka 1951 huko Soviet maeneo ya bahari ya Baltic . Alianza kuifanyia kazi shirika la kijasusi la jeshi la Russia lililoitwa GRU. Katika kutekeleza majukumu yake alitumwa kufanya kazi kwenye nchi ya Malta na baadaye uhispania. Lakini inasemekana kipindi cha utawala wa Boris Yeltsin , majasusi waliokuwa wanatumwa kufanya kazi za kijasusi nchi za nje hawakuwa wanapewa mkwanja kwa kipindi kirefu wakiwa Wanawajibika nje ya nchi . Huyu bwana akaamua kujiongeza na kutafuta fursa za kiuchumi ambazo zingemwezesha kuishi maisha aliyoyataka. Katika kutafuta fursa alijikuta anakutana na afisa mmoja wa M16 na akajitambulisha kama agent wa GRU. Sasa rasmi hapo akaamua kuwa double agent akiitumikia GRU shirika lililomwajiri na pia kuitumikia M16 ya uingereza kwa Siri kwa ajili ya kupata pesa . Kwa kifupi alikuwa anauza taarifa za nchi yake kwa nchi hasimu ya uingereza Alipewa jina la uficho la FORTWITH akiuza taarifa za kijasusi zenye thamani kubwa kwa uingereza. Lakini mwaka 2000 alijikuta Na changmoto ya afya hivyo ikamlazimu kurudi Russia kwa ajili ya matibabu na akakutwa na kisukari . Ilimlazimu kujiuzulu kama afisa wa GRU na kuamua kufanya kwenye ofisi ya serikali hususan kwenye maswala ya kiutawala lakini Shughuli za kijasusi aliendelea nazo kama kawaida. Na vilevile alikuwa bado yupo kwenye payroll ya M16 akipokea mkwanja kama kawaida . Lakini mwaka 2004 shirika la kijasusi la Russia la FSB lilimtimua kutokana na tuhuma dhidi yake za kuwa double agent na mwaka 2006 alikutwa na hatia mahakama ya kijeshi na kupigwa mvua ya miaka 13. Tuhuma dhidi yake ni kwamba alikuwa anawapa taarifa M16. Lakini kupitia msaada wa serikali ya marekani huyu bwana alisamehewa kupitia makubaliano maalumu ya kubadilishana wafungwa baina ya U.S.A na Russia na huyu bwana aliamua kwenda kuishi nchini uingereza kwenye mji mdogo wa Salisbury.
Huyu bwana aliamua kununua nyumba huko Salisbury na kuamua kuhamia yeye na mkewe liudmila pamoja na wanao wawili mwaka 2011.
Lakini ajabu ni kwamba mwaka 2012 alimpoteza mkewe na mwaka 2017 mwanae wa kiume Alexander nae alifariki. Aliyebaki ni mwanae wa kike ambaye Alikuwa anakuja kumtembelea mshua wake Mara kwa mara akitokea Russia. Kutokana na vifo vya wanafamilia Hawa WA kwake , aliamua kuishi maisha ya kawaida tu akiwa na paka wake mmoja kwa ajili ya kuondokana na upweke .
Mwaka 2018, mwaka mmoja tu tokea kifo Cha kijana wake huyu bwana skripal akiwa na bintiye walikutwa hawajitambui wamepoteza fahamu eneo la hifadhi la Salisbury Park. Ripoti za kiuchunguzi za awali kutoka vyombo vya usalama na habari zilitabanaisha na kusema shambulio Hilo lilikuwa ni jaribio ya mauaji dhidi ya huyu bwana na huenda pia hata mkewe na mwanae ilikuwa ni mauaji ya kupanga. Baada ya kupelekwa hospitali , bwana skripal na mwanae walikuwa hawajitambui kwa wiki kadhaa pasipo kujulikana sababu ni Nini zilizopelekea Hali hiyo kwa mujibu wa ripoti za kitabibu. Lakini baada ya kupata nafuu waliruhusiwa kutoka hospitali tarehe 9 April 2018. Kutokana na huyu bwana kuwa na hadhi yake , mamlaka za serikali ya uingereza ziliamua kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na tukio hili . Taarifa zilitoka na kudhibitisha bwana huyu na bintiye walipewa sumu iliyoitwa nerve agent ambayo pia baadaye Theresa May waziri mkuu wa uingereza wakati huo aliithibitisha bungeni kuwa ni sumu aina ya Novichok (A-234) .
