Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tupia miendelezo mfululizo tutembee.Haka kauzi Leo ndio nimegundua kanafuatiliwa.. asee kama utani vile [emoji848][emoji28]
Hapana ila mwamba mwanangu sana😃😃.[emoji2][emoji2]buyobe umekuja na I'd nyingine ?
Ufala upo wapiHili liOleg lifala sana mkuu
Tutaachaje kufuatilia Mkuu?Haka kauzi Leo ndio nimegundua kanafuatiliwa.. asee kama utani vile [emoji848][emoji28]
Mkomunisti kindakindaki na Cha pombe wa vodka ile mbaya. Hapo London alikuwa anakula na kunywa made in Russia peke Yake.
[emoji16][emoji38][emoji28]Hawa ndiyo wazalendo wa kweli sasa.
Ndio maana nilimwambia cariha asimalize maneno.Mwisho wa story tuta mjaji kwa pamoja kama alikuwa sahihi au la .. mapema sana kumhukumu[emoji1].
Ni wazir gani huyo mkuu? 😂Namkumbuka huyo waziri mpaka Leo ni tajiri wa kufa mtu, kumbe Huwa wanapataga malipo mazuri tu