Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Kuna watu kweli mna utani na watu. Yaani huyu afanane na nani?.Kuna watu wanamfananisha huyu wa kwetu na Magreth thatcher !
Anaweza kushabihiana kweli na thatcher?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu kweli mna utani na watu. Yaani huyu afanane na nani?.Kuna watu wanamfananisha huyu wa kwetu na Magreth thatcher !
Anaweza kushabihiana kweli na thatcher?
KabisaTrump hakupandikizwa na Russia. Sema Russia alimuunga mkono akiamini Trump ni dhaifu ukilinganisha na Hilary Clinton. Hivyo Russia alijaribu tu kuingilia mifumo ya uchaguzi ili kumsaidia Trump. Trump hawezi kuwa kibaraka wa Russia hata kutekwa!
Kabisa. Sasa members wameanza kugeuza baada ya kusoma huu Uzi na kujua kumbe kuna kupandikiziana majasusi. Na wanaunganisha dots zile Marekani walisema Russian waliingilia uchaguzi wao. It means hawakumpandikiza mtu wao,bali waliuvuruga uchaguzi,kwa kuingilia kura ili Trump apite (kumbuka japo sio mtu wao,ila Trump mtu walieona anafaa kwao kuliko Hillary).Trump hakupandikizwa na Russia. Sema Russia alimuunga mkono akiamini Trump ni dhaifu ukilinganisha na Hilary Clinton. Hivyo Russia alijaribu tu kuingilia mifumo ya uchaguzi ili kumsaidia Trump. Trump hawezi kuwa kibaraka wa Russia hata kutekwa!
Mimi naona swala la kuingilia tu uchaguzi (sio kumpandikiza mtu wao) halina madhara yoyote kwa Marekani na sijaona faida yoyote kwa Russian zaidi ya ile ya kuweza kuingilia mifumo ya uchaguzi wa Marekani.Code:Hivyo Russia alijaribu tu kuingilia mifumo ya uchaguzi ili kumsaidia Trump
Kwanza hapo situkwamba arijaribu kuingilia mifumo,bali ni aliingilia na kufanikisha kumuweka Trump madarakani.
Lakini pia suala la Trump kuwa ni pandikizi au siyo pandikizi wa Urusi,bado ni CODE ambayo haijafunguliwa na haiwezi funguliwa hii leo mapema hivi.Uwenda vizazi vijavyo huko mbele wakafunguliwa CODE hizo na suala likiwa wazi.
Turudi kwenye ishu ya KGB tukilinganisha na mashirika mengine.Baadhi ya wadau wanaona kupitia Oleg kuwa KGB ni wachovu ukilinganisha na CIA na M16 kwa tukio hilo la kisaliti katika miaka hiyo 85 na huku wakiendelea kuamini hivyo mpaka leo.
Sasa swali linakuja kuwa,ni vipi KGB wachovu waweze kuingilia mifumo ya uchaguzi na wafanikiwe dhidi ya CIA wasio wadhaifu ukilinganisha na KGB?.[emoji16][emoji38][emoji28]
Hata kama wewe ni kipenyo Hakuna kitu kilichoniingia hapo na wala hujanishwawishi kuondoka nilipoegemea kile nilichokiingiza kutokana na kile alichokifanya Oleg. Labda tu unatania,kwa hapa tulipofikia kama nchi,kuanzia huko juu wanachokifanya, Kama hivyo kila repot ya CAG watu kwenye nafasi zao wanajipakulia tu asali kwa kipimo chao. Ufisadi kila kona. Huku chini mimi ni nani ikitokea nafasi kama ya Oleg nisichukue mpunga?.Inawezekana huu uzi ndio umekwisha, shukrani kubwa kwa mleta mada kwa jinsi alivyojitahidi kuleta episodes mfululizo hadi kuleta raha kufatilia.
My take kuhusu huu uzi, kwa njia moja ama nyingine mimi au wewe msomaji unaweza kuingia mazingira ya watu fulani, kampuni ficho za kijasusi kukutumia kwa fedha kuuza taarifa nyeti za nchi kutoka na wadhifa wako. Usidhubutu kutoa ushirikiano hata chembe, usaliti kwa ardhi uliyotwaliwa ni laana kwako na kizazi chako lakini ikitokea idara za usalama zikaja kushtuka utalipia gharama kubwa wewe na familia yako yote.
Ni vizuri kubakia na somo hili maana hii habari ya Oleg imempa ushujaa na pengine kuishi kama executive citizen wa UK na kuleta ushawishi wa kuwa double agent [emoji23] lakini pengine hatujafikiria kiwango cha damage aliyofanya kwa Taifa lake hadi leo. Oleg kusaidia kuepusha vita ya nyuklia inawezekana ni kachumbari tu ila hiyo vita iliepukwa na mambo mengi wakati ule.