The organization for the Prohibition of chemical weapons (OCPW) ni Taasisi iliyokuwa inahusika na udhibiti wa matumizi ya silaha za kemikali ziliamua kufanyia kazi hili swala na kutaka kujua chanzo Cha hii sumu ilifikaje hapo uingereza. Kupitia maabara ya
Defence science and technology laboratory(DSTL) sample zilichukukuliwa na ripoti ikathibitisha ni sumu ya Novichok with high purity na ilikuwa kwa wingi eneo la mlangoni kwenye nyumba ya skripal.
Kwa mujibu wa mshauri wa maswala ya ya kiusalama ya kitaifa bwana mark sedwil alisema kwamba kupitia uchunguzi uliofanywa na DSTL ,sumu hii ilikuwa kwa wingi kwenye eneo la kitasa Cha mlango wa mbele wa nyumba ya skripal. Na sumu hii ilikuwa katika Hali ya umajimaji . Hivyo huyu bwana akasema sumu hii hutumiwa na Russia na hivyo wao wanahusika Moja kwa Moja na tukio la majaribio la kumuua bwana skripal. Lakini kama kawaida Russia wakakanusha madai haya na kusema ni propaganda dhidi yao ya kutaka kuzorotesha mahusiano ya kidiplomasia.
Ripoti Zaidi kuhusiana na hili tukio la jaribio la mauaji dhidi ya skripal ilisema kwamba hata eneo walilokuwa skripal na bintiye mara ya mwisho kabla ya kukutwa na hii dhahama kulikuwa na kiwango kikubwa Cha sumu hii. Hivyo Ili kuzuia watu kuwa exposed na hii sumu serikali iliamua kuizingira nyumba hiyo na viwanja vya karibu na eneo Hilo kwa utepe wa crime scene Ili kufanya uchunguzi zaidi. Shirika la bbc lilisema serikali ilituma maafisa 250 wa kitengo Cha kupambana na ugaidi na maafisa wa kijeshi 180 katika kulizingira eneo Hilo kwa ajili ya uchunguzi wa kina.
Maafisa uchunguzi walianza kuchunguza kuanzia nyumba ya skripal,gari yake maeneo walikopita, mgahawa walioenda kula, Hadi kwenye benchi walikokuwa wamekaa na kukutwa wamepoteza fahamu akiwa bintiye.
Kulikuwa na mkanganyiko kuhusiana na chanzo Cha hii sumu ilikotoka mpaka kufika uingereza. Kwa mfano vyombo vya habari vilisema huenda sumu hii ilichanganywa kwenye baadhi ya vitu vya Yulia skripal alivyoondoka navyo Moscow kuja uingereza. Taarifa za vyombo vya habari vya U.S vikadai huenda sumu hii iliwekwa kwa Siri kwenye gari ya skripal.
Lakini kwa mujibu ya mwanahistoria katika maswala ya kiintelijensia anayeitwa Boris volodarsky alisema kupitia chapisho lake la mtandaoni la "the poison war"
Kwamba huenda sumu hii ilifika eneo Hilo alilokuwa akiishi skripal kupitia technical timu ya majasusi na kufanya Yao huku mlengwa akiwa ni skripal.
Hivyo serikali ya uingereza ikafanya jitihada zote za kujua walengwa waliofanya hili tukio ni kina nani .
Na kweli mamlaka za shirika la kijasusi la uingereza likiwasuspect Raia wawili wa Russia ambao ni Alexander Petrov na Ruslan boshirov ambao pia walihusishwa kuwa ni maagent wa GRU. Walituhumiwa katika kufanya jaribio la mauaji dhidi ya skripal. Kwa mujibu wa ripoti za kiutafiti kuhusiana na hili swala huyu Alexander Petrov jina lake halisi alitambulika kama Alexander mishkin ambaye alikuwa ni daktari na Ruslan boshirov alitambulika rasmi kama kanali Anatoliy chepiga na wote walikuwa wanafanyia Kazi shirika la kijasusi la Russia tokea 2010. Kwa mujibu wa ushahidi uliopatikana nchini uingereza inasemekana huyu Chepiga alikuwa akijihusisha na operesheni za Siri muda mrefu na inawezekana yeye ndio aliyefanya tukio hili la kujaribu kutaka kumuua huyu skripal kwa sumu ya Novichok. Na inasemwa operesheni hii ilitolewa order kutoka kwenye mamlaka ya juu kabisa ya Russia.kremlin office.
Mamlaka za uingereza zilituma ombi la kuwakamata watu hawa na kuletwa uingereza kwa ajili ya kuja kujibu tuhuma dhidi yao. Na ilisema tukio hili ni kinyume na UN charter kutokana na matumizi ya nguvu kudhuru na ilitaka majibu ya kisheria kutokana na tukio hili kutoka kwa Russia.
Russia kama kawaida Yao wakakaza.
Sumu hii ya Novichok kwa mujibu wa ripoti za OCPW inasemwa ni miongoni mwa sumu zilizokuwa zinatengenezwa huko Russia miaka ya 1980s kipindi hicho Cha vita baridi. Na inasemekana ni sumu inayoathiri mfumo wa ufahamu mwilini na huweza kupenya kupitia ngozi . Na ikianza kufanya reaction mwilini inapelekea mfumo wa upumuaji kushindwa kufanya kazi na kupelekea kupoteza fahamu.
Sumu hii mara ya kwanza ilianza kutengenezwa huko ujerumani kipindi cha vita ya pili ya dunia, baadaye Russia ikachukua formula yake na kuanza kuitengeneza miaka hiyo ya 1980.
Bwana skripal na bintiye baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,Sasa wanahifadhiwa kwa Siri kwenye eneo mojawapo ndani ya uingereza chini ya ulinzi mkali japo bado maisha Yao yapo hatarini.
Kutokana na Russia kukataa kuwakabidhi washukiwa kwenye mamlaka za uingereza kwa ajili ya kujibu tuhuma, serikali ya nchi hiyo pamoja na U.S iliamua kuwatimua maafisa wa Russia kwenye nchi hizo kutokana na hili sakata. Huku Russia iliendelea kukanusha.
Tukirudi nyuma kutokana na hili swala la ukusanyaji taarifa za kijasusi kwa nchi Moja dhidi ya nyingine , ni kwamba Hawa maagent wanaoenda field hukutana na dhahama nyingi sana ikiwemo kuuliwa .
Kwa mfano skripal , changamoto yake ya kukosa pesa akiwa field katika kukusanya taarifa za kijasusi kwa ajili ya nchi yake , ikabidi kuuza taarifa kwa nchi hasimu . Ilimgharimu uhai wa Memba wa familia yake na yeye almanusura kuuliwa .
Hivyo naweza kusema maagent huhatarisha maisha Yao pamoja na wale wapendwa wao kwa maslahi ya usalama wa nchi, na vilevile maslahi ya WANASIASA waliopo madarakani.
View attachment 2616819
Sergei na bintiye Yulia skripal
View attachment 2616825
Watuhumiwa wanaoshutumiwa kwenye mpango wa kumuua bwana Sergei na bintiye Yulia kwa sumu ya Novichok
UJASUSI SIO KAZI YA KILA MTU KUWEZA KUIFANYA , LINAPOKUJA SWALA LA MASLAHI YA TAIFA
Credit : google
Sisi hatuna habari na hiyo yako. Kenge weeA SPY AND THE TRAITOR
Huyu mwamba Oleg japo watu wanamuona snich. Lakini mimi kwa jicho la 3 namuona shujaaa wa dunia. Usariti wake ulikuwa na maana sana. Kuna uwezekano mpaka sasa dunia isingekuwa hivi ilivyo. Huyu mwamba alisaidia sana kufanya visitokee vita vya nuclear25.
Ingawaje Margaret thatcher kwa wakati huo akiwa P.M wa uingereza alijua uwepo wa jasusi wa KGB ndani ya uingereza , anayefanya kazi na idara za kijasusi za uingereza. Kamwe maafisa usalama wa vitengo hivyo hawakuwahi mwambia identity yake halisi ni nani haswa. Hii tokea mwanzo ,M16 na washirika wake hawakutaka utambulisho halisi wa Oleg utambulike kwa sababu za usalama wake binafsi na pia kwa afya ya kidiplomasia baina ya nchi ya uingereza na Russia kwa wakati huo.Na thatcher ndie P.M pekee wa uingereza aliyekuwa anafuatilia swala la NOCTON kwa karibu swala lilikokuwa mikononi mwa taasisi za kiusalama . Inasemekana kwamba kupitia Oleg , uingereza na nchi za kimagharibi zilikuwa Zina uwezo wa kutambua think tank ya Kremlin walikuwa wanawaza Nini na mipango Yao yote waliopanga.
Kwa mfano Kipindi mashirika haya ya uingereza yakiwa katika process za kumsaka Koba aliyekuwa karibu ku expose identity ya Oleg ,nao KGB walikuwa wanataka kuhakikisha Margaret thatcher anapoteza uchaguzi wa mwaka 1983 akichuana na Michael foot. Russia Walimpa Margaret thatcher Jina la "IRON LADY " kama tusi kupitia magazeti ya propaganda ya urusi kama kumchafua kisiasa. Hivyo bahati nzuri thatcher alishinda uchaguzi kwa kura za kutosha Na inasemekana endapo Michael foot angeshinda uchaguzi ule Basi ni dhahiri Oleg angegundulika kama msaliti dhidi ya Soviet. Kumbuka huyu foot alikuwa ni pandikizi la KGB.
Baada ya uchaguzi kupita thatcher alijikita Sasa rasmi katika kitisho kilichokuwepo mbele yake . Vita baridi ilikuwa inakaribia kuwa ni vita halisi . Vita vya nyuklia baina ya west na east. Hii ni kutokana na panick ya Soviet kuanzisha operesheni ya RYAN. Ambapo kupitia operation hii Russia walikuwa wanatafuta sababu za kuingia vitani rasmi na nchi za west. Kumbuka huu mpango uliandaliwa na Yuri Andropov ambaye kwa wakati huo alikuwa rais wa Russia. Mshirika wa uingereza wakati huo marekani alikuwa anazidi kujizatiti kijeshi katika kukabiliana na vitisho vya nyuklia kutoka Soviet.
Na kuonyesha urusi ilikuwa imepaniki , tarehe 1 mwezi September mwaka 1981 ndege ya kijeshi ya umoja wa Soviet iliidungua ndege ya abiria aina Boeing 747 ya shirika la ndege la Korea iliyokuwa ikiruka kwenye anga ya Soviet. Ndege hii iliua abiria 269 pamoja na wahudumu wake . Hili tukio lilizusha tafrani baina ya nchi za magharibi na Urusi. Mara ya kwanza Urusi walikataa kutokuhusika na tukio hili ila baadaye walikubali. Walidai kwamba ndege hiyo ilikuwa ni ya kijasusi iliyokiuka taratibu na sheria kuruka kwenye anga yao na pia ilikuwa ni kama ishara ya uchokozi kutoka marekani . Kutokana na tukio hili bunge la congress likapitisha hoja ya kuongezwa bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa lengo la kujilinda. Na Urusi wakaona Sasa hapa vita inaenda kuzuka kweli . Balozi mbalimbali zilizokuwa nchi za ulaya magharibi zikapewa order ya kulinda raia wao huko pamoja na Mali zao dhidi ya shambulio lolote. Pia ubalozi wa urusi uliopo London ulipewa order ya kuzima maandamano ya raia yoyote yaliyotarajiwa kufanyika nchini humo kupinga kitendo Cha urusi kutungua ndege ya abiria na kuua watu wasiokuwa na hatia. Hizi taarifa zilipenyezwa Hadi kwa M16 na bwana Oleg.
Wanahistoria waliamini na kutabiri endapo kutazuka vita halisi basi uwezekano wa kutumia silaha za sumu na nyuklia ulikuwa ni mkubwa kwa Sababu kipindi hicho kila upande ulijikita katika kutengeneza silaha nzito nzito za maangamizi. Na ingekuwa ni nafasi kwao kuona ni silaha za upande upi zilikuwa na damage impact dhidi ya mwingine.ilihitajika nguvu ya ziada kuzuia kutokea kwa vita. Lakini wao uingereza kupitia taarifa za Siri nyingi alizokuwa anatoa Oleg , waliamini vita halisi isingeweza kutokea . Ilikuja kubainika baadaye Russia walianza kutengeneza karakana za kutengeneza ndege za kivita huko ujerumani. Na vilevile ilisemwa kulikuwa na nyambizi zilizokuwa zimebeba makombora za ki Soviet zilizokuwa zimefichwa chini ya bahari ya Baltic zisije kugundulika. Taarifa hizi Oleg alichelewa kuzipata lakini CIA walizipata wa kwanza na kureport kwenye magazeti mbalimbali operation hizi za kijeshi za Urusi. Margaret thatcher akapendekeza taarifa za kijasusi alizokuwa anatoa bwana Oleg nao marekani wamegewe.
Kiuhalisia nchi za magharibi hazikuwa na mpango wa kupigana na umoja wa Soviet kijeshi . Tatizo lilikuwa la kwao Soviet kupitia operesheni Ryan wakiamini kwamba west walikuwa na Nia ya kuanzisha vita dhidi yao. Hivyo Margaret akaona ni vyema taarifa za kijasusi kutoka kwenye think tank ya Kremlin nao CIA wapewe Ili kuona uwezekano wa kuepusha vita . Kwenye personal diary ya Reagan aliandika hivi nanukuu." I feel the Soviet are.... So paranoid about being attacked that....we ought to tell them no one here has any intention of doing anything like that".
Diary ya Reagan iliendelea kusema nanukuu" Three years had taught me something surprising about the Russians: many people at the top of Soviet hierarchy were genuinely afraid of America and Americans..... I began to realize that many Soviet officials feared us not only as adversaries but as potential aggressors who might hurl nuclear weapons at them in a first strike" mwisho wa nukuu.
Haya yalikuwa ni maoni ya Reagan baada ya kuwa analetewa report zilizotokana na taarifa za Oleg (NOCTON) alizokuwa anatoa kupitia M16.
Kidogo kidogo CIA walitamani kujua source ya hizi valuable infos. Lakini M16 waliendelea kuficha identity yake. Makamu D.G. wa CIA wakati huo bwana Robert Gates alipokuwa anapitia taarifa alizokuwa anazitoa Oleg Kwa M16 ,alihitimisha na kusema kwamba CIA wamemisi kitu na walitamani huyo source awe wa kwao. Kwa kifupi CIA walitamani NOCTON angekuwa wa kwao. Taarifa za Oleg za KGB zilipotua kwa CIA walibadilisha baadhi ya mbinu katika ujasusi . Lakini Oleg hakuwa Salama sana na kutokugundulika
Hatimaye maelfu ya watu walikusanyika red square huko Moscow mwaka tarehe 14 Feb 1984,kuomboleza kifo Cha Yuri Andropov. Miongoni mwa viongozi wa kimataifa waliohudhuria alikuwa ni Margaret thatcher.
M16 kupitia Oleg alishauriwa ahudhurie kama ishara ya kuonyesha kwamba nchi za magharibi hazina kinyongo na Soviet na pia ilikuwa ni kama sababu ya kupunguza tension ya vita baridi kwa wakati huo.
[emoji2][emoji2][emoji2] Kuna wanaume wanasikitisha sana na kuzalilisha uanaume waoYaani mwanaume una wivu Hadi kwa mtoto wa kike?
Hii ni hatari sana
Linchi lenyewe la kulilinda liko wapi cariha ?. Hili hili ambalo ukijifanya kulilinda wewe mmoja,lakini mamia wanalitafuna kuanzia matawi mpaka mizizi. Tena wakuu ndio hawajali kuitafunaSiwezi kusaliti nchi yangu kabisa naona ni nuksi na nitakuwa nasaliti Hadi mababu zangu aisee