Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Trump hakupandikizwa na Russia. Sema Russia alimuunga mkono akiamini Trump ni dhaifu ukilinganisha na Hilary Clinton. Hivyo Russia alijaribu tu kuingilia mifumo ya uchaguzi ili kumsaidia Trump. Trump hawezi kuwa kibaraka wa Russia hata kutekwa!
Kabisa
 
Trump hakupandikizwa na Russia. Sema Russia alimuunga mkono akiamini Trump ni dhaifu ukilinganisha na Hilary Clinton. Hivyo Russia alijaribu tu kuingilia mifumo ya uchaguzi ili kumsaidia Trump. Trump hawezi kuwa kibaraka wa Russia hata kutekwa!
Kabisa. Sasa members wameanza kugeuza baada ya kusoma huu Uzi na kujua kumbe kuna kupandikiziana majasusi. Na wanaunganisha dots zile Marekani walisema Russian waliingilia uchaguzi wao. It means hawakumpandikiza mtu wao,bali waliuvuruga uchaguzi,kwa kuingilia kura ili Trump apite (kumbuka japo sio mtu wao,ila Trump mtu walieona anafaa kwao kuliko Hillary).
 
Mimi naona swala la kuingilia tu uchaguzi (sio kumpandikiza mtu wao) halina madhara yoyote kwa Marekani na sijaona faida yoyote kwa Russian zaidi ya ile ya kuweza kuingilia mifumo ya uchaguzi wa Marekani.
 
Hata kama wewe ni kipenyo Hakuna kitu kilichoniingia hapo na wala hujanishwawishi kuondoka nilipoegemea kile nilichokiingiza kutokana na kile alichokifanya Oleg. Labda tu unatania,kwa hapa tulipofikia kama nchi,kuanzia huko juu wanachokifanya, Kama hivyo kila repot ya CAG watu kwenye nafasi zao wanajipakulia tu asali kwa kipimo chao. Ufisadi kila kona. Huku chini mimi ni nani ikitokea nafasi kama ya Oleg nisichukue mpunga?.
 
Mimi naona swala la kuingilia tu uchaguzi (sio kumpandikiza mtu wao) halina madhara yoyote kwa Marekani na sijaona faida yoyote kwa Russian zaidi ya ile ya kuweza kuingilia mifumo ya uchaguzi wa Marekani.
Mkuu!Usitake kusema kuwa ujui kwamba kilicho na faida kwako kinaweza kisiwe na faida kwangu?.
Kwenye mambo haya ya UJASUSI utakuwa bado unayangalia kwa jicho la kawaida sana.Maana ungekuwa unayaangalia mambo hayo kwa jicho la ndani,usingekuja na hiki ulichokiweka hapa.
 
Na kwa nini West wafurahie sana kuepushwa kwa vita wakati USSR aliitaka kwa hamu sana hiyo vita?.

[emoji23][emoji23][emoji23]
West naweza sema ndio wanaoendesha dunia. Sawa na wewe ni baba, halafu kwa hasira mke anaibuka anataka kuchoma nyumba nzima,wakati kiongozi upo.

Vita vya nuclear ni kuangamiza dunia nzima waliokuwamo na wasiokuwamo. Sasa utasema huyu mtu ana akili sawa,zaidi ya hasira?.
Sababu ndogo tu ya kawaida anatafuta vita vya nuclear.

Na ukiangalia hata vita vya sasa Russia na Ukraine,watu wengi wanaweza kufikiri West wanaogopa kuingia moja kwa moja Russia. Sababu kubwa ni hiyo kuhofia akili ya Mrusi inaweza ikaamua kama mbwai na iwe mbwai akaamua kumwaga nuclear. Ndio maana kuna kama kumbembeleza Mrusi afanye vita kuimaliza
 
Kwa hiyo pale Hiroshima Japan,U.S.A alikuwa ni sawa na wife wa Japan siyo!?.Kuwa serious mkuu.
 
Kwani kati ya Mrusi na U.S.A ni yupi aliwahi tumia nuk bom?.
West ndiyo siku zote huwa na akili finyu dhidi ya Russia,na Russia hanaga wa kumuogopa na ndiyo maana yeye uingia mzigoni pindi tu ukijichanganya.
 
Asante sana mkuu mcTobby kwa kushare nasi kitu kikali kama hiki kwa hiyari kabisa na upendo mkubwa. Umekuwa mvumilivu pia kwa lolote toka uanze. Hakika mbali ya kuburudika tumejifunza mengi. Na kikubwa bila kutegemea umetengeneza mjadala mpana kitaifa hapa jukwaani kuhusiana na nchi yetu na taasisi zetu.
Nimechelewa kuuona huu Uzi nimeukuta uko mbali. Nikiwa mpenzi wa riwaya za ujasusi nimeburudika mno. Asante sana.

Zaidi sana nimefurahi vijana wamekuwa advanced kulijadiri hili kitaifa zaidi. Limetengeneza mjadala mpana mzuri wa kitaifa kwa wanaJF. Hapo ndio utaujua uwezo wa wana Jf kuchanganua mambo mazito kama hayo. Tunakushukuru sana mkuu mcTobby.

Nimshukuru pia dada cariha umekuwa mstari wa mbele kabisa mwanzo mwisho wa hii tred na kutupia pia yale uyajuayo na pia kujadiri kwa mapana pia kitaifa. Kipekee niwashukuru pia wajumbe wengine kusaidia kuufanya mjadala uwe chanya na kuelimisha pia.
 
Asante na wewe kufatilia hii thread nzuri ambayo imekuwa na mafunzo mengi as case study kwetu sote kuwa yatupasa kuwa makini mno mno hasa mambo ya code, pia shukrani Kwa mleta mada na wote walio contribute in positive way Kwa lengo la kujifunza. Hata watu wa vyombo vyetu muhimu vingepitia na kupata vitu for betterment of our country.
Cheers
 
Shukrani sana ....
 
Una uhakika kuwa jamaa angeachia mdaraka?
 
Sana. Natamani sana kujua zaidi kuhusu hayo mashirika. Hasa Mossad. Mkuu hata kama zitakuwa za zamani huku kwetu ni mpya new. Umeiona hiyo ni ya zamani lakini imekuwa bonge moja la kitu kipya
 
The stronger will survive the weaker will perish.... Hujasikia huko kwenye mikopo ya halmashauri inapigwa vibaya mpaka pm anaambia aistopishe kwanza?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Roho huwa inaniuma sana nikipita maeneo fulani na kukuta mradi fulani wa vijana ulizinduliwa na mwenge last year mwishoni, walipewa mkopo wa halmashauri wakajenga green house, ila hajabu leo hiyo green house inaliwa na mchwa na jengo lipo chini majani yamejaa kuzunguka.
 
Hili swala linasikitisha sana ...Tena sana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…