Nimeona niangalie kwa jicho tofauti hasa somo nyuma hii stori.
Mkuu!Usitake kusema kuwa ujui kwamba kilicho na faida kwako kinaweza kisiwe na faida kwangu?.Mimi naona swala la kuingilia tu uchaguzi (sio kumpandikiza mtu wao) halina madhara yoyote kwa Marekani na sijaona faida yoyote kwa Russian zaidi ya ile ya kuweza kuingilia mifumo ya uchaguzi wa Marekani.
West naweza sema ndio wanaoendesha dunia. Sawa na wewe ni baba, halafu kwa hasira mke anaibuka anataka kuchoma nyumba nzima,wakati kiongozi upo.Na kwa nini West wafurahie sana kuepushwa kwa vita wakati USSR aliitaka kwa hamu sana hiyo vita?.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo pale Hiroshima Japan,U.S.A alikuwa ni sawa na wife wa Japan siyo!?.Kuwa serious mkuu.West naweza sema ndio wanaoendesha dunia. Sawa na wewe ni baba, halafu kwa hasira mke anaibuka anataka kuchoma nyumba nzima,wakati kiongozi upo.
Vita vya nuclear ni kuangamiza dunia nzima waliokuwamo na wasiokuwamo. Sasa utasema huyu mtu ana akili sawa,zaidi ya hasira?.
Sababu ndogo tu ya kawaida anatafuta vita vya nuclear.
Na ukiangalia hata vita vya sasa Russia na Ukraine,watu wengi wanaweza kufikiri West wanaogopa kuingia moja kwa moja Russia. Sababu kubwa ni hiyo kuhofia akili ya Mrusi inaweza ikaamua kama mbwai na iwe mbwai akaamua kumwaga nuclear. Ndio maana kuna kama kumbembeleza Mrusi afanye vita kuimaliza
Kwani kati ya Mrusi na U.S.A ni yupi aliwahi tumia nuk bom?.West naweza sema ndio wanaoendesha dunia. Sawa na wewe ni baba, halafu kwa hasira mke anaibuka anataka kuchoma nyumba nzima,wakati kiongozi upo.
Vita vya nuclear ni kuangamiza dunia nzima waliokuwamo na wasiokuwamo. Sasa utasema huyu mtu ana akili sawa,zaidi ya hasira?.
Sababu ndogo tu ya kawaida anatafuta vita vya nuclear.
Na ukiangalia hata vita vya sasa Russia na Ukraine,watu wengi wanaweza kufikiri West wanaogopa kuingia moja kwa moja Russia. Sababu kubwa ni hiyo kuhofia akili ya Mrusi inaweza ikaamua kama mbwai na iwe mbwai akaamua kumwaga nuclear. Ndio maana kuna kama kumbembeleza Mrusi afanye vita kuimaliza
HakikaMimi nasema Oleg ni shujaa wetu mpaka sasa. Kwa lugha ya The bold hapo angekuambia bila mtu mmoja kuiokoa dunia. Mtu huyo ni Oleg kuna uwezekano mkubwa dunia tusingeikuta kama ilivyo sasa.
Asante na wewe kufatilia hii thread nzuri ambayo imekuwa na mafunzo mengi as case study kwetu sote kuwa yatupasa kuwa makini mno mno hasa mambo ya code, pia shukrani Kwa mleta mada na wote walio contribute in positive way Kwa lengo la kujifunza. Hata watu wa vyombo vyetu muhimu vingepitia na kupata vitu for betterment of our country.Asante sana mkuu mcTobby kwa kushare nasi kitu kikali kama hiki kwa hiyari kabisa na upendo mkubwa. Umekuwa mvumilivu pia kwa lolote toka uanze. Hakika mbali ya kuburudika tumejifunza mengi. Na kikubwa bila kutegemea umetengeneza mjadala mpana kitaifa hapa jukwaani kuhusiana na nchi yetu na taasisi zetu.
Nimechelewa kuuona huu Uzi nimeukuta uko mbali. Nikiwa mpenzi wa riwaya za ujasusi nimeburudika mno. Asante sana.
Zaidi sana nimefurahi vijana wamekuwa advanced kulijadiri hili kitaifa zaidi. Limetengeneza mjadala mpana mzuri wa kitaifa kwa wanaJF. Hapo ndio utaujua uwezo wa wana Jf kuchanganua mambo mazito kama hayo. Tunakushukuru sana mkuu mcTobby.
Nimshukuru pia dada cariha umekuwa mstari wa mbele kabisa mwanzo mwisho wa hii tred na kutupia pia yale uyajuayo na pia kujadiri kwa mapana pia kitaifa. Kipekee niwashukuru pia wajumbe wengine kusaidia kuufanya mjadala uwe chanya na kuelimisha pia.
Shukrani sana ....Asante sana mkuu mcTobby kwa kushare nasi kitu kikali kama hiki kwa hiyari kabisa na upendo mkubwa. Umekuwa mvumilivu pia kwa lolote toka uanze. Hakika mbali ya kuburudika tumejifunza mengi. Na kikubwa bila kutegemea umetengeneza mjadala mpana kitaifa hapa jukwaani kuhusiana na nchi yetu na taasisi zetu.
Nimechelewa kuuona huu Uzi nimeukuta uko mbali. Nikiwa mpenzi wa riwaya za ujasusi nimeburudika mno. Asante sana.
Zaidi sana nimefurahi vijana wamekuwa advanced kulijadiri hili kitaifa zaidi. Limetengeneza mjadala mpana mzuri wa kitaifa kwa wanaJF. Hapo ndio utaujua uwezo wa wana Jf kuchanganua mambo mazito kama hayo. Tunakushukuru sana mkuu mcTobby.
Nimshukuru pia dada cariha umekuwa mstari wa mbele kabisa mwanzo mwisho wa hii tred na kutupia pia yale uyajuayo na pia kujadiri kwa mapana pia kitaifa. Kipekee niwashukuru pia wajumbe wengine kusaidia kuufanya mjadala uwe chanya na kuelimisha pia.
Una uhakika kuwa jamaa angeachia mdaraka?Hakiki ndugu yangu mfumo ndio unao tugharimu.
Mfumo unamfanya kiongozi hata awe ana vision nzuri ya kulikwamua taifa awe chini yake.
Mfumo unataka kulindana na kurithishana madaraka .
Mfumo unataka ujilinde wenyewe kwa hiyo hauwezi mtu kuuvunja mfumo kabla wenyewe mfumo haujakuvunja.
Kwa bahati nzuri au mbaya mtu kama Magufuli aliweza japo kwa kidogo kuugusa mfumo, na watu wengi waligusika ikiwemo hao catholic mission na baadhi ya watu ambao walishajiwekea uhakika wa kulindwa na mfumo.
Bahati mbaya huyo hakuweza kuendelea ,pengine ni mfumo ulitaka asiweze kuendelea maana huo mfumo ulikua upo hatarini.
Kama angemaliza kipindi chake, na anaemfutia akawa ni wa namna yake, na ambaye angufuata pia huwenda kwa miaka 30 taifa lingeweza kuwa na mfumo mpya ambao ni wa maslahi maslahi kwa taifa moja kwa moja.
Sana. Natamani sana kujua zaidi kuhusu hayo mashirika. Hasa Mossad. Mkuu hata kama zitakuwa za zamani huku kwetu ni mpya new. Umeiona hiyo ni ya zamani lakini imekuwa bonge moja la kitu kipyaMkuu hao ni wachawi tu na kama ilivyo desturi mchawi hataki kitu anachokijua yeye basi na mwingine akijue Aaaa Never asee.... Hawa ni wachawi kabisa na ni wachawi wa maarifa ama ujuzi na ni wabinafsi wasikuumize kichwa we endelea kushusha Nondo hii vita tutashinda tu.
Natamani tupate visa vya CIA, MOSSAD, BND na Ofcoz FSB na hao MI6 Hawa ndio inaelezwa kwamba ni wababe wa UJASUSI ijapokuwa tutaambulia za zamani sana ambazo sio CLASSIFIEDS kwa sasa. Hawa wakwetu sidhani ata kama wana issue yoyote ya maana [emoji38]
Roho huwa inaniuma sana nikipita maeneo fulani na kukuta mradi fulani wa vijana ulizinduliwa na mwenge last year mwishoni, walipewa mkopo wa halmashauri wakajenga green house, ila hajabu leo hiyo green house inaliwa na mchwa na jengo lipo chini majani yamejaa kuzunguka.The stronger will survive the weaker will perish.... Hujasikia huko kwenye mikopo ya halmashauri inapigwa vibaya mpaka pm anaambia aistopishe kwanza?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili swala linasikitisha sana ...Tena sana ..Roho huwa inaniuma sana nikipita maeneo fulani na kukuta mradi fulani wa vijana ulizinduliwa na mwenge last year mwishoni, walipewa mkopo wa halmashauri wakajenga green house, ila hajabu leo hiyo green house inaliwa na mchwa na jengo lipo chini majani yamejaa kuzunguka